Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
pole sana mkuu.huo ni mtihani mkubwa sana kwenye ndoa lakini kabla hatuja muhukumu mkeo je wakati mnafanya tendo la ndoa mwanzoni mara mbili kwa siku mlishakuwa na watoto? watoto/mtoto analeta mabadiriko makubwa sana ndani ya nyumba.maisha hayawezi kuwa vile vile mtoto anapozaliwa kwenye nyumba changes kubwa sana na zina hitaji uvumilivu.
kutokana na changes hizi wewe ndio unatakiwa huwe wa kwanza kujaribu kumpa moyo mkeo kwani dada zetu ndio wako more affected zaidi kwa vile wao ndio wana muhudumia mtoto zaidi kuliko sisi.nina wasi wasi mkeo atakuwa kweli anachoka kutokana na huduma za ndani na watoto kitu ambacho labda kinamletea stress na hujikuta hana hamu na tendo la ndoa.
kikubwa naweza kukushauri jaribu kumsaidia katika shughuli ndogo ndogo na yeye apate mda wa kupumzika hili uweze kula tunda bila wasi wasi.
kitu kingine huwa kinasaidia jenga tabia ya kuchukua mapunziko nje kidogo ya mji kidogo wenu wewe na mkeo tu ,watoto wapelekeni kwa bibi ondokeni ijumaa mrudi jumapili jioni sehemu hiwe romantic huko mtaweza kupumzisha akili zenu na kula raha.mna weza kufanya hivi mara moja ndani ya miezi miwili.
zaidi ya hapo juu,kwa sasa unaweza mpeleka mkapate chakula cha jioni wawili tu alafu muhulize vizuri maswali yako yote na changes unazo ziona na jinsi gani yeye anaona mtaweza kurudisha maisha yenu ya furaha.msikilize ushauri wake mpe nafasi.
good luck.