Mke wangu ananinyima tendo la ndoa bila sababu ya msingi

Mke wangu ananinyima tendo la ndoa bila sababu ya msingi

hmaloh

Senior Member
Joined
Nov 22, 2018
Posts
162
Reaction score
314
Mwanangu rapcha umeimba hili goma leo ndo nimejua kuwa wanawake ni watu wa ajabu mno can you imagine leo ni siku ya 11 wife ananinyima tendo la ndoa bila sababu ya msingi.

Sasa leo nimeamua kuchachamaa bado wife amekaza. Daaah, kiukweli roho imeniuma sana let me summarize:

Mimi: Mama, naomba haki yangu basi

Wife: Kwanza tengua kauli yako ya juzi uliyosema

Mimi: Kimya kinanitawala mawazo yanachukua nafasi kichwani mwangu palepale hisia za mahaba zinanitoka na kuona sasa huyu mwanamke kuna kitu kinamtia kiburi kwa hasira naamua kuropoka oya mama mtu mimi naona nikamwambie babaako hili unalonifanyia tuone mzee wako atachukua uamuzi gani

Wife: Anacheka kwa dharau halafu kanasema “wewe mara ya mwisho si ulisema utatoka nje ya ndoa? Sasa babaangu ukamwambie wa nini?”

Mimi: Hasira zinanijaa namwambia oya mimi nimekuchoka mwanangu, kama vipi tuachane tu kwasababu haiwezekani nakuomba haki yangu halafu wewe unachukulia poa tu

Wife: Ananiangalia usoni kama sekunde 30 halafu anasema bila ya maandishi toa karatasi (talaka) niende nayo nyumbani (tena kwa kujiamani kabisa)

Mimi: Moyoni gadhabu Inanijia kitanda chote cha moto naamua Bora nishuke nikalale kwenye kochi maana kuendelea kulala naye kitanda kimoja naona itakuwa ni hatari kwa afya yake maana naweza nikampa kipondo heavy alafu kesho anipe shida kwenye matibabu

Waungwana mpaka hapo nyie mnaonaje huyu shemeji yenu, kuna usalama kwenye hii ndoa yenye mwaka mmoja na miezi 10??
 
Wengi mmeingia kwenye ndoa mkiwa bado hamjakomaa akili.

Yaani bado hamuwafahamu wanawake ni watu wa aina gani.

Hapo sasa ngoja nikuambie, kinachoendelea hapo kwenye ndoa yako ni kwamba mkeo anataka kukuendesha tu kwa vyovyote na wewe hujui hili suala.

Ngoja ataanza kukuendesha kwenye vitu vingine pia; siku akikuzidi hela na wewe utakapokuwa umepata tatizo la kazi ndio utalala njaa. Yani yeye tamaa yake ipo kwenye kukuendesha tu.

Nakushauri ishi na mkeo kwa akili sana japo sio wanawake wote wapo hivyo.

Na nyie ambao bado hamjaoa, angalieni na chunguzeni tabia za mnaoenda kuwaoa ni wanawake positive au ni negative ili kuepukana na mambo kama haya yasiyo na msingi. Mkipata mwanamke positive huwezi kukuta mambo yoyote ya ajabu na matukio ya visa
 
328C86C8-55EC-45D8-A1E2-115932CB88DD.jpeg
 
Mwanangu rapcha umeimba hili goma leo ndo nimejua kuwa wanawake ni watu wa ajabu mno can you imagine leo ni siku ya 11 wife ananinyima tendo la ndoa bila sababu ya msingi.

Sasa leo nimeamua kuchachamaa bado wife amekaza daaah kiukweli roho imeniuma sana let me summarize
mimi😱ya mama mtu naomba haki yangu basi

Wife:kwanza tengua kauli yako ya juzi uliyosema

Mimi:kimya kinanitawala mawazo yanachukua nafasi kichwani mwangu palepale hisia za mahaba zinanitoka nakuona sasa huyu mwanamke kuna kitu kinamtia kiburi kwa hasira naamua kuropoka oya mama mtu mimi naona nikamwambie babaako hili unalonifanyia tuone mzee wako atachukua uamuzi gani

Wife:anacheka kwa dharau alafu kanasema wewe mara ya mwisho siulisema utatoka nje ya ndoa sasa babaangu ukamwambie wanini??

Mimi:hasira zinanijaa namwambia oya mimi nimekuchoka mwanangu kama vipi tuachane tu kwasababu haiwezekani nakuomba haki yangu alafu wewe unachukulia poa tu

Wife:ananiangalia usoni kama sekunde 30 alafu anasema bila ya maandishi toa karatasi (talaka) niende nayo nyumbani tena kwa kujiamani kabisa

Mimi:moyoni gadhabu Inanijia kitanda chote cha moto naamua Bora nishuke nikalale kwenye kochi maana kuendelea kulala naye kitanda kimoja naona itakuwa ni hatari kwa afya yake maana naweza nikampa kipondo heavy alafu kesho anipe shida kwenye matibabu

Waungwana mpaka hapo nyie mnaonaje huyu shemeji yenu kuna usalama kwenye hii ndo yenye mwaka mmoja na miezi 10??
Pole sana mkuu, hakuna kitu kinauma kama unaiona Ile pale afu hupewi 😔😔😔😔

Anyway, Sasa babaake ukamuambie nini??
 
Back
Top Bottom