Mke wangu ananiletea Usuperstar

Mke wangu ananiletea Usuperstar

Kuna siku natembea stockholm Sweden nikapisha na jamaa anaongea kwenye siku anang'aka akisema kama anakusumbua kwanini usimfumue tu marinda umkomoe na umpoteezee. Nilicheka kwa sauti jamaa akageuka kuniangalia naye kuangua kicheko cha hatarii. Sikusimama nikanyoosha with stitches.

@kajekyuda
Kwahiyo unamshauri afanye je?
 
Pole sana lea watoto huyo ukiona haeleweki piga chini vya kunyonga havina muda kama ni mtu mzima utanielewa ila kama unaenekeza mapenzi ujipange kuumia sana mkuu.

Kama familia yake ilishindwa kumsomesha ww ni nani ukajitoe hivyo cha msingi kama ulitaka awe mama wa watoto wako ungemuendeleza kwa upande mwingine sio kumsomesha mpe hata kabiashara ili akizingua unakata mrija mambo yanakua sio mengi
 
Nilimkuta huyu mwanamke akiwa katika hali duni sana ya kimaisha, sina nia mbaya ya kutangaza shida zake kwaku hakuna anaemjua ila nikisema hali ngumu namaanisha ngumu, yani ile hata ya mlo mmoja shida, kifupi ni ufikara...
Hata Mzee Shusho alifanya hayo hayo kwa christina. Sasa kabwagwa kahama hadi kanisa la mumewe.
Wewe siyo wa kwanza
 
Hiyo elimu fanya kama umetoa sadaka muache anza upya mapambano. Pole.
Yeah ni sahihi. Asijilaumu. Assamese na a move on tena kama inawezekana afanye sasa kuliko kusubiri amfumanie. Atajiwekea sumu moyoni mwisho wa siku watoto wenu watakosa wazazi.

Acha aendelee na maisha yake mkuu. Muweke chini, mpe msimamo wako mbele ya ndugu zako na zake kama hasikii muache tu maana utakuja kuua.
 
Wewe niwaovyoo mwanaume analilia penzi mwehu kweli tafuta pisi kali kuliko yeye yenye mapenzi ya dhati ambaye anahitaji penzi na anahitaji kweli hamia huko basi usimtamani wala kumpigia kaa kimya rudi muda utakao maana ndani hupewi kitu .

Kila weekend watoe watoto out usilale chumba kimoja naye. Usimwonyeshe dharau watoto wakihitaji kitu unawapa . Akikuomba ushauri unampa simple . Hujawahi pitia uhusiano serious ya kifala kama mie nimekuwa na mtu ila sio ndoa mpaka unyumba anakuringia . Anadai amechoka basi nikaona sio tija.

Miezi kadhaa anaringa nikaamiankwa jirani huyo jirani anajua mapenzi naalikuwa single.

Basi mpenzi wangu akanza kusanuka akaanza kuachia unyumba ila namimi nikaanza kuringa mapenzi nampa mwingine. Hadi akaja namachozi babe turudiane huku na magoti mwanadamu usiringiwe na watu
 
Wewe niwaovyoo mwanaume analilia penzi mwehu kweli tafuta pisi kali kuliko yeye yenye mapenzi ya dhati ambaye anahitaji penzi na anahitaji kweli hamia huko basi usimtamani wala kumpigia kaa kimya rudi muda utakao maana ndani hupewi kitu .

Kila weekend watoe watoto out usilale chumba kimoja naye. Usimwonyeshe dharau watoto wakihitaji kitu unawapa . Akikuomba ushauri unampa simple . Hujawahi pitia uhusiano serious ya kifala kama mie nimekuwa na mtu ila sio ndoa mpaka unyumba anakuringia . Anadai amechoka basi nikaona sio tija .
Miezi kadhaa anaringa nikaamiankwa jirani huyo jirani anajua mapenzi naalikuwa single .

Basi mpenzi wangu akanza kusanuka akaanza kuachia unyumba ila namimi nikaanza kuringa mapenzi nampa mwingine. Hadi akaja namachozi babe turudiane huku na magoti mwanadamu usiringiwe na watu
Bro umechanganya ID
 
Sema mwanamke mweny elimu ,suala la kumuheshimu mumewe nj kipengele haswa mfanyakazi.


Kun mzungu mmoja alisema "Tunaishi ofisini tunapofanya kazi na kutembelea nyumbani kwetu" akiwa na maana mda mwingi watu wanakuwa ofisini na kufanya interaction na watu ,lakini mtu atembeleq nyumbani yaani akirudi ni kulala tu na asubuhi anatoka tena.

Short and clear ,watu wanatumia mfa mwingi kazini kuliko nyumbani, sasa ogopa mke anayefanya kazi.
 
Back
Top Bottom