Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Comment ngumu Sana hii😅😅😅Mlishaambiwa kama umeamua kumsomesha mwanamke msomeshe ufundi cherehani
Ona sasa wahuni wanakukazia
Bado kijana unabeba box??Kuna siku natembea stockholm Sweden nikapishana na jamaa anaongea kiswahili kwenye simu anang'aka akisema kama anakusumbua kwanini usimfumue tu marinda umkomoe na umpoteezee.
Nilicheka kwa sauti jamaa akageuka kuniangalia naye kuangua kicheko cha hatarii. Sikusimama nikanyoosha with stitches.
The Icebreaker
Hujaeleza kitu hapa na itakuwa ngumu kukusaidiaNilimkuta huyu mwanamke akiwa katika hali duni sana ya kimaisha, sina nia mbaya ya kutangaza shida zake kwaku hakuna anaemjua ila nikisema hali ngumu namaanisha ngumu, yani ile hata ya mlo mmoja shida, kifupi ni ufikara...
Wanakusahau na ahadi zote walizopanga nawewe hawakupi unaka kama nyama wandani sio hata house girl ,najua hilo kwa maana nimeona wengi wananuka harufu zao special yaani hadi unaomba uende tu .Yes sometimes hapo kwenye mahitaji muhimu ndiyo panapelekea mtu kuanza mambo ya kujitaftia otherwise maoni yangu ni hayo
Imenigusaa sana hii, kuuthamini wema wa mtu.Ila kuna watu hawanaga Shukurani huku Dunian hata uwe mwema kwake vipi bado tuu kuthamini wema wa mtu hawawezi,
Pole mkuu ataenda huko yatamshinda
Mungu akubariki kwa kujitolea kwako.
Mnaona mwanaume hana kazi tena utajihudumia na Kama ni utamu utapata kokotePole, sisi wanawake sijui mini hutupata tukishika pesa
Umalaya tuWewe niwaovyoo mwanaume analilia penzi mwehu kweli tafuta pisi kali kuliko yeye yenye mapenzi ya dhati ambaye anahitaji penzi na anahitaji kweli hamia huko basi usimtamani wala kumpigia kaa kimya rudi muda utakao maana ndani hupewi kitu...
Kwani wewe ni mtakatifu au mtakavituUmalaya tu
Mkuu hiki kisa kimenigusa sana, najaribu kuvaa viatu vyako nashindwa. Mungu akupe uvumilivu uyashinde majaribu. Jitahidi sana kuvumilia ili ndoa isivunjike maaana kukubali kirahisi kuvunja ndoa utarudi nyuma sana, watoto watapotea nk.Nilimkuta huyu mwanamke akiwa katika hali duni sana ya kimaisha, sina nia mbaya ya kutangaza shida zake kwaku hakuna anaemjua ila nikisema hali ngumu namaanisha ngumu, yani ile hata ya mlo mmoja shida, kifupi ni ufikara...
Kuna mmoja yupo karudi kwa wazazi wake na watoto wawili mwaka wa 5 sasa,demu alikuwa sister duu wa hatari sasa anaishi kama digi digi manina zake na vijana wa Boda Boda wala hawajamuacha salama, wanabadilishana namba tu, demu kaisha na kapauka hafai milo miwili tuu kwa siku inamsumbua vibaya.Watu wanafanya vtu kwa nia njema, umempenda mwanamke unamuweka ndani ila unaona kabisa bila kumpa exposure hata kulea watoto hawezi...
Kuna uzi upo umu unaonesha jinsi ambavyo kutenda Wema ni upumbavu! Kwa hiyo jamaa alifanya upumbavu wa kumsomesha huyo binti! Kazi ya kumsomesha binti ilikuwa siyo yake hapo amevuna alichopandaIla kuna watu hawanaga Shukurani huku Dunian hata uwe mwema kwake vipi bado tuu kuthamini wema wa mtu hawawezi,
Pole mkuu ataenda huko yatamshinda
Mungu akubariki kwa kujitolea kwako.
NaaaaamNitasoma kama ilivyoandikwa wahuni 8:3
Nae akasema mchumba hasomeshwi
Ndoa ni utapeliCc.kissy,dronedrake
Chukua Windhoek 4 nitalipaHalafu ukishalea nani atakupa mahitaji ya muhimu, saivi maisha sio kama zamani ya mama zetu saivi maisha ni challenge maisha ni kupanda sio kushuka, unatafuta gari za kisasa unajenga nyumba zakisasa sio huyo tu ajenge hata wewe unaparangana unajenga hawa wanaodharau waume zao wao ndio wajinga waliwao . Hata ukiwa na mafanikio mume ni kama baba tena yule anayekupa everything.
Nitakuletea risiti