Mke wangu ananinyima tendo la ndoa bila sababu ya msingi

Mwanangu rapcha umeimba hili goma leo ndo nimejua kuwa wanawake ni watu wa ajabu mno can you imagine leo ni siku ya 11 wife ananinyima tendo la ndoa bila sababu ya msingi.

Sasa leo nimeamua kuchachamaa bado wife amekaza. Daaah, kiukweli roho imeniuma sana let me summarize:

Mimi: Mama, naomba haki yangu basi

Wife: Kwanza tengua kauli yako ya juzi uliyosema

Mimi: Kimya kinanitawala mawazo yanachukua nafasi kichwani mwangu palepale hisia za mahaba zinanitoka na kuona sasa huyu mwanamke kuna kitu kinamtia kiburi kwa hasira naamua kuropoka oya mama mtu mimi naona nikamwambie babaako hili unalonifanyia tuone mzee wako atachukua uamuzi gani

Wife: Anacheka kwa dharau halafu kanasema “wewe mara ya mwisho si ulisema utatoka nje ya ndoa? Sasa babaangu ukamwambie wa nini?”

Mimi: Hasira zinanijaa namwambia oya mimi nimekuchoka mwanangu, kama vipi tuachane tu kwasababu haiwezekani nakuomba haki yangu halafu wewe unachukulia poa tu

Wife: Ananiangalia usoni kama sekunde 30 halafu anasema bila ya maandishi toa karatasi (talaka) niende nayo nyumbani (tena kwa kujiamani kabisa)

Mimi: Moyoni gadhabu Inanijia kitanda chote cha moto naamua Bora nishuke nikalale kwenye kochi maana kuendelea kulala naye kitanda kimoja naona itakuwa ni hatari kwa afya yake maana naweza nikampa kipondo heavy alafu kesho anipe shida kwenye matibabu

Waungwana mpaka hapo nyie mnaonaje huyu shemeji yenu, kuna usalama kwenye hii ndoa yenye mwaka mmoja na miezi 10??
piga goli la Nape mbele yake.
 
Hapana Wacha leo alale ila kesho huyu Mimi kwa wazazi wake naenda kuwachana live huu ungese wake anaoniletea
Umechelewa sana kuchukua uamuzi lakini it's better late than never.
Umeruhusu mpaka kudharauliwa kwa kiwango hicho, ni vizuri hasa kwa mental health yako ukimuacha japo hapo alipofikia wala haitamuuma. Kitu pekee kitakachofanya ajutie kuachana na wewe ni kama atapigika kimaisha, hilo tu kwani heshima na mapenzi kwako hana kabisa.
 
Hapo tu uliposema "mama ,Naomba haki yangu basi Leo". hata ingekuwa Mimi mke wako sikupi. What a poor approach. Shaaa!. Style up banaa.
 
Hapana akifanya hivyo atakua kashindwa yeye Mwanaume ndani ya Nyumba inatakiwa ukitoa Maelekezo ya fatwe au ukitaka jambo litekelezwe kwa wakati huo.
Kwa kesi ya huyu Mwenzetu shida ipo kwenye Misimamo yake na mnyonge na Wanawake wajanja sana wanatabia ya kukusoma Mwanaune na kukujaribu ili kuona maamuzi yako kwenye Matukio yake anayoyafanya, Sasa akijua wewe mpole ndiyo hapo anaanza kuleta utaratibu wake ndani ya Nyumba, lakini ukiwa mkari kwenye Mambo ya hovyo atakuogopa na Wanawake wana waogopa sana Wanaume mkorofi kwenye Mambo ya hovyo na wanawaheshimu sana, Wanajuq kabisa huyo Mume wangu nikimletea ujinga tu atanipasua.
Maagizo unayotoa yasipofuatwa utachukua hatua gani?
 
Mwanangu rapcha umeimba hili goma leo ndo nimejua kuwa wanawake ni watu wa ajabu mno can you imagine leo ni siku ya 11 wife ananinyima tendo la ndoa bila sababu ya msingi.

Sasa leo nimeamua kuchachamaa bado wife amekaza. Daaah, kiukweli roho imeniuma sana let me summarize:

Mimi: Mama, naomba haki yangu basi

Wife: Kwanza tengua kauli yako ya juzi uliyosema

Mimi: Kimya kinanitawala mawazo yanachukua nafasi kichwani mwangu palepale hisia za mahaba zinanitoka na kuona sasa huyu mwanamke kuna kitu kinamtia kiburi kwa hasira naamua kuropoka oya mama mtu mimi naona nikamwambie babaako hili unalonifanyia tuone mzee wako atachukua uamuzi gani

Wife: Anacheka kwa dharau halafu kanasema “wewe mara ya mwisho si ulisema utatoka nje ya ndoa? Sasa babaangu ukamwambie wa nini?”

