Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,359
- 4,528
Sasa wewe unayejiona una akili nyingi, unaweza kutetea kuchepuka kwa mwanamke? Inajulikana wazo kitendo kile anafanya kwa hisia na si tamaa, hivyo kuhamisha mapenzi huko kwingine ni rahisi. Hili jambo no hatari kwa mustakabali mzima wa ndoa. Unakuja kufananisha na kuchepuka kwa mwanaume, kitu ambacho kinafanyika kwa tamaa tu asilimia kubwa, na si hisia za moyoni.Unafahamu wakiwekwa vilaza wawili mwanamke mmoja na Mwanaume mmoja kwa jinsia ya kike huwa ni afadhali.
Imeandikwa: hata mpumbavu anyamazapo huhesabiwa hekima.
Chutama usitirike @ Hassan Mambosasa.
Unafahamu mtu kama huishi naye karibu ili kujua kama ni mpumbavu au siyo ni kwa njia ya yeye kujieleza kwa kuandika au kwa kwa maneno.
Ndiyo maana interview zote za kazi kufanyika kwa kuandika au kujieleza kwa maneno au vyote ili wawatambue wapumbavu na werevu.
Yani inasikitisha sana kwa Mwanaume kuwa Kilaza na mpumbavu.
CC: Hassan Mambosasa.
All in all kuchepuka ni kitu si kizuri sitetei wanaume wenzangu wala upande mwingine, ila kiuhalisia ilivyo ikitokea kwa mwanamke ni hatari zaidi kwa ndoa. Hata wenyewe wengi wanakiri hilo wakisema wao hisia zote wanahamisha huko kupya hivyo ni rahisi kukamatqa.
Unakuja kujiita great mind kwa kuandika pumba zako hizo, wenye uwezo na upeo juu huitwa hivyo na wengine na si kujiita wenyewe. Ukijiona unajibatiza hilo jina tu, jua kichwani kwako kuna mushkeli mahali unaficha usijulikane.
Mwisho nakwambia ni kweli unatafuta attention za mabinti, hiyo mbinu tushawaona wengi wakiitumia. Imeshapitwa na wakati. Jaribu kitu kipya