Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,056
Jamaa maisha yake ni magumu, imagine hela ya kula anaacha buku 2,Kuna mengi maybe una pesa so alifata pesa maisha mazur hvo au family ilimforce sababu kama hzo
Labda huyo binti alidhani anaolewa na tajiri sasa alipokuja mjini akakuta jamaa bado ni mtafutaji ndio akaanza visa....