Mke wangu ananipiga vijembe WhatsApp

Mke wangu ananipiga vijembe WhatsApp

Unafahamu wakiwekwa vilaza wawili mwanamke mmoja na Mwanaume mmoja kwa jinsia ya kike huwa ni afadhali.

Imeandikwa: hata mpumbavu anyamazapo huhesabiwa hekima.

Chutama usitirike @ Hassan Mambosasa.

Unafahamu mtu kama huishi naye karibu ili kujua kama ni mpumbavu au siyo ni kwa njia ya yeye kujieleza kwa kuandika au kwa kwa maneno.

Ndiyo maana interview zote za kazi kufanyika kwa kuandika au kujieleza kwa maneno au vyote ili wawatambue wapumbavu na werevu.

Yani inasikitisha sana kwa Mwanaume kuwa Kilaza na mpumbavu.

CC: Hassan Mambosasa.
Sasa wewe unayejiona una akili nyingi, unaweza kutetea kuchepuka kwa mwanamke? Inajulikana wazo kitendo kile anafanya kwa hisia na si tamaa, hivyo kuhamisha mapenzi huko kwingine ni rahisi. Hili jambo no hatari kwa mustakabali mzima wa ndoa. Unakuja kufananisha na kuchepuka kwa mwanaume, kitu ambacho kinafanyika kwa tamaa tu asilimia kubwa, na si hisia za moyoni.

All in all kuchepuka ni kitu si kizuri sitetei wanaume wenzangu wala upande mwingine, ila kiuhalisia ilivyo ikitokea kwa mwanamke ni hatari zaidi kwa ndoa. Hata wenyewe wengi wanakiri hilo wakisema wao hisia zote wanahamisha huko kupya hivyo ni rahisi kukamatqa.

Unakuja kujiita great mind kwa kuandika pumba zako hizo, wenye uwezo na upeo juu huitwa hivyo na wengine na si kujiita wenyewe. Ukijiona unajibatiza hilo jina tu, jua kichwani kwako kuna mushkeli mahali unaficha usijulikane.

Mwisho nakwambia ni kweli unatafuta attention za mabinti, hiyo mbinu tushawaona wengi wakiitumia. Imeshapitwa na wakati. Jaribu kitu kipya
 
Habari ndio hiyo!

Nitafute attention kwa motives gani kwa mfano?

Kwani wewe vipi?!

Ooh watakamatwa na nani kwa mfano?

Akamwatwe mwanamke gani sasa kwa mfano?!

Hivi kati ya Mwanaume na mwanamke nani yuko sharp zaidi kwa asili?

Mwanamke anauwezo wa kufanya mambo mengi sambamba kwa pamoja yakafanikiwa lakini siyo mwanaume.[emoji108]

Mwanaume jambo moja la pili ukimpa la tatu kufanya yote Kwa pamoja umeshamvuruga,

Sasa hapo wa kukamatwa kirahisi atakuwa nani kati ya Mwanaume na Mwanamke?!

Unaambiwa wengine mpaka kwenye ndoa wanaume wanachomekewa watoto ambao siyo damu yao unazani mchezo.

Mbona nimeelezea wazi kabisa kwamba ni kwa vile ni dhambi lakini ingekuwa siyo dhambi ingefaa zaidi wanawake wachepuke zaidi maana inapelekea cash inflows to their families unlike to men wanapochepuka wenyewe huwa inapelekea upotevu wa rasilimali fedha za familia.

Sasa hapo ni jambo gani hujaelewa mpaka unakuja na personal attacks zako?

Jifunze kujadili hoja kwa kuchangia mada bila kumu-attack mtu yeyote personally.

Cha msingi tuache uovu maana ni machukizo machoni pa Mungu.

Lakini tusitendeane hiyana Mwanaume atulie na mkewe na mke atulie na mumewe.

Usilopenda kufanyiwa wewe usimfanyie mwenzio.
 
Na vipi huyu jini ulishaachana naye?

Mfukua makaburi
 
Wengine wanatumika sana nje Kwa michepuko wakirudi ndani kwa wake zao nguvu hawana huenda michepuko inawaroga !

Mwanaume anapochepuka anamu- expose mkewe kwenye risk kubwa sana.

Ikibidi ni afadhali mwanamke achepuke uafadhali ni Mkubwa kuliko akichepuka Mwanaume ni hatari kwa ustawi wa ndoa na familia kwa ujumla.

