Mke wangu ananilazimisha nioe mke wa pili mwaka wa pili sasa

Nakumbuka hata yule mfanyakazi wa Azam mke wake alimshauri aoe mke wa pili Kwa kuwa yeye yuko busy sana na kazi. Lkn ukweli wa mke ulikuwa moyoni mwake. Sote ni mashahid wa yaliyojiri,mke saivi ni mke wa kigogo. Ishi kimasta.
Yupi huyo mkuu?
 
Wakuu huyu mwanamke kanichoka au vipi huwa simuelewi hata kidogo ukimuuliza anasema uwezo ninao kwahiyo ni bora niongeze wawe wawili

Katika karne hii sijawahi kuona mwanamke kwa ridhaa yake akimtakia mmewe aoe mke mwenza hata kwa sisi waislamu ambapo swala la kuoa wake zaidi ya mmoja limeruhusiwa kisheria ila hali imekuwa tofauti kwa mke wangu na yupo serious kabisa

Sasa wakuu mnanishaurije niongeze kweli au nisubiri maana nampenda mke wangu nisije nikampoteza kizembe kama kuna kitu ananificha
Hapana,wapo wanawake wengi huomba waume zao waoe mke wa piki hada waislamu na zipo sababu nyingi,mkeo kakuomba uoe sasa kubali ila muombe pia msaada wake wa kutafuta buyo mke wa pili
 
Wakuu huyu mwanamke kanichoka au vipi huwa simuelewi hata kidogo ukimuuliza anasema uwezo ninao kwahiyo ni bora niongeze wawe wawili

Katika karne hii sijawahi kuona mwanamke kwa ridhaa yake akimtakia mmewe aoe mke mwenza hata kwa sisi waislamu ambapo swala la kuoa wake zaidi ya mmoja limeruhusiwa kisheria ila hali imekuwa tofauti kwa mke wangu na yupo serious kabisa

Sasa wakuu mnanishaurije niongeze kweli au nisubiri maana nampenda mke wangu nisije nikampoteza kizembe kama kuna kitu ananificha
Mwenzio anaye mume wa pili sasa anataka sheet isomeke both team to score.
 
Back
Top Bottom