Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio suluhisho na kama unafanya hivyo jua kuwa wewe bado ni simp promax labda kama hujui cha kufanya tu nimwage code hapa..Tenga 15000 tuu unalipia unapiga viwili unarudi kulala.
Basi ataenjoy sana pia kama ni hivyo!!Demi ni mmoja ya wanawake wasio na mambo mengi humu ndani.
Atakufaa sana.
Inategemea na sababu. Mtu hawezi nyimwa tendo bila sababu ya msingi, wakae chini wazungumze.Ukiona mwanamke pasua kichwa unamuoa wa nini?
Kulala kwenye kochi a reflect, akishindw hilo arudi kwa baba yake aangqlie ustaarabu mwingine. .
umeolewa Demi , kweli utamvimbia bwana wako kwa kulala kwenye kochi?
Basi tutaendana. Maana tutakuwa tunakaa wote siku chache. Maana inachosha eti kukaa na mtu kila siku hata safari hapati .Basi ataenjoy sana pia kama ni hivyo!!
Maana napotea mtaani after 26 days
Hizo nne zilizobaki nikirudi ni mwendo wa matank ya mahaba na kumsikiliza anachotaka na mitoko full..
Kwa hiyo unajisifu kwa kiburi? Zama hizi hakuna wanawake ni wafanyabishara wanaojivika kilemba cha kutaka kuolewa.Inategemea na sababu. Mtu hawezi nyimwa tendo bila sababu ya msingi, wakae chini wazungumze.
Mimi ni pasua kichwa kama utaleta ubabe usio kuwa na maana, na ukiniambia nirudi kwa baba yangu kabla hujamaliza sentensi nipo getini, naondoka sibebi chochote na usiponifata ndo imetoka hiyo.
Kila anayefanya kosa na ajishushe.
Sisi ndo tupo, hutaki...usioeKwa hiyo unajisifu kwa kiburi? Zama hizi hakuna wanawake ni wafanyabishara wanaojivika kilemba cha kutaka kuolewa.
Badirisha mfumo wako wa maisha unayoishi nae huyo mkeo saiz anaona unauhitaji mkubwa sana kwake sasa ondoa huo uhitaji wa sex kwake hudumia familia yako vzr piga nae story tu ukifika muda wa kulala ww nenda kalale kimya usiombe kituMwanangu rapcha umeimba hili goma leo ndo nimejua kuwa wanawake ni watu wa ajabu mno can you imagine leo ni siku ya 11 wife ananinyima tendo la ndoa bila sababu ya msingi.
Sasa leo nimeamua kuchachamaa bado wife amekaza. Daaah, kiukweli roho imeniuma sana let me summarize:
Mimi: Mama, naomba haki yangu basi
Wife: Kwanza tengua kauli yako ya juzi uliyosema
Mimi: Kimya kinanitawala mawazo yanachukua nafasi kichwani mwangu palepale hisia za mahaba zinanitoka na kuona sasa huyu mwanamke kuna kitu kinamtia kiburi kwa hasira naamua kuropoka oya mama mtu mimi naona nikamwambie babaako hili unalonifanyia tuone mzee wako atachukua uamuzi gani
Wife: Anacheka kwa dharau halafu kanasema “wewe mara ya mwisho si ulisema utatoka nje ya ndoa? Sasa babaangu ukamwambie wa nini?”
Mimi: Hasira zinanijaa namwambia oya mimi nimekuchoka mwanangu, kama vipi tuachane tu kwasababu haiwezekani nakuomba haki yangu halafu wewe unachukulia poa tu
Wife: Ananiangalia usoni kama sekunde 30 halafu anasema bila ya maandishi toa karatasi (talaka) niende nayo nyumbani (tena kwa kujiamani kabisa)
Mimi: Moyoni gadhabu Inanijia kitanda chote cha moto naamua Bora nishuke nikalale kwenye kochi maana kuendelea kulala naye kitanda kimoja naona itakuwa ni hatari kwa afya yake maana naweza nikampa kipondo heavy alafu kesho anipe shida kwenye matibabu
Waungwana mpaka hapo nyie mnaonaje huyu shemeji yenu, kuna usalama kwenye hii ndoa yenye mwaka mmoja na miezi 10??
Mtachezewa sana na unanukia usingo mama kwa dalili hizo.Sisi ndo tupo, hutaki...usioe
Mwaka wa 17 huu na bado nipo. Ndoa ni maelewano so anajua kabisa kwamba sishabikii kuwa kwenye ndoa kivile. Kama anaitaka tutulizane, kama haitaki tuvurugane.Mtachezewa sana na unanukia usingo mama kwa dalili hizo.
Kwanza kukaa wote sehemu moja muda wote inaanza kuwafanya wote muwe jinsia moja. Japo mkijiangalia kila mmoja ana kikojoleo chake na havifanani lakini ndio hivyo havisisimuani tena mapenzi sio hisia bhana,, Mapenzi ni mvuto huo mvuto ukipotea tu hakuna la ziada tena..Basi tutaendana. Maana tutakuwa tunakaa wote siku chache. Maana inachosha eti kukaa na mtu kila siku hata safari hapati .