We hautaki huyo mke mwingine?Wakuu huyu mwanamke kanichoka au vipi huwa simuelewi hata kidogo ukimuuliza anasema uwezo ninao kwahiyo ni bora niongeze wawe wawili
Katika karne hii sijawahi kuona mwanamke kwa ridhaa yake akimtakia mmewe aoe mke mwenza hata kwa sisi waislamu ambapo swala la kuoa wake zaidi ya mmoja limeruhusiwa kisheria ila hali imekuwa tofauti kwa mke wangu na yupo serious kabisa
Sasa wakuu mnanishaurije niongeze kweli au nisubiri maana nampenda mke wangu nisije nikampoteza kizembe kama kuna kitu ananificha
Anataka uhuru, ukiwa busy na mke wa pili na yeye anakua busy na mume wa piliWakuu huyu mwanamke kanichoka au vipi huwa simuelewi hata kidogo ukimuuliza anasema uwezo ninao kwahiyo ni bora niongeze wawe wawili
Katika karne hii sijawahi kuona mwanamke kwa ridhaa yake akimtakia mmewe aoe mke mwenza hata kwa sisi waislamu ambapo swala la kuoa wake zaidi ya mmoja limeruhusiwa kisheria ila hali imekuwa tofauti kwa mke wangu na yupo serious kabisa
Sasa wakuu mnanishaurije niongeze kweli au nisubiri maana nampenda mke wangu nisije nikampoteza kizembe kama kuna kitu ananificha
Oa tu atusaidie kazi ila mali zangu asiziguse kama yale magari ulioninunulia ule mjengo natema kwa chini na zile heka 150 hapo tutatafutana na mifugo yangu yeye akaanze upyqNgoja na mimi nisubiri ushauri kutoka kwa Babe wangu SweetyCandy wa kunitaka niongeze mke wa pili. Akinishauri leo, kesho namletea mdogo wake faster. No time to waste.
Kuna bahati kwenye maisha, huwa haziji mara mbili.
Nimekuchagua wewe waifu material nipo tayari nikutumie cv ya uchumi wanguKama uchumi unaruhusu ongeza