Mke wangu ananinyima uroda! Nifanyeje?

Mke wangu ananinyima uroda! Nifanyeje?

pole sana mkuu.huo ni mtihani mkubwa sana kwenye ndoa lakini kabla hatuja muhukumu mkeo je wakati mnafanya tendo la ndoa mwanzoni mara mbili kwa siku mlishakuwa na watoto? watoto/mtoto analeta mabadiriko makubwa sana ndani ya nyumba.maisha hayawezi kuwa vile vile mtoto anapozaliwa kwenye nyumba changes kubwa sana na zina hitaji uvumilivu.


kutokana na changes hizi wewe ndio unatakiwa huwe wa kwanza kujaribu kumpa moyo mkeo kwani dada zetu ndio wako more affected zaidi kwa vile wao ndio wana muhudumia mtoto zaidi kuliko sisi.nina wasi wasi mkeo atakuwa kweli anachoka kutokana na huduma za ndani na watoto kitu ambacho labda kinamletea stress na hujikuta hana hamu na tendo la ndoa.


kikubwa naweza kukushauri jaribu kumsaidia katika shughuli ndogo ndogo na yeye apate mda wa kupumzika hili uweze kula tunda bila wasi wasi.


kitu kingine huwa kinasaidia jenga tabia ya kuchukua mapunziko nje kidogo ya mji kidogo wenu wewe na mkeo tu ,watoto wapelekeni kwa bibi ondokeni ijumaa mrudi jumapili jioni sehemu hiwe romantic huko mtaweza kupumzisha akili zenu na kula raha.mna weza kufanya hivi mara moja ndani ya miezi miwili.


zaidi ya hapo juu,kwa sasa unaweza mpeleka mkapate chakula cha jioni wawili tu alafu muhulize vizuri maswali yako yote na changes unazo ziona na jinsi gani yeye anaona mtaweza kurudisha maisha yenu ya furaha.msikilize ushauri wake mpe nafasi.


good luck.
 
mimi nimefunga kabisa kwani napiga hata mwezi bila kuona ndani sasa nikipata fikira basi sina tabu juwa nakwenda kuoga tu nikirudi nimemaliza sina hata hamu nae,

kwani nimelalamika sana naona haijalishi nami nimeweka mbinde kwangu sitowi, nasubiri mshindi yeye hataki nami sitaki, zaidi sabuni na mafuta tena ukipata ya nazi ndio mwisho

Ndoa hizi zina kazi jamani, kwanini ukubali kunanihii wakati una mke ndani ya nyumba? Kweli ndoa zinatofautiana maana katika ndoa nyingine hali kama hii inaweza ikavunja ndoa lakini kwa wengine ndoa bado inaendelea. Kwanini msikae chini kutafuta sababu inayosababisha hali kama hii ili muifanyie kazi na kuendelea na ndoa yenu kwa raha na mustarehe. Kwa maoni yangu tendo la ndoa lina umuhimu mkubwa sana katika ndoa na linapokosekana bila kuwepo sababu ya maana kama vile ugonjwa wa mmoja wa wanandoa basi ndoa hiyo ina kasoro kubwa sana especially wanandoa kama hawana tatizo lolote kiumri au kiafya.
 
inategemea unavyoishi naye jitahidi kuchunguza zamani ulimfanyia nn na sasa umeshahalalisha je unamfanyia km mlivyokuwa kwenye uchumba?maana wanaume wengi wakishahahalisha wanajisahau mara kuanza kumchoka na kumdharau mkeo n.k na mwanamke anaona kujijtetea kwake ni kuwa jeuri.yote hiyo in faida gani cha msingi ni kupendana na kuvumiliana ili muweze kubebeana madhaifu yenu unajua hakuna kitu kibaya km kumchoka mtu mbaya zaidi akagundua umemchoka kwa vioja vyako.
NB:KUTOKA NJE YA NDOA SI SULUHISHO na Dawa ya tatizo ni kulitatua na si kulikimbia ukipata tatizo nani atakusaidia km siye uliye MKIMBIA?????
 
Jadiliana naye kwa faragha kuhusu yanayokukumba na jinsi unavyokosa raha kutokana na kukosa haki yako na pia muelezee wazi hatari iliyopo; ya kuwa unaweza kuamua kwenda kushiba nje (ukimruhusu shetani). lakini pia inaelekea huwa unalikamia sana game wewe (unataka kila siku); hujatueleza huwa mnaandaana kiasi gani na ikiwa anapendelea kuchezeana kabla ya game? Mnafanya nini kabla hujakwea kinenani Na wakati wa game inakuwaje; I meana mnawasiliana ama wewe unawahi kukamilisha mzunguko tuu; kuweni wazi kwa nafsi zenu I hope mta-enjoy!
 
Mpende mkeo kwa kumsikiliza. Kama hataki basi. Chukua hatua ya kuondoa mawazo ya tendo la ndoa na ufikirie challenges za miradi yenu. La sivyo utaenda nje ya ndoa tu ambako huko kuna laana na mapepo.
 
Hizo tabia mimi nazijua, ukiona mkeo anakunyima uroda wa mbele, maana yake anataka kuliwa tigo, na wewe kichwa maji, bado hujamuelewa tu!!!

sijambo madule, karibu nyumbani nakualika, kuna biriani ya bata


Huraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaay! Pepo mchafu tokaaaaaaaaa!
 
Pole sana kaka, hau cam huyu sista duu anataka kukuletea mapozi ujanani mwako, kama damu ina moto liwale na liwe tu. ushauri wa bule embu jitibu kwa namna moja au nyingine anza ova taimu.
 
Pole sana kaka, hau cam huyu sista duu anataka kukuletea mapozi ujanani mwako, kama damu ina moto liwale na liwe tu. ushauri wa bule embu jitibu kwa namna moja au nyingine anza ova taimu.
OT? duh mbona ni issue sasa...
 
Aaaaaah kaka mbona unaniangusha?....umeshindwa hata kumbaka kweli.,usiogope huwezi kufungwa kwani kwa sheria ya Tanzania mume hawezi kumbaka mkewe labda wawe wameshatalikiana...nakuwekea hapa kifungu cha sheria ili uondoe uoga na leo hii uanze ubakaji..

130. Rape

(1) .........................

(2) A male person commits the offence of rape if he has sexual intercourse with a girl or a woman under circumstances falling under any of the following descriptions:

(a) not being his wife, or being his wife who is separated from him without her consenting to it at the time of the sexual intercourse;

(b) N/A

(c) N/A

(d) N/A

(e) with or without her consent when she is under eighteen years of age, unless the woman is his wife who is fifteen or more years of age and is not separated from the man.

PENAL CODE, CAP 16 R:E 2002

Haya kazi kwako sasa........
 
Pape: amna big dili hapo, mjomba anaona anaonewa. Kwanini aendelee kupiga nyimbo ambazo azichezwi kwenye ukumbi na tiba anahihitaji. Kwanza my waifu mzazi inabidi ajikumbushe ujana ukoje na vitoto vinavyoibukia ni ushauri wa bure. Kazi kwake kama waifu kazoea kumuona saa mojamoja sasa ajue saa tatu.
 
Pape: amna big dili hapo, mjomba anaona anaonewa. Kwanini aendelee kupiga nyimbo ambazo azichezwi kwenye ukumbi na tiba anahihitaji. Kwanza my waifu mzazi inabidi ajikumbushe ujana ukoje na vitoto vinavyoibukia ni ushauri wa bure. Kazi kwake kama waifu kazoea kumuona saa mojamoja sasa ajue saa tatu.
sawa mkuu, well noted!
 
@ FunzaDume unajuaje kama yeye sio chanzo cha tatizo? Naye atafute Kiserengeti chake?
 
Labda anaona mambo mnayoyafanya yaleyale, style(namna) ya kufanya ileile, huna ubunifu mzee! lakini ni labda, labda, labda! Hebu jicheki kuona kama unajipya.
 
Labda anaona mambo mnayoyafanya yaleyale, style(namna) ya kufanya ileile, huna ubunifu mzee! lakini ni labda, labda, labda! Hebu jicheki kuona kama unajipya.
sawa sawa...
 
mtoe out sehemu ambayo hamjawahi kwenda kisha muulize kwa upole na kwa kumbembeleza kimahaba kama ndo mzaanza mapenzi atakueleza nje hakufai kunamadudu washa
 
mtoe out sehemu ambayo hamjawahi kwenda kisha muulize kwa upole na kwa kumbembeleza kimahaba kama ndo mzaanza mapenzi atakueleza nje hakufai kunamadudu washa
hahahaha, hii imekaa vyema..eti kuna 'dudu' washa...
 
Back
Top Bottom