Mke wangu ananiletea Usuperstar

Mke wangu ananiletea Usuperstar

Kuna siku natembea stockholm Sweden nikapishana na jamaa anaongea kiswahili kwenye simu anang'aka akisema kama anakusumbua kwanini usimfumue tu marinda umkomoe na umpoteezee.

Nilicheka kwa sauti jamaa akageuka kuniangalia naye kuangua kicheko cha hatarii. Sikusimama nikanyoosha with stitches.

The Icebreaker
Bado kijana unabeba box??
 
Yes sometimes hapo kwenye mahitaji muhimu ndiyo panapelekea mtu kuanza mambo ya kujitaftia otherwise maoni yangu ni hayo
Wanakusahau na ahadi zote walizopanga nawewe hawakupi unaka kama nyama wandani sio hata house girl ,najua hilo kwa maana nimeona wengi wananuka harufu zao special yaani hadi unaomba uende tu .

Na alikuwa na masters yake ,hawa wanaume sio wakumwambia mtu akae home. Nywele utasema katani zinahadi vumbib
 
Nilimkuta huyu mwanamke akiwa katika hali duni sana ya kimaisha, sina nia mbaya ya kutangaza shida zake kwaku hakuna anaemjua ila nikisema hali ngumu namaanisha ngumu, yani ile hata ya mlo mmoja shida, kifupi ni ufikara...
Mkuu hiki kisa kimenigusa sana, najaribu kuvaa viatu vyako nashindwa. Mungu akupe uvumilivu uyashinde majaribu. Jitahidi sana kuvumilia ili ndoa isivunjike maaana kukubali kirahisi kuvunja ndoa utarudi nyuma sana, watoto watapotea nk.

Ukiona anazidi utoto unaweza kumpisha nyumba ukakaa pengine huenda akabaki peke yake miezi 6 au mwaka atakuja kuona umuhimu wako na ukirudi utakua mpya. Suala la kukubali ndoa kuvunjika sio suluhisho mkuu
 
Watu wanafanya vtu kwa nia njema, umempenda mwanamke unamuweka ndani ila unaona kabisa bila kumpa exposure hata kulea watoto hawezi...
Kuna mmoja yupo karudi kwa wazazi wake na watoto wawili mwaka wa 5 sasa,demu alikuwa sister duu wa hatari sasa anaishi kama digi digi manina zake na vijana wa Boda Boda wala hawajamuacha salama, wanabadilishana namba tu, demu kaisha na kapauka hafai milo miwili tuu kwa siku inamsumbua vibaya.

Mume wake walieachana sasa hivi kashavuta chuma kingine,na nilichompendea jamaa baada ya demu kuchukua vitu vyake na kukimbilia kwa wazazi wake jamaa akauza mjengo fasta na kusepa.

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Ila kuna watu hawanaga Shukurani huku Dunian hata uwe mwema kwake vipi bado tuu kuthamini wema wa mtu hawawezi,

Pole mkuu ataenda huko yatamshinda

Mungu akubariki kwa kujitolea kwako.
Kuna uzi upo umu unaonesha jinsi ambavyo kutenda Wema ni upumbavu! Kwa hiyo jamaa alifanya upumbavu wa kumsomesha huyo binti! Kazi ya kumsomesha binti ilikuwa siyo yake hapo amevuna alichopanda
 
Halafu ukishalea nani atakupa mahitaji ya muhimu, saivi maisha sio kama zamani ya mama zetu saivi maisha ni challenge maisha ni kupanda sio kushuka, unatafuta gari za kisasa unajenga nyumba zakisasa sio huyo tu ajenge hata wewe unaparangana unajenga hawa wanaodharau waume zao wao ndio wajinga waliwao . Hata ukiwa na mafanikio mume ni kama baba tena yule anayekupa everything.
Chukua Windhoek 4 nitalipa

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom