Kwahiyo unamshauri afanye je?Kuna siku natembea stockholm Sweden nikapisha na jamaa anaongea kwenye siku anang'aka akisema kama anakusumbua kwanini usimfumue tu marinda umkomoe na umpoteezee. Nilicheka kwa sauti jamaa akageuka kuniangalia naye kuangua kicheko cha hatarii. Sikusimama nikanyoosha with stitches.
@kajekyuda
Hata Mzee Shusho alifanya hayo hayo kwa christina. Sasa kabwagwa kahama hadi kanisa la mumewe.Nilimkuta huyu mwanamke akiwa katika hali duni sana ya kimaisha, sina nia mbaya ya kutangaza shida zake kwaku hakuna anaemjua ila nikisema hali ngumu namaanisha ngumu, yani ile hata ya mlo mmoja shida, kifupi ni ufikara...
Atatue tu rindaKwahiyo unamshauri afanye je?
Nilimkuta huyu mwanamke akiwa katika hali duni sana ya kimaisha, sina nia mbaya ya kutangaza shida zake kwaku hakuna anaemjua ila nikisema hali ngumu namaanisha ngumu, yani ile hata ya mlo mmoja shida, kifupi ni ufikara...
Marriage Act Mkuu.Mgawane mali za nini wewe. Toboa boti Tu. Kama mbwai mbwai
Yeah ni sahihi. Asijilaumu. Assamese na a move on tena kama inawezekana afanye sasa kuliko kusubiri amfumanie. Atajiwekea sumu moyoni mwisho wa siku watoto wenu watakosa wazazi.Hiyo elimu fanya kama umetoa sadaka muache anza upya mapambano. Pole.
Samahani mkuu...umejisahau au wewe ni mwanaume?Wewe niwaovyoo mwanaume analilia penzi mwehu kweli tafuta pisi kali kuliko yeye yenye mapenzi ya dhati ambaye anahitaji penzi na anahitaji kweli hamia huko basi usimtamani wala kumpigia kaa kimya rudi muda utakao maana ndani hupewi kitu...
Unataka tutukanane kama hujaelewa pita kule nashida zakoSamahani mkuu...umejisahau au wewe ni mwanaume?
Yqnini akatafute pis kali ale nayo good time amwache na maringo yake akaringe kwaoPiga chini akaringie kwao
Bro umechanganya IDWewe niwaovyoo mwanaume analilia penzi mwehu kweli tafuta pisi kali kuliko yeye yenye mapenzi ya dhati ambaye anahitaji penzi na anahitaji kweli hamia huko basi usimtamani wala kumpigia kaa kimya rudi muda utakao maana ndani hupewi kitu .
Kila weekend watoe watoto out usilale chumba kimoja naye. Usimwonyeshe dharau watoto wakihitaji kitu unawapa . Akikuomba ushauri unampa simple . Hujawahi pitia uhusiano serious ya kifala kama mie nimekuwa na mtu ila sio ndoa mpaka unyumba anakuringia . Anadai amechoka basi nikaona sio tija .
Miezi kadhaa anaringa nikaamiankwa jirani huyo jirani anajua mapenzi naalikuwa single .
Basi mpenzi wangu akanza kusanuka akaanza kuachia unyumba ila namimi nikaanza kuringa mapenzi nampa mwingine. Hadi akaja namachozi babe turudiane huku na magoti mwanadamu usiringiwe na watu
Bro???Bro umechanganya ID
Labda amesahau kuswitch accountSamahani mkuu...umejisahau au wewe ni mwanaume?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kajisahauBro umechanganya ID
Acha umbeya na umezeekaLabda amesahau kuswitch account