Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,303
Kingi; uc-generalise wengine hawapendi machejo na ukija rough kwa wengine ni turn off; nadhani mkuu anataka kujau ni wapi aanzie kutatua tatizo lake nami naamini tataizo halianzii wakatai GAME nahihi kuna vitu vingi vinavyoamabatana nalo hapo!
Mimi na mke wangu tumekuwa katika ndoa yapata miaka mi 3 sasa! Hali ilikuwa ni nzuri kwani tulikiuwa tunakula tunda kila siku angalau asubuhi kamoja na jioni kabla ya kulala kamoja!
Siku hizi hali imebadilika kwani hataki tena na huwa naboreka sana pale anaponijibu eti "nasikia usingizi, tutafanya asubuhi (lakini asubuhi ikifika oooh ngoja nifanye usafi, mara kwanza watoto niwaandalie chai) mpaka siku inapita! Mara ooh nimechoka, sina hamu, sijisikii kufanya, wewe unataka kila siku, kwani umesikia hii ni pipi? etc"...
Roho inaniuma sana mpaka nimeamua kumwangalia tu kwani najua nikimuomba tunda la roho nitapewa majibu na sababu hizo hapo juu na mwisho wake tuanze kugombana bure...
Mimi sasa hivi 'feelings' zinanisumbua sana na sijawahi kutembea nnje ya ndoa ila kwa tabia yake hiyo nashawishika kwenda nnje kitu ambacho nadhani sio kizuri!
Je, bora tuendelee kuishi kama kaka na dada? au nitafute 'kajumba' kadogo huko nnje niwe napunguza taratibu?
Je, nikitoka nnje ya ndoa nitakuwa nimemkosea mke wangu? Nifanyeje ili niweze kumshawishi mwandani wangu ili tuwe tunakula tunda kama zamani?
@Mchango wako unahitajika (true story)!
Hali ilikuwa ni nzuri kwani tulikiuwa tunakula tunda kila siku angalau asubuhi kamoja na jioni kabla ya kulala kamoja!
wewe unataka kila siku, kwani umesikia hii ni pipi? etc"...
ni pm nitakupa ushauri, nitamfunda atafundika, usihofu Pape, mimi ni mtaalam kwa wanawake wenye tabia kama hizo
Hizo tabia mimi nazijua, ukiona mkeo anakunyima uroda wa mbele, maana yake anataka kuliwa tigo, na wewe kichwa maji, bado hujamuelewa tu!!!
Hizo tabia mimi nazijua, ukiona mkeo anakunyima uroda wa mbele, maana yake anataka kuliwa tigo, na wewe kichwa maji, bado hujamuelewa tu!!!
sijambo madule, karibu nyumbani nakualika, kuna biriani ya batabwabwa hujambo?
umefunda wangapi?
mbona dada yako hujamfunda juu ya yule mmewe?
sijambo madule, karibu nyumbani nakualika, kuna biriani ya bata
..akiwa mtusti ndio nini?? Mnataka kutambika???
pape kuwa mwangalifu na bwabwa hilo lisikuharibie mke