Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 7,875
- 12,665
Wakuu huyu mwanamke kanichoka au vipi huwa simuelewi hata kidogo ukimuuliza anasema uwezo ninao kwahiyo ni bora niongeze wawe wawili
Katika karne hii sijawahi kuona mwanamke kwa ridhaa yake akimtakia mmewe aoe mke mwenza hata kwa sisi waislamu ambapo swala la kuoa wake zaidi ya mmoja limeruhusiwa kisheria ila hali imekuwa tofauti kwa mke wangu na yupo serious kabisa
Sasa wakuu mnanishaurije niongeze kweli au nisubiri maana nampenda mke wangu nisije nikampoteza kizembe kama kuna kitu ananificha