monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
Noma sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naskia ucchungu wanaume tunazidi kupungua...
Mke wako amepata wapi ujasiri wa kukwambia upuuzi huo aiseee !!!
Hata Mungu hapendi ujinga kama huo kasema tuungame dhambi zetu kimya kimya sio kudhalilishana😁😁😁..
Au ndugu yetu umekwama jogoo hapandi mtungi
Kwahiyo ni haki yako kumkosea mke wako siyo??1. Usikiri kosa hata ukamatwe (redhanded) unamshughulikia housegirl.
2. Mwanamke HAOMBWI MSAMAHA.
Kuomba msamaha mkeo ni kuanzisha kesi isiyokwisha maisha yenu yote. Maana hilo kosa litakumbushiwa kila wakati. Walio kwenye ndoa wananielewaKwahiyo ni haki yako kumkosea mke wako siyo??
Kwahiyo usipoomba msamaha ndiyo kosa halikumbushiwi??Kuomba msamaha mkeo ni kuanzisha kesi isiyokwisha maisha yenu yote. Maana hilo kosa litakumbushiwa kila wakati. Walio kwenye ndoa wananielewa
Kosa ulilofanya ni kukiri kosa ulilofanya na kuomba msamaha.Wakuu nawasalimu,
Niko katika hali hii kwa sasa.
Ni kweli nilimkosea mke wangu. Nilifanya dhambi kama binadamu wengine wafanyavyo dhambi. Nimejutia kosa langu na nikaamua kumuomba msamaha mke wangu ili maisha yaendelee.
Jambo la kushangaza ni kuwa mke wangu huyu wa ujanani amekataa kunisamehe. ametoa mashariti kadhaa ili niweze kupata msamaha wake. Mashariti hayo ni haya.
1. Jumapili hii twende kanisani nikaombe msamaha mbele ya kanisa.
2. Turekodi mkanda wa video ili hata watu wengine ambao hawatakuwepo kanisani waweze kuona tukio hilo hapo badae.
3. Amesema pia nikiwa namuomba msahama mbele ya kanisa nimuite mama na wala siyo mke huku nikiwa nimepiga magoti.
Wakuu, nimefikiri sana swala hili. Nia hasa ya mke wangu ni nini. Hivi ndivyo msamaha unavyoobwa?
Nimejiuliza tena kwani atapungukiwa nini kama atanisamehe tukiwa wawili tu bila kamera?
Nilichopanga ni hiki , nataka kugoma kufanya kitendo hiki. Ninagoma kwa sababu nataka kulinda utu wangu. Kufanya dhambi au kumkosea mke wangu hakuondoi utu wangu hata kidogo.
Siko tayari kuuza utu wangu kwa gharama ya kulinda ndoa. Utu huwekwa na Mungu ndani ya mtu. Kuuza utu wako kwa mtu ni kumfanya mtu huyo kuchukua nafasi ya Mungu katika maisha yako. Siko tayari.
Msamaha una misingi yake. Moja ya misingi hiyo ni kulindiana heshima.Msahama ni upendo .Upendo haudhalilishi wengine.
Kama ndoa ni ndoano , basi ndoano hii haitaninasa.
Hawana jema hawa viumbeKwahiyo usipoomba msamaha ndiyo kosa halikumbushiwi??
Kwenye talaka waislamu nawaheshimuUngekuwa ni ndoa ya kiislam hapo hapo unamwambia siwezi kuita mama .ninakuandikia talaka uende .
Mwambie huyo mkeo akuombe msamaha Kwanza kwa kuthubutu kukupa hayo masharti ya hovyoWakuu nawasalimu,