Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Ukiona anakwambia jua kashaigawa huko hivyo anajihami
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah hata wewe mtoto wa kike unakaa upande wa wengi kwani wewe binafsi humlindii mumeo kama umeolewaMkuu na wewe unamwamini kabisa
Anaowakataa ndio anakuja kukuambia
Ila anaowakubali anapita nao kimyakimya
Shida sio mimi mtoto wa kike mkuu naongea ukweli sisi wanawake ni wanafki sana sana usipotujua utapata shida sanaDah hata wewe mtoto wa kike unakaa upande wa wengi kwani wewe binafsi humlindii mumeo kama umeolewa
Hata mpenzi tu unamlindia au kusanya kusanya nawe?
hujambo wewe mtu, heri ya mwaka mpyaAhsante kwa muongozo
Tuendelee kutafuta pesa ili angalau tukiondoka nyasi zitulaumu kwa kuchakazwa wakati tuliowaacha wakipigania ngawira tulizoacha
Akilambwa thubutu kama atakuja kukusimuliaNilidumu naye katika uhusiano miaka nane kabla kumuoa rasmi. Tunaelekea mwaka wa kumi katika ndoa.
Nilichoweza kujifunza hasa ninapoona wengi wanalia na mapenzi ya sasa WAMEOANA PASIPOKUJUANA KIUNDANI.
Ulimwengu wa mapenzi hakuna mwalimu kila mtu ni mwanafunzi na ni chuo ambacho hakuna kumaliza!
Niliwahi kukaa na mzee miaka 75 katika story nilishangaa nae hamuamini mke wake anahisi anachepuka laaaaah!!!!!
Miaka zaidi ya 60 achepuke???? Anatafuta nini nje maana kama kucheza michezo yote kaimaliza. Lakini baada ya kujua huu mchezo hauna mwalimu haishangazi
Ushauri kwa vijana ambao bado hamjaingia hiki chama punguzeni papara katika kumtafuta mke.
Mpaka kumpata anayekuja kukusimulia nani kamsemesha sio rahisi na hii haimaanishi mpaka uwe fundi sana kunako game. Hata umko.....ze bado atatoka tu nje.
Kuna ndugu yangu mpaka alikuwa akilamba K. Anapigwa na fangasi za mdomoni BADO ALIACHWA.
CHEZEA MAPENZI WEWE!!!!!!!
SULUHISHO LA YOTE NI KUMPATA BIKRA TU
UANZE KULIMA SHAMBA MWENYEWE
hivi inawezekana eeeh, kupima kwa kuangalia nani kaingia na nani hajaingiaBikra kagongwa na nani wakati ndie mfunguaji?
Pia size ya dushe langu naijua akiingia mtu nitajua tu
Sijambo kabisa.hujambo wewe mtu, heri ya mwaka mpya
mimi ni mzima
life linatufanya tuwe hivyo, as long tuko wazima tumshukuru Mungu tu hakuna namnaSijambo kabisa.
Heri ya mwaka mpya kwako pia.
Unajua sana kupotea, unaibuka mwaka baada ya mwaka..
Kaka anakuambia asie wapenda anae wapenda usifikir utaambiwaNilidumu naye katika uhusiano miaka nane kabla kumuoa rasmi. Tunaelekea mwaka wa kumi katika ndoa.
Nilichoweza kujifunza hasa ninapoona wengi wanalia na mapenzi ya sasa WAMEOANA PASIPOKUJUANA KIUNDANI.
Ulimwengu wa mapenzi hakuna mwalimu kila mtu ni mwanafunzi na ni chuo ambacho hakuna kumaliza!
Niliwahi kukaa na mzee miaka 75 katika story nilishangaa nae hamuamini mke wake anahisi anachepuka laaaaah!!!!!
Miaka zaidi ya 60 achepuke???? Anatafuta nini nje maana kama kucheza michezo yote kaimaliza. Lakini baada ya kujua huu mchezo hauna mwalimu haishangazi
Ushauri kwa vijana ambao bado hamjaingia hiki chama punguzeni papara katika kumtafuta mke.
Mpaka kumpata anayekuja kukusimulia nani kamsemesha sio rahisi na hii haimaanishi mpaka uwe fundi sana kunako game. Hata umko.....ze bado atatoka tu nje.
Kuna ndugu yangu mpaka alikuwa akilamba K. Anapigwa na fangasi za mdomoni BADO ALIACHWA.
CHEZEA MAPENZI WEWE!!!!!!!
SULUHISHO LA YOTE NI KUMPATA BIKRA TU
UANZE KULIMA SHAMBA MWENYEWE
Nawe upo negative sideNyambafuuuuuu! Ukiona amekwambia fulani kanitongoza ujue hajamuelewa,kwa atakae muelewa hakwambii
Kweli kabisa wanaoliwa ndoo tabia zao ili isistuke mapema.niliwahi kuwa naye wa samle hiyo kumbe malaya tuKwanza mpaka akuambie jua tayari kaliwa sasa anakuteka kiakili na wewe unaanamini
Aisee we ndgu mbona unawapotosha vijana.Hivi anaweza kuzini kabla ya kutongozwa
Labda abakwe
Kiufupi kuzini kwa mwanamke anaejielewa ni ngumu sana
Na hawa viumbe wakiingia wanaingia kijumla
Vizuri na pia anajielewa binafsiAta mtoto akila chalula kizuri kwa jirani atakuja kumwadithia mama yake, sio kwa sababu anataka kumtaarifu kuwa amekul kwenye miji ya watu bali kwa sababu anataka/tegemea siku moja mama yake nae apike chakula kama kile.
Kwaiyo ata ww ukiona anakuhadithia anavyo tongozwa haina maana kuwa anataka kukuonesha kuwa yeye ni mzuri bali anakukumbusha tu kuwa huko nje bado kuna watu wanamuona kwaiyo anaomba ww umuone mara mbili zaidi yao.