Kwahiyo unamshauri afanye je?Kuna siku natembea stockholm Sweden nikapisha na jamaa anaongea kwenye siku anang'aka akisema kama anakusumbua kwanini usimfumue tu marinda umkomoe na umpoteezee. Nilicheka kwa sauti jamaa akageuka kuniangalia naye kuangua kicheko cha hatarii. Sikusimama nikanyoosha with stitches.
@kajekyuda