Mke wangu ananisimulia akitongozwa

Mke wangu ananisimulia akitongozwa

Job Richard

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
3,876
Reaction score
2,190
Nilidumu naye katika uhusiano miaka nane kabla kumuoa rasmi. Tunaelekea mwaka wa kumi katika ndoa.

Nilichoweza kujifunza hasa ninapoona wengi wanalia na mapenzi ya sasa WAMEOANA PASIPOKUJUANA KIUNDANI.

Ulimwengu wa mapenzi hakuna mwalimu kila mtu ni mwanafunzi na ni chuo ambacho hakuna kumaliza!

Niliwahi kukaa na mzee miaka 75 katika story nilishangaa nae hamuamini mke wake anahisi anachepuka laaaaah!!!!!

Miaka zaidi ya 60 achepuke???? Anatafuta nini nje maana kama kucheza michezo yote kaimaliza. Lakini baada ya kujua huu mchezo hauna mwalimu haishangazi

Ushauri kwa vijana ambao bado hamjaingia hiki chama punguzeni papara katika kumtafuta mke.

Mpaka kumpata anayekuja kukusimulia nani kamsemesha sio rahisi na hii haimaanishi mpaka uwe fundi sana kunako game. Hata umko.....ze bado atatoka tu nje.

Kuna ndugu yangu mpaka alikuwa akilamba K. Anapigwa na fangasi za mdomoni BADO ALIACHWA.

CHEZEA MAPENZI WEWE!!!!!!!

SULUHISHO LA YOTE NI KUMPATA BIKRA TU
UANZE KULIMA SHAMBA MWENYEWE
 
Akizini hawezi kukuhadithia. Mm sioni umuhimu wa kukaa na kusikiliza hadithi za mkeo alivyotongozwa. Atongozwe huko akwepe mishale kisha arudi nyumbani.
Hivi anaweza kuzini kabla ya kutongozwa
Labda abakwe
Kiufupi kuzini kwa mwanamke anaejielewa ni ngumu sana
Na hawa viumbe wakiingia wanaingia kijumla
 
Kwanza mpaka akuambie jua tayari kaliwa sasa anakuteka kiakili na wewe unaanamini
Kama umesoma mpaka mwisho nilimkuta vipi
Hilo tu tayari kajenga trust

Kujitunza kwa wanawake wa sasa ni ngumu sana
Pili mentality ya mwanamke sio kama ya mwanaume
Hawa wanaanza zero mpaka aingie kwenye mapenzi na mtu ujue mwanaume hujasimama
 
Huwa inatokea wanazini ila wasiri sana na wanatumia akili sana.
Wapo ni kweli lakini kila kitu akiwa wazi kwako ni ngumu sana
Maana tayari mshakuwa marafiki
Hawa viumbe tamaa zao zipo chini sana tofauti na sisi

Labda awe anapiga kilaji huyo utamla kama kuku
 
Na wewe unaamini kabisa kuwa anatongozwa tu.
Hapo anakuandaa kisaikolojia, ukija kumfuma na mtu anakwambia huyu ni yule nilikwambia ananisumbua, bado sijamkubalia.

Kwa uzoefu ulousema wa miaka 10,hukutakiwa kuleta uzi huu. Haya ni mambo ya wanafunzi Tena form 1
 
Pata muda wa kumjua vizuri mchumba au mpenzi wako kabla ya kumuoa, umjue in and out, ukae nae Rum/nyumba moja more than a year itakusaidia kumuelewa na kujua namna ya kuishi nae na hii itapunguza mambo na malalamiko mengi huko mbele ya Safari.

Ukibahatika akawa au ukamkuta Bikra, tia mikono usoni Mshukuru Mungu amekupenda zaidi lakini hakuna mtu mwenye Garantii kwa hii jinsia jirani.

NB; Nilimkuta Bikra na nikakaa nae miaka 6 kabla ya kumuoa( KUKAA NAE SIO KUDATE NAE ), hapa mnapoandika shida/matatizo ya ndoa huwa sielewi huwa ni ya rangi Gani!!
 
Wapo ni kweli lakini kila kitu akiwa wazi kwako ni ngumu sana
Maana tayari mshakuwa marafiki
Hawa viumbe tamaa zao zipo chini sana tofauti na sisi

Labda awe anapiga kilaji huyo utamla kama kuku
Mkuu ukiwa na makubaliano ya aina yoyote na binadamu ambaye si wewe kila jambo linalohusu kwenda kinyume na hayo makubaliano kutoka kwa huyo binadamu lipe ùwezekano ila kama hakuna dalili au halijatokea usiruhusu livuruge hayo makubaliano.
 
Nilichoweza kujifunza hasa ninapoona wengi wanalia na mapenzi ya sasa WAMEOANA PASIPOKUJUANA KIUNDANI.

Ulimwengu wa mapenzi hakuna mwalimu kila mtu ni mwanafunzi na ni chuo ambacho hakuna kumaliza!

Word
 
Nilidumu naye katika uhusiano miaka nane kabla kumuoa rasmi. Tunaelekea mwaka wa kumi katika ndoa.

Nilichoweza kujifunza hasa ninapoona wengi wanalia na mapenzi ya sasa WAMEOANA PASIPOKUJUANA KIUNDANI.



SULUHISHO LA YOTE NI KUMPATA BIKRA TU
UANZE KULIMA SHAMBA MWENYEWE
Mwambie akusimulie na wanaomgonga ,wale aliowakubalia,usiwe mjinga kumwamini mkeo
 
Back
Top Bottom