Mke wangu ananipiga vijembe WhatsApp

Mke wangu ananipiga vijembe WhatsApp

Sit and talk with her. Try to understand your wife and solve your marriage's challenges before you drop them here. Ikishindikana kwa njia zako utakazoziona za busara, tafuta msaada. Usije tafuta msaada kabla ya kuchukua hatua yoyote ulioiona kwako ni bora.
Atafutaye msaada kabla ya kuushirikisha ubongo wake katika kuamua huyo hubaki kuwa tegemezi katika kila jambo limtokealo.
Nakushauri kabla ya kuchanganya lugha hebu kwanza tazama mwandiko wa mleta mada. Huyu si wa kuandikia kimalkia
 
Wewe umeuma maneno inawezekana amekufuma na michepuko au umezaa nje ya ndoa.
Unalo hilo babu!
 
Habari wenzangu.
Jamani ukweli nimebaini mke wangu anamatumizi mabaya ya simu,
nilikutana sms yeye anasema ni rafiki yake ila mie sikuipenda kwa hio nikakosana nae akaenda kwao nami nikabaki kwangu sasa ni zaidi ya miezi 4 basi vikao vikawekwa akakubali kurudi ila naona amekua mkali ukisema kitu anakijia juu na manuno maneno ya shombo kibao.

sasa juzi nilikua nakarabati nyumba yetu wakati yeye yuko kwao basi nikawa napiga palasta na rangi baadhi ya vyombo vikarukiwa na tope na rangi alikuja kuchukua kitu akaona kua imekua hivyo katukana huyo kwa kusema nimemfujia vyombo vyake akatukana sana na kukata simu
leo ni siku kama ya 6 hatujawasiliana mimi sijampigia na yeye hajapiga ila huko whatssap huko vijembe kibao yeye ni mzuri mie sijui kukea namjibu jeuri mambo kibao.

sasa naona kwa kosa hilo tunafikiana huko jee akirudi tukikosana si atanimalizia maneno huyu.
Sasa si umuache utafute mwengine. Hayo ndio matatizo ya kufunga pingu za maisha.
 
KITENDO TU CHA MWANAMKE KUANZA KUKAA KWAO TAYARI NI TATIZO KUBWA KWENYE NDOA BORA HATA MNUNIANE KULIKO KUWA ANAONDOKA KWAO MKIGOMBANA.

Wengine wanaona wakibaki kununiana ndani itazidi kumuumiza moyo yule alokosewa yaani mke kila anapomuona huyo mumewe alofanya makosa ya makusudi anajisikia vibaya.

Sasa kuepukana na maisha ya kujaa uchungu moyoni bora kuondoka maana asiye machoni na moyoni huondoka.

Kuna watu wana maudhi ya makusudi kwenye ndoa jamani ?!
 
mblock watsup kwa muda then kaa kimya..

akichoka kukaa kwao atakutafta

usijichoshe,
kama mamake na babke walishatengana basi huyo nae atakusumbua tu

Hili ni kweli kabisa wazee washatengana na story ya wazee wake ilikua kama hii yangu haina tofauti
 
JF imenifanya nione ndoa ni upuuzi mtupu. Kila siku ni malalamiko ya mahusiano tena ndoa kabisa.
Poleni wanandoa.
 
Habari wenzangu.
Jamani ukweli nimebaini mke wangu anamatumizi mabaya ya simu,
nilikutana sms yeye anasema ni rafiki yake ila mie sikuipenda kwa hio nikakosana nae akaenda kwao nami nikabaki kwangu sasa ni zaidi ya miezi 4 basi vikao vikawekwa akakubali kurudi ila naona amekua mkali ukisema kitu anakijia juu na manuno maneno ya shombo kibao.

sasa juzi nilikua nakarabati nyumba yetu wakati yeye yuko kwao basi nikawa napiga palasta na rangi baadhi ya vyombo vikarukiwa na tope na rangi alikuja kuchukua kitu akaona kua imekua hivyo katukana huyo kwa kusema nimemfujia vyombo vyake akatukana sana na kukata simu
leo ni siku kama ya 6 hatujawasiliana mimi sijampigia na yeye hajapiga ila huko whatssap huko vijembe kibao yeye ni mzuri mie sijui kukea namjibu jeuri mambo kibao.

sasa naona kwa kosa hilo tunafikiana huko jee akirudi tukikosana si atanimalizia maneno huyu.
Aibu sana usipoheshimiwa na mke ni kazi bure, heshima, adabu, utii na unyenyekevu ndio nguzo ya mke.
 
Unapokuwa kwenye kumi na nane hakikisha unampa dozi ya uhakika, hiyo ndio tiba
 
Habari wenzangu.
Jamani ukweli nimebaini mke wangu anamatumizi mabaya ya simu,
nilikutana sms yeye anasema ni rafiki yake ila mie sikuipenda kwa hio nikakosana nae akaenda kwao nami nikabaki kwangu sasa ni zaidi ya miezi 4 basi vikao vikawekwa akakubali kurudi ila naona amekua mkali ukisema kitu anakijia juu na manuno maneno ya shombo kibao.

sasa juzi nilikua nakarabati nyumba yetu wakati yeye yuko kwao basi nikawa napiga palasta na rangi baadhi ya vyombo vikarukiwa na tope na rangi alikuja kuchukua kitu akaona kua imekua hivyo katukana huyo kwa kusema nimemfujia vyombo vyake akatukana sana na kukata simu
leo ni siku kama ya 6 hatujawasiliana mimi sijampigia na yeye hajapiga ila huko whatssap huko vijembe kibao yeye ni mzuri mie sijui kukea namjibu jeuri mambo kibao.

sasa naona kwa kosa hilo tunafikiana huko jee akirudi tukikosana si atanimalizia maneno huyu.
Umechanganya hbr kiasi hata nimeshindwa kuelewa ulitaka kutujulisha nini
 
Back
Top Bottom