Mke wangu ananinyima unyumba, haniheshimu na anatoa siri zetu za ndani kwa nduguze

Jamaa maisha yake ni magumu, imagine hela ya kula anaacha buku 2,
Labda huyo binti alidhani anaolewa na tajiri sasa alipokuja mjini akakuta jamaa bado ni mtafutaji ndio akaanza visa....
Na hii ndo the source ya ugomvi wote huo
 
Daah sasa alikubali vipi kuolewa na Mimi.
Kwa jinsi ulivyo eleza, hakukubali. Ila alilazimika kuolewa na wewe kwa sababu ya mazingira. Ila ndugu yangu uache ushamba...hayo mambo ya kununua mbuzi kwenye gunia yamepitwa na wakati. Hapo hakuna ndoa, na ukiendelea kung'ang'ania utajilaumu baadae.
 
Hapana hakuwa bikra
hii ni bonge la mistake, kwenda kuoa kijijini kwenu halafu bado hukuoa bikra ulijichanganya, ukikuta demu wa kijijini below 20 yrs siyo bikra usioe, kwann hukumuuliza mkuu, kama angekua bikra ni kawaida kugomea mbususu zile siku za mwanzo kwasababu bado anakua na maumivu ya kutolewa bikra, yaani kwao akiona giza linaingia anawaza mgegedo utakuaje, lakin after 1 week unaanza kupewa mzigo wote maana anakua ashazoea
mm nlioa huko lakini si kwa haraka hivyo, nilifahamiana nae almost 3months, swali la kwanza nlilomuuliza 1st time tunawasiliana ni kama alikua bikra au la, kwa mila zetu ukigonga mwanamke kabla ya kumuoa hiyo ndoa inakua ya misuko suko sana, kwahiyo nlipojiridhisha vizuri tukakubaliana namtorosha kwanza anakuja kwangu nachapa mbususu kama kweli ni bikra maisha ya ndoa yanaanzia hapo akiwa siyo bikra kesho yake nampa nauli asepe, na akienda kwao atajua mwenyewe aseme alikua wapi, akasema sawa

mpaka hapa tunapozungumza nina watoto wawili na kipenzi changu mke wangu, ndoa imenyooka kama rula,
 
Mpandishe cheo awe Bi Mkubwa
 
Hapo mwisho umetaja ukweli wenyewe. Huyo si wa kujenga familia. Yupo kwako kimaslahi na ndio maana anakwambia hana haraka ya kuzaa. Hataki kujifunga na wewe kwa mtoto sababu hana ndoto za kuzeeka na wewe.
 
Kosa ndo lilianzia hapo,
Shake very well before use!!!
 
Ulifeli hata kabla haujaanza. Hayo unayoyaona sasa ndo matokeo! Msingi wa ndoa unajengwa kabla haujaingia sio ukishaingia, lazima mwanamke ajue una msimamo dhabiti otherwise hatakuheshimu.
 
Pole sana Wiki moja ni muda mfupi sana jaribu kuwashirikisha hao wakubwa waliokufanyia mpango, Mungu akusaidie.
 

Swala gumu Sana Kwa wanaume Ni kujua kwamba hata Kama umeoa; ili mwanamke akupe unyumba Lazima awe Kwenye pick ya Furaha, ndo maana wanandoa wengi tu wanabakana!

Kufurahia unyumba Kwenye ndoa Ni Matokeo ya maisha ya Amani ya ndoa; ndivyo wanawake walivyoumbwa na sio kosa Lao; kabisa: ili mwanamke awe na amani:

- Hatakiwi kuwaza au kuwaza kuhusu maitaji, ndo maana wanaume Lazima tujitosheleze, sio pesa nyingi Sana, kujitosheleza tu.

- Usiwe na gubu na Ma ugomvi yasiyoisha, epusha kabisa, ukiona huwezi maisha ya Amani na mwanamke hata Kama ana matatizo, mpuuze au tafuta mwingine, WANAMLA tu!
 


Pole sana Kaparare

Kabla hujauliza kama hapo kuna mke wewe ni nani? Nafasi ya mwanaume haiombwi wala kudaiwa sababu ni amri kumtii mume.

Halafu inakuaje kumnyima mume jameni😅😅😅 au wewe ndio umemuondolea hamu sasa unalalamika😳😳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…