Mke wangu ananipiga vijembe WhatsApp

Mke wangu ananipiga vijembe WhatsApp

Sit and talk with her. Try to understand your wife and solve your marriage's challenges before you drop them here. Ikishindikana kwa njia zako utakazoziona za busara, tafuta msaada. Usije tafuta msaada kabla ya kuchukua hatua yoyote ulioiona kwako ni bora.
Atafutaye msaada kabla ya kuushirikisha ubongo wake katika kuamua huyo hubaki kuwa tegemezi katika kila jambo limtokealo.
Huyu alichukua hatua ya kurudisha kwao.
Sasa ana mpango wa kumrudisha sasa kwa kinachotokea ndio ansomba ushauri
 
Habari wenzangu.

Jamani ukweli nimebaini mke wangu anamatumizi mabaya ya simu, nilikutana sms yeye anasema ni rafiki yake ila mie sikuipenda kwa hio nikakosana nae akaenda kwao nami nikabaki kwangu sasa ni zaidi ya miezi 4 basi vikao vikawekwa akakubali kurudi ila naona amekua mkali ukisema kitu anakijia juu
Wewe siyo MWANAUME...wewe ni wa kiume tu
 
Habari wenzangu.

Jamani ukweli nimebaini mke wangu anamatumizi mabaya ya simu, nilikutana sms yeye anasema ni rafiki yake ila mie sikuipenda kwa hio nikakosana
Kama vile kuna mawili hapa nayaona, mkeo ni limbukeni wa kutupwa au kuna "kazi" ya nje ameipata
 
Habari wenzangu.

Jamani ukweli nimebaini mke wangu anamatumizi mabaya ya simu, nilikutana sms yeye anasema ni rafiki yake ila mie sikuipenda kwa hio nikakosana nae akaenda kwao nami nikabaki kwangu sasa ni zaidi ya miezi 4 basi vikao vikawekwa akakubali kurudi ila naona amekua mkali ukisema kitu anakijia juu na maneno maneno ya shombo kibao.

Sasa juzi nilikua nakarabati nyumba yetu wakati yeye yuko kwao basi nikawa napiga plasta na rangi baadhi ya vyombo vikarukiwa na tope na rangi alikuja kuchukua kitu akaona kua imekua hivyo katukana huyo kwa kusema nimemfujia vyombo vyake akatukana sana na kukata simu.

Leo ni siku kama ya 6 hatujawasiliana mimi sijampigia na yeye hajapiga ila huko whatssap huko vijembe kibao yeye ni mzuri mie sijui kukea namjibu jeuri mambo kibao.

Sasa naona kwa kosa hilo tunafikiana huko jee akirudi tukikosana si atanimalizia maneno huyu.

Mpwa wewe ni tatizo
 
Mpwa yaani wewe ni binge la msanii, sidhani kama hata hio ndoa unayo....

Weee mpe SHAMBA akalimie hivyo vijembe vyake
Muongo huyu

Habari wenzangu.

Jamani ukweli nimebaini mke wangu anamatumizi mabaya ya simu, nilikutana sms yeye anasema ni rafiki yake ila mie sikuipenda kwa hio nikakosana naye akaenda kwao nami nikabaki kwangu
We nawe utakua kijana na mbea mbea, mmekutana pipa na mfuniko.
 
Maliza kukarabati nyumba yako. Oa mwanamke mwingine.
 
Back
Top Bottom