Mke wangu ananinyima tendo la ndoa bila sababu ya msingi

Mke wangu ananinyima tendo la ndoa bila sababu ya msingi

20241123_225707.jpg
Kasongo shtuka unato.mbewa!
 
Mwanangu rapcha umeimba hili goma leo ndo nimejua kuwa wanawake ni watu wa ajabu mno can you imagine leo ni siku ya 11 wife ananinyima tendo la ndoa bila sababu ya msingi.

Sasa leo nimeamua kuchachamaa bado wife amekaza. Daaah, kiukweli roho imeniuma sana let me summarize:

Mimi: Mama, naomba haki yangu basi

Wife: Kwanza tengua kauli yako ya juzi uliyosema

Mimi: Kimya kinanitawala mawazo yanachukua nafasi kichwani mwangu palepale hisia za mahaba zinanitoka na kuona sasa huyu mwanamke kuna kitu kinamtia kiburi kwa hasira naamua kuropoka oya mama mtu mimi naona nikamwambie babaako hili unalonifanyia tuone mzee wako atachukua uamuzi gani

Wife: Anacheka kwa dharau halafu kanasema “wewe mara ya mwisho si ulisema utatoka nje ya ndoa? Sasa babaangu ukamwambie wa nini?”

Mimi: Hasira zinanijaa namwambia oya mimi nimekuchoka mwanangu, kama vipi tuachane tu kwasababu haiwezekani nakuomba haki yangu halafu wewe unachukulia poa tu

Wife: Ananiangalia usoni kama sekunde 30 halafu anasema bila ya maandishi toa karatasi (talaka) niende nayo nyumbani (tena kwa kujiamani kabisa)

Mimi: Moyoni gadhabu Inanijia kitanda chote cha moto naamua Bora nishuke nikalale kwenye kochi maana kuendelea kulala naye kitanda kimoja naona itakuwa ni hatari kwa afya yake maana naweza nikampa kipondo heavy alafu kesho anipe shida kwenye matibabu

Waungwana mpaka hapo nyie mnaonaje huyu shemeji yenu, kuna usalama kwenye hii ndoa yenye mwaka mmoja na miezi 10??
Gentleman,
hapo sasa ndiyo ndoa imekolea vizuri,

pale wangwana wanaposemaga ndoa sio lelemama inahitaji uvumilivu ndio hapo sasa,

na ile habari ya kuishi nao hao viumbe kwa akili ndiyo inapaswa kutumika na kuchukua mkondo wake sasa, gentleman.

ndoa inahitaji hekima sana kuitunza mpaka kifo kiwatenganishe. Pendaneni na msichokozane ndrugu zango.

huo ni upepo wa kisulisuli ambao umepita majumba mengi sana ya wana ndoa.

hilo nalo litapita tu 🐒
 
Tukiwambia achana na wanawake wasomi au wafanyakazi mangoma.
Mwanamke inabidi akutegemee Kwa kila kitu ili upate heshima.
Mwanamke ana kipato chake, amechoshwa na boss ofsini au anaweza biashara zake aje akupe kummer kijana anaye bet
 
Wengi mmeingia kwenye ndoa mkiwa bado hamjakomaa akili.

Yaani bado hamuwafahamu wanawake ni watu wa aina gani.

Hapo sasa ngoja nikuambie, kinachoendelea hapo kwenye ndoa yako ni kwamba mkeo anataka kukuendesha tu kwa vyovyote na wewe hujui hili suala.

Ngoja ataanza kukuendesha kwenye vitu vingine pia; siku akikuzidi hela na wewe utakapokuwa umepata tatizo la kazi ndio utalala njaa. Yani yeye tamaa yake ipo kwenye kukuendesha tu.

Nakushauri ishi na mkeo kwa akili sana japo sio wanawake wote wapo hivyo.

Na nyie ambao bado hamjaoa, angalieni na chunguzeni tabia za mnaoenda kuwaoa ni wanawake positive au ni negative ili kuepukana na mambo kama haya yasiyo na msingi. Mkipata mwanamke positive huwezi kukuta mambo yoyote ya ajabu na matukio ya visa
Uko sahihi 100% mwanamke negative ni chachu ya kushindwa kwako.
 
