Mke wangu ananinyima tendo la ndoa bila sababu ya msingi

Kama ni kweli hiyo ndoa haitadumu tayari ina ufa. Ni mapema mno kunyimana utamu. Huyo jamaa cha kufanya angetafuta chepuko fulani la kutoa ugwadu ili akinyimwa homu anakula kubisi tu kimya huku akiendelea kuishi na mke wake. Si vema sana kuwa na mchepuko ila ikibidi unakuwa nae kama mke hataki kutoa uroda. Unafika hom unaomba utamu akikataa unaenda kwa mchepuko anakupa unarudi nyumbani mwepesi huhangaiki kuomba mke ambaye hataki. Moja ya sababu kuu ya kuwa na ndoa ni kupiga shoo tu kwa uhuru na amani. Ndoa bila shoo ni vurugu
 
Mwanangu rapcha umeimba hili goma leo ndo nimejua kuwa wanawake ni watu wa ajabu mno can you imagine leo ni siku ya 11 wife ananinyima tendo la ndoa bila sababu ya msingi.

Sasa leo nimeamua kuchachamaa bado wife amekaza. Daaah, kiukweli roho imeniuma sana let me summarize:

Mimi: Mama, naomba haki yangu basi

Wife: Kwanza tengua kauli yako ya juzi uliyosema

Mimi: Kimya kinanitawala mawazo yanachukua nafasi kichwani mwangu palepale hisia za mahaba zinanitoka na kuona sasa huyu mwanamke kuna kitu kinamtia kiburi kwa hasira naamua kuropoka oya mama mtu mimi naona nikamwambie babaako hili unalonifanyia tuone mzee wako atachukua uamuzi gani

Wife: Anacheka kwa dharau halafu kanasema “wewe mara ya mwisho si ulisema utatoka nje ya ndoa? Sasa babaangu ukamwambie wa nini?”

Mimi: Hasira zinanijaa namwambia oya mimi nimekuchoka mwanangu, kama vipi tuachane tu kwasababu haiwezekani nakuomba haki yangu halafu wewe unachukulia poa tu

Wife: Ananiangalia usoni kama sekunde 30 halafu anasema bila ya maandishi toa karatasi (talaka) niende nayo nyumbani (tena kwa kujiamani kabisa)

Mimi: Moyoni gadhabu Inanijia kitanda chote cha moto naamua Bora nishuke nikalale kwenye kochi maana kuendelea kulala naye kitanda kimoja naona itakuwa ni hatari kwa afya yake maana naweza nikampa kipondo heavy alafu kesho anipe shida kwenye matibabu

Waungwana mpaka hapo nyie mnaonaje huyu shemeji yenu, kuna usalama kwenye hii ndoa yenye mwaka mmoja na miezi 10??
Shida Iko hapo kwenye kutunishiana misuri!
 
Duh ndoa zina mambo mengi sana, hapo tafuta kidemu nje uwe unajipigia tu yan ni kupeleka moto mwanzo mwisho unarud zako nyumbani kimya maisha yanasonga
Kidume mzima unaanza kumuomba mkeonpapuchi ni ujinga uliopitiliza. Mke hakupi mbushsu wee gegeda huko nje na huduma ndani ya nyumba unapunguza taratibu.
 
Mwanangu rapcha umeimba hili goma leo ndo nimejua kuwa wanawake ni watu wa ajabu mno can you imagine leo ni siku ya 11 wife ananinyima tendo la ndoa bila sababu ya msingi.

Sasa leo nimeamua kuchachamaa bado wife amekaza. Daaah, kiukweli roho imeniuma sana let me summarize:

Mimi: Mama, naomba haki yangu basi

Wife: Kwanza tengua kauli yako ya juzi uliyosema

Mimi: Kimya kinanitawala mawazo yanachukua nafasi kichwani mwangu palepale hisia za mahaba zinanitoka na kuona sasa huyu mwanamke kuna kitu kinamtia kiburi kwa hasira naamua kuropoka oya mama mtu mimi naona nikamwambie babaako hili unalonifanyia tuone mzee wako atachukua uamuzi gani

Wife: Anacheka kwa dharau halafu kanasema “wewe mara ya mwisho si ulisema utatoka nje ya ndoa? Sasa babaangu ukamwambie wa nini?”

Mimi: Hasira zinanijaa namwambia oya mimi nimekuchoka mwanangu, kama vipi tuachane tu kwasababu haiwezekani nakuomba haki yangu halafu wewe unachukulia poa tu

Wife: Ananiangalia usoni kama sekunde 30 halafu anasema bila ya maandishi toa karatasi (talaka) niende nayo nyumbani (tena kwa kujiamani kabisa)

Mimi: Moyoni gadhabu Inanijia kitanda chote cha moto naamua Bora nishuke nikalale kwenye kochi maana kuendelea kulala naye kitanda kimoja naona itakuwa ni hatari kwa afya yake maana naweza nikampa kipondo heavy alafu kesho anipe shida kwenye matibabu

Waungwana mpaka hapo nyie mnaonaje huyu shemeji yenu, kuna usalama kwenye hii ndoa yenye mwaka mmoja na miezi 10??
Pole nioe mimi
 
Back
Top Bottom