kamanga2016
JF-Expert Member
- Apr 5, 2016
- 652
- 501
Hicho ndicho kizazi cha nyoka tulichonacho karne hii,pole sana baharia shikilia hapo hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha walokole wengi hamnazo aiseeUkute kosa lenyewe hata halieleweki!
Sana sana hapo ukute jamaa kafanya ubaharia nje ya ndoa.
Walokole mimi nawajua, tena kama ni mwanamke, unakuta hata akili hazimo.
Hhuyo mwanamke anatafuta mapengo kinguvuMkuu hongera sana kwa kutambua umemkosea mkeo na ukamuomba msamaha, sio wanaume wote wanaliweza hilo wengi wanajifanya(wakamilifu)
Hayo mengine ni matakwa ya mkeo,i
Ila nikushauri huo msamaha uliouomba uambatane na vitendo[emoji1787][emoji1787]waeza mtoa mkaenda pata lanchi mahali flani patulivuuu ,ni mpenzi mkeo waeza mnunulia zawadi unayoona inamfaa
Wakuu nawasalimu,
Niko katika hali hii kwa sasa.
Ni kweli nilimkosea mke wangu. Nilifanya dhambi kama binadamu wengine wafanyavyo dhambi. Nimejutia kosa langu na nikaamua kumuomba msamaha mke wangu ili maisha yaendelee.
Jambo la kushangaza ni kuwa mke wangu huyu wa ujanani amekataa kunisamehe. ametoa mashariti kadhaa ili niweze kupata msamaha wake. Mashariti hayo ni haya.
1. Jumapili hii twende kanisani nikaombe msamaha mbele ya kanisa.
2. Turekodi mkanda wa video ili hata watu wengine ambao hawatakuwepo kanisani waweze kuona tukio hilo hapo badae.
3. Amesema pia nikiwa namuomba msahama mbele ya kanisa nimuite mama na wala siyo mke huku nikiwa nimepiga magoti.
Wakuu, nimefikiri sana swala hili. Nia hasa ya mke wangu ni nini. Hivi ndivyo msamaha unavyoobwa?
Nimejiuliza tena kwani atapungukiwa nini kama atanisamehe tukiwa wawili tu bila kamera?
Nilichopanga ni hiki , nataka kugoma kufanya kitendo hiki. Ninagoma kwa sababu nataka kulinda utu wangu. Kufanya dhambi au kumkosea mke wangu hakuondoi utu wangu hata kidogo.
Siko tayari kuuza utu wangu kwa gharama ya kulinda ndoa. Utu huwekwa na Mungu ndani ya mtu. Kuuza utu wako kwa mtu ni kumfanya mtu huyo kuchukua nafasi ya Mungu katika maisha yako. Siko tayari.
Msamaha una misingi yake. Moja ya misingi hiyo ni kulindiana heshima.Msahama ni upendo .Upendo haudhalilishi wengine.
Kama ndoa ni ndoano , basi ndoano hii haitaninasa.
Ndo tatizo la kusali kwenye vibandaWakuu nawasalimu,

Kwani dhambi yenyewe ilirekodiwa?Wakuu nawasalimu,

Mkuu tumekushauri sana. tupe mrejesho sasaWakuu nawasalimu,

Yaaaani umelenga mlemle unamwacha palepale Na uombe msamaha kwa kuchelewa kufanya hiloNenda nae kanisani,
Muombe msamaha na yote anayotaka uyafanye,
Hii itafanya upime ujinga wa mkeo,ujinga wa viongozi wa kanisa,
Halafu ukisha Fanya anayotaka tangaza hapo hapo kuachana nae mbele ya hao hao anaotaka waone unavyomuomba msamaha
Haya ni madhara ya MAKANISA YA HOVYO NA KIHOLELA. Hakuna KIONGOZI wa kanisa mwenye akili zake timamu akaruhusu huu UPUUZI WA MKEO.