Mke wangu ananipiga vijembe WhatsApp

Mke wangu ananipiga vijembe WhatsApp

Habari wenzangu.

Jamani ukweli nimebaini mke wangu anamatumizi mabaya ya simu, nilikutana sms yeye anasema ni rafiki yake ila mie sikuipenda kwa hio nikakosana naye akaenda kwao nami nikabaki kwangu sasa ni zaidi ya miezi 4 basi vikao vikawekwa akakubali kurudi ila naona amekua mkali ukisema kitu anakijia juu na maneno maneno ya shombo kibao.

Sasa juzi nilikua nakarabati nyumba yetu wakati yeye yuko kwao basi nikawa napiga plasta na rangi baadhi ya vyombo vikarukiwa na tope na rangi alikuja kuchukua kitu akaona kua imekua hivyo katukana huyo kwa kusema nimemfujia vyombo vyake akatukana sana na kukata simu.

Leo ni siku kama ya 6 hatujawasiliana mimi sijampigia na yeye hajapiga ila huko whatssap huko vijembe kibao yeye ni mzuri mie sijui kukea namjibu jeuri mambo kibao.

Sasa naona kwa kosa hilo tunafikiana huko jee akirudi tukikosana si atanimalizia maneno huyu.
Pole sana
 
Unamiaka mingapi rafiki? Hebu mpelekee moto kweli kweli sio upapase umenisikia smtmz hizo ni nyegee jamani, hebu njoo nikupe somo na wewe rafiki, mpenzi akiwa na hasira mpelekee moto hizo ni nyege
 
Back
Top Bottom