Piga nyeto mbele yake halafu mwagia kwenye bichwa lake, kisha futia na nywele zake.!!

Ila wanaume mlioa mnachekesha sana.!!
Yani mkeo uliyejinyima vipesa vyako ukaenda kumtolea mahari kwao uje umlishe na kumtunza, anakupanda kichwani na wewe unamchekea??? 😏
hiyo ndio nini Lady kwa faida ya tulio wageni?🐒
 
jiongeze tafsiri ya fundo la mafiga matatu unaijua wewe! unachofanyiwa ndo ndo fundo lenyewe siku ya send off mkuu.....nyumbulika bwana mdogo ukisia Dunia tambarare ulimwengu umebinuka ndo hayosasa
 
Tabasamu langu ni furaha yako Ila wanasemaa hawajui......

Wakikuona unavyo pendeza hawajuii...

Hawaajui ushauri wangu umekufikisha hapo......

Ushauri wangu kwa wanandoa wote siku zotee neno hili lisikose kinywani mwenu ....... Neno hili
 
Wewe NGUMBARU una ugeni gani? 😹
Veggies wote wapiga nyeto 🤣
bado unazidi kuwachanganya wadau zaidi my Lady,


kwamba mimi ni zambarau, sawa sikatai, si matunda au?

na hao wadau wengine eti wote ni wapiga nini ?

ni kwa mwaka huu mpya2025, au miaka ya nyuma?


kumbuka tunauchagizi Oct mwaka huu 🐒
 
Mimi: Mama, naomba haki yangu basi
KABLA YA YOTE JIULIZE ANAVYO KUNYIMA WEWE , YEYE DYUDYU YA KUMNYANDUA ANATOA WAPI . ALAFU KUNYWA MAJI UTULIE

SASA NJOO HAPA UKISHA KUNYWA MAJI


Kosa lako liko hapa wewe endelea kujilegeza kuomba akutesee tamuu mpaka unyooke huku wenzako huku nje tunakuchapi kilaini sana. Hapa inaonyesha dhahiri wewe ni dhaifu, tendo la ndoa haliombwi ni lazima na ni haki yako ya msingi sana kupewa kama hakuna changamoto za kiafya au mazingira salama kupewa.

Tofauti na hapo

kama yupo hapo ana kwa ana unataka kwa wakati huo huo , kaza sauti na macho alafu Mwambie kwa kutumia mamlaka za kiume hivi;-

"mke wangu nipe haki yangu ya ndoa" , moja kwa moja usisubiri ajibu anza kujiongeza kwa vitendo akikataa jibu soma huko chini nimeweka

-kama unaondoka acha maagizo namna hii kiume zaidi

mwambie kabisa Hivi " mama leo nataka tendo la ndoa nikirudi" na ukirudi anza moja kwa moja kumshughulikia usiongee tena , vitendo viongee akikataa angalia huko chini nilichosema cha kufanya.

MAJIBU /REACTION ZAKO

MKEO a kikaza akakataa au akaweka sababu zozote zile , mjibu "sawa" alafu mpotezee kabisa ,usiwe na time nae wala usiulizie tena tendo kwa namna yeyote ile ( kama unamchepuko kula huko nje ushibe kabisa)

Alafu uone kama siku nyingine atakua anakunyima. Na akija kukupa piga saizi yako maliza alafu tulia kimnya endelea na mishe zako iwe ni yeye ateseke kukutafuta kukupa ndani ya miezi 2 mfululizo.


Nb: WANAWAKE WANAJUA KABISA WAKITUNYIMA TENDO TUTACHEPUKA NA TUKINOGEWA HATURUDI NYUMA, UKIWA MWANAUME ANAKUPA KILA SIKU HATA AKIWA MWEZINI MPAKA UNAKATAA WEWE MWENYEWE.
 
Back
Top Bottom