Mke wangu ananinyima tendo la ndoa bila sababu ya msingi

Hujawahi kujua tabia ya mtu awe mke au mume inabadilishwa kulingana na mnavoishi? Mke hubadilika kulingana na matendo ya mume, na kwa mume vivyo hivyo,
 
Mbn kama shida ilianzia kwako???
 
Mkuu sio anakunyima huyo tayari ashapata njemba inayomkuna vizuri Mimi Kuna mke wa mtu aliniambia jamaa yake akitaka utelezi anamwambia ana bled akija kwangu ananipa sasa mkuu pole sana na huko mbele Kuna shida zaidi yaani kwa ufupi mwanamke Hana hisia na wewe tena
 
Kama watu wanakunywa maziwa huku hawafugi, unafeli wapi mkuu?
 
Tafuta ka demu ka kupiga mzigo achana na huyo boya.mwanzoni nilivyooa nilikumbana na shida hii sana,nikawa nachepuka jambo ambalo hata mimi nilikuwa silipendi ,basi nikawa na side chick,ili fika wakati nikawa nagegeda beki tatu.Akawa anasema sikupi mzigo,Wala hata sihangaiki naye sana,alivyogundua napiga beki tatu kanishitaki nikawaambia watu nanyimwa unyumba.tokea hapo akawa anatoa haleti longo longo nyingi.
 
Ukiona mkeo ameanza kukunyima unyumba jua huyo ana mchepuko, fanya maamuzi mapema kabla tatizo halijawa sugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…