Mimi: Hasira zinanijaa namwambia oya mimi nimekuchoka mwanangu, kama vipi tuachane tu kwasababu haiwezekani nakuomba haki yangu halafu wewe unachukulia poa tu

Wife: Ananiangalia usoni kama sekunde 30 halafu anasema bila ya maandishi toa karatasi (talaka) niende nayo nyumbani (tena kwa kujiamani kabisa)

Mimi: Moyoni gadhabu Inanijia kitanda chote cha moto naamua Bora nishuke nikalale kwenye kochi maana kuendelea kulala naye kitanda kimoja naona itakuwa ni hatari kwa afya yake maana naweza nikampa kipondo heavy alafu kesho anipe shida kwenye matibabu

Waungwana mpaka hapo nyie mnaonaje huyu shemeji yenu, kuna usalama kwenye hii ndoa yenye mwaka mmoja na miezi 10??
Mkuu to*mba nje ukirudi home uko fresh unaulizia msosi tu. Mwenyewe atanyooka
 
Kumuita tu mkeo “Mwanangu” inatosha kusema kwamba hampo serious hata kidogo
 
Hapo ndipo wanaume tunakosea, usijifanye gentleman ukalala kwenye kochi.

Mwache alale yeye kwenye kochi kesho atapata akili
Inabidi alete mwanamke mwingine ndani humo humo....

Ukiwa huna pesa lazima mwanamke akudharau pia ukiwa humfikishi kileleni..

Pia labda unalewa yeye hapendi/ haujifanyii usafi wa mwili sababu ni nyingi Sanaa

Huyu jamaa inabidi atupe ukweli chanzo Cha yote yaliyo tokea ni Nini 🏃 🏃
 
Ndoa ina mambo mengi kaka acha tu
 
Hao wanawake wa hivo mbona mi siwapati? Wanapatikani wapi na mimi nimpate mmoja akawasimulie na wengine?

we jamaa mbona bwege ivo? Mwanamke kama umemuoa na ni Mke wako wa halali haina haja ya kuomba KUMMERR cha kufanya kama kavaa gauni we pandisha gauni weka chupi upande chomeka msumari piga miuno.

Yaani mkeo unamuambia mke wangu naomba haki yangu ya ndoa? We bwege nini?

Ukimkuta jikoni,sebuleni,bafuni,uwani we usiulize pandisha gauni weka chupi upande chomeka msumari piga miuno.
🤣🤣🤣 hiyo miuno sasa hahahahahahah aki nmecheka
 
Hapana Wacha leo alale ila kesho huyu Mimi kwa wazazi wake naenda kuwachana live huu ungese wake anaoniletea
Ukienda kumsemea unaonesha udhaifu mkubwa hapo ilikua inatakiwa unapuga tukio yeye ndio akaseme, mwanaume mzima ati unaenda kumsemea MWANAMKE we fala sana ndio maana anakuendesha. Yani umeshindwa kumtomber kwa nguvu ?!! Nina mambo mengi ya kusema mpaka nashindwa kuandika. Mara nyingine wanawake wanakutikisa wanataka waone utafanya nini, aaah kumamaeee nashindwa kuandika, we jamaa ni falaaa sana
 
Lakn ukweli ni kwamba zpo sababu nying za mwanamke kumnyima mwanaume tendo la ndoa, wanaume wengine wanataka kila siku yaaan yy hachoki kla siku anafanya kama ni chakula akikosa atakufa.

Wanaume wengne ni wachafu, hawajiweki katka hali ya usafi nayo hiyo nichangamoto unajikuta unakinai.

Na pia muda mwingine jamani kuna kuchoka unaingia kazin alfajir na usku kucha mwanaume anakuto*mb, ukienda kazini umechoooka hata unashindwa kufanya kazi. Jaman tuwe na kiasi na ujue mkeo si robot.

Mengineyo: lkn jaman unaombaje hivyo ati "mama naomba haki yangu ya ndoa" asee! Sijawah ombwa na siku nikiombwa hivyo aki nitacheka ni kama unafanya mchezo, kuna mazingira tu yanawekwa mkeo mwenyewe anaelewa nn anatakiwa afanye. Hiyo kuombana hapana sijaipenda hata mimi.....huyo si mkeo unamjua vyema sasa kwann uombe kama uko sjui wapi jamani hii kwangu mpya....
 
Hivi kulala kwenye kochi ni adhabu?🤣🤣🤣
Hujakutana na pasua kichwa wewe, they dont care.
Ukiona mwanamke pasua kichwa unamuoa wa nini?
Kulala kwenye kochi a reflect, akishindw hilo arudi kwa baba yake aangqlie ustaarabu mwingine. .

umeolewa Demi , kweli utamvimbia bwana wako kwa kulala kwenye kochi?
 
Back
Top Bottom