Kwa fedha nyingi za familia zinaenda kupotea kwa michepuko (Cash outflow) wakati akichepuka mwanamke inakuwa kinyume chake kwenye ndoa mwanamke analeta cash inflows ambapo eventually inakuwa Na manufaa kwa familia nzima.

Kuchepuka kwa Mwanaume kuna muuma mke wa ndoa sio tu sababu ya wivu wa kimapenzi lakini pia na upotevu wa rasilimali fedha za familia na associated risks kama vile kurogwa n.k

Actually ingekuwa si dhambi ningewa - encourage ladies kuchepuka zaidi maana uwezekano wa kuleta cash inflows kwenye familia ni mkubwa na kuliko akichepuka mwanaume kwenye ndoa hasara tupu ukiachilia mbali kurogwa.

Mchepuko Mwanaume ni nadra sana kutokea kumroga mchepuko wake wa kike sababu motives za kufanya hivyo hazipo.
Seriously????...na magonjwa je?
 
Jf kuna madini kaka.
Ndio kuna madini, ila kunatime n lazima unaitenga kwa ajili ya kupita huku sio kila time utakuwa JF same on status view. Ukitumia dk 5 kuview status haipotezi kitu, kila kitu ukikipangia ratiba haiwezi athiri maendeleo yako ya kimaisha.
 
Eti mwanamke analeta pesa...nimeshindwa kumuelewa huyo chaliii

Impliedly yes!

Kama anapewa hela ya kujinunulia mahitaji yake mfano gari, shamba, , nyumba nywele, perfume, mavazi ya ukweli, n.k of which angemuomba mume wake amnunulie lakini ananinuliwa na mchepuko huoni hiyo ni cash inflows kwenye hiyo familia?

Kuna wanawake wako ndoani na wanaume zao wana michepuko ya kudumu ambao wamenunuliwa mashamba, magari, kujengewa nyumba , mavazi ndo usiseme, mwanamke anamwambia mume wake nimepata hela kwenye mishemishe zangu labda kama anakazi anazugia humo kumbe mume mwenzie akamnubulia mchepuko.

Lakini huruma sana.

Ambapo Kwa Mwanaume ni kunyume chake.

Ni kwa mwenye ufahamu wa kutosha wa hesabu na uhasibu ndiye anaweza kuelewa kirahisi kile najaribu kuelezea.
 
Habari wenzangu.

Jamani ukweli nimebaini mke wangu anamatumizi mabaya ya simu, nilikutana sms yeye anasema ni rafiki yake ila mie sikuipenda kwa hio nikakosana naye akaenda kwao nami nikabaki kwangu sasa ni zaidi ya miezi 4 basi vikao vikawekwa akakubali kurudi ila naona amekua mkali ukisema kitu anakijia juu na maneno maneno ya shombo kibao.

Sasa juzi nilikua nakarabati nyumba yetu wakati yeye yuko kwao basi nikawa napiga plasta na rangi baadhi ya vyombo vikarukiwa na tope na rangi alikuja kuchukua kitu akaona kua imekua hivyo katukana huyo kwa kusema nimemfujia vyombo vyake akatukana sana na kukata simu.

Leo ni siku kama ya 6 hatujawasiliana mimi sijampigia na yeye hajapiga ila huko whatssap huko vijembe kibao yeye ni mzuri mie sijui kukea namjibu jeuri mambo kibao.

Sasa naona kwa kosa hilo tunafikiana huko jee akirudi tukikosana si atanimalizia maneno huyu.
Haya maisha ya ndoa haya🤣🤣🤣🤣🤣🙌
 
Impliedly yes!

Kama anapewa hela ya kujinunulia mahitaji yake mfano gari, shamba, , nyumba nywele, perfume, mavazi ya ukweli, n.k of which angemuomba mume wake amnunulie lakini ananinuliwa na mchepuko huoni hiyo ni cash inflows kwenye hiyo familia?

Kuna wanawake wako ndoani na wanaume zao wana michepuko ya kudumu ambao wamenunuliwa mashamba, magari, kujengewa nyumba , mavazi ndo usiseme, mwanamke anamwambia mume wake nimepata hela kwenye mishemishe zangu labda kama anakazi anazugia humo kumbe mume mwenzie akamnubulia mchepuko.

Lakini huruma sana.

Ambapo Kwa Mwanaume ni kunyume chake.

Ni kwa mwenye ufahamu wa kutosha wa hesabu na uhasibu ndiye anaweza kuelewa kirahisi kile najaribu kuelezea.
Broo,,mm ni msomaji mzur hapa jukwaani,,ila nahisi wew una uchoko au u hanisi mkubwa ww.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom