Mke wangu ananinyima uroda! Nifanyeje?

Pole kaka kwa hlo mungu atakusaidia. Kuwa na nyumba ndogo co suluhisho. Yawezekana mkeo ka2mia cndano za uzazi wa mpango ndo znamnyma ham. Ongea nae ujue, ikibid mkamwone daktari.
 
Pole kaka kwa hlo mungu atakusaidia. Kuwa na nyumba ndogo co suluhisho. Yawezekana mkeo ka2mia cndano za uzazi wa mpango ndo znamnyma ham. Ongea nae ujue, ikibid mkamwone daktari.

Na mpk anatumia hizo sindano za uzazi wa mpango kwa nini asikushirikisha?
au kama ana sababu yoyote kwa nini asikwambie?

Mi naunga mkono hoja we mtaftie mwenzie kisha uwe unajipoza tartiiibu.

I promise u mwenyewe atakileta baada ya kuona umempotezea....
Anakutingishia kibiriti huyo.
 
inawezekana....
 
huwezi nyimwa bila sababu,tafuta kwanza chanzo then look for solution
Join Date: Fri 29 Jan 2010
Posts: 1
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0

Na hiyo ni post yako ya kwanza!!!!!!!
 
niliwahi kuuliza suala kwanini sipati magoli siku hizi , jibu nililopewa eti tulikuwa tunafunga magoli tukihitaji watoto sasa tunao mchezo umeisha, eti mimi sitaki watoto zaidi, tatizo ni hali ngumu ya maisha siwezi kuleta watoto tu eti yeye anataka magoli ni kweli goli mzuri kwani mzee nilikuwa sichelewi kuliko maradona ukiweka nyavu nitolee, bado yeye anataka watoto tuuu mimi sitaki

mwisho ni mzungu wa nne
 
Punguza frequency ya kufanya. fanya mara 2 kwa wiki uone kama atatoa kisingizio.
 



hapo inaonesha tayari ulisha fanya uamuzi wa kutoka nje ya ndoa...!!!
Ila unachotaka kusikia kutoka kwa wana-jf ni jibu au ushauri wa '' TOKA TU NJE YA NDOA'' ili uhararishe kile ambacho umekwisha kipanga akilini mwako siku nyingi.Na wakati huohuo upate pa-kusemea kuwa ' HATA WANA-JF WALINISHAURI...!!!' Pale mambo yakija kugundulika kuwa huwaga unatoa huduma nyingine ya ngono nje ya ndoa.

So be careful...!!!
 
Unajuaje pengine na yeye anatafuta kisingizio ili waachane tuu na jamaa. Maana am sure when a woman does that, kuna sababu tuu sio hivi. Yawezekana mama kamchoka...so jamaa atakapochukua small house ndo itakuwa evidence yake kuchomoka. Wee ongea naye, ongea naye tena ongea naye utapata jibu tuu.
 
Amuulize mkewe kama haunipi unataka nienda nje? Labda atashtuka.

Au mkewe anatiwa nje, kachoka ndoa etc and that is a fact.
 

tafuta sabb inayomfanya mkeo akunyime haki yako, huenda humridhishi kiasi kwamba anaona hata mkifanya utakuwa unamchafua tu, kwani kuanzia mwanzo umesema huwa unampa kamoja kamoja, pili jrb kumfuatilia mkeo, huenda akawa na mahusiano na mtu mwingine. Tatu fanya mpango wa kuleta vitu vipya kwa mkeo, inawezekana kila unampompa vitu huwa ni kwa style ileile ya kifo cha mende, halafu yeye akienda nje anakutana na wanawake wengine ambao huwa wanampatia story za miutam, mwisho kakaangu ujifunze na ujue kwamba wanawake huwa wanaridhika kwa kuandaliwa vizuri kwa mda mrefu(sio moja kwa moja kwenye tendo) afu wanafaidi raha zaidi ya 75%, kwa hiyo siku inapotokea hataki hizo asilimia zote ujue kuna tatizo. Fanya uchunguzi.
 
Pole sana..
Je umewaza kumsaidia mkeo
labda kipindi hicho majukumu yalikuwa
machache lakini sasa yameongezeka "nyumbani"
Labda mkeo anachoka kupita kiasi..

Kinginewanawake wengi wakisha zaa
waanza ku feel insecure na miili yetu
vitu kama stretch mark, tumbo lililobakia
baada ya ujauzito,unene tuliouongeza na vitu kama
hivyo..je umejaribu kuumuuliza kama hizi ndo
sababu???

Mmhhh halafu kuna hii
boreing sex.. unafanya style moja
mara zote..haumliwazi mama vyakitosha unaingia
tu chumbani..

Nway itakuwa vema kama uta ongea na mama
Akuelze nini kulikoni..
kuwa mpole atakueleza..

AD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…