Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,876
- 2,190
- Thread starter
- #61
Oh mkuu nataka nikurudishe katika mstari na hata pia hili jibu unaloAisee we ndgu mbona unawapotosha vijana.
Kwenye uzi wako umesema mkeo anakwambia wanaomtongoza, OGOPA sana hiyo kitu. Hao anaokwambia ni wale anaowakataa au hawapendi na hajavutiwa nao. Wale waliomvutia hakwambii na anaweza chapwa na usijue coz ashajijengea imani kwako tayari.
Mi sipendelei saana huo mchezo wa kuniambia waliomtongoza sababu najua yeye ni mwanamke atatongozwa tu, na mwanamke anaejielewa hizo habari sio za kumwambia mwezi wake coz ni zake yeye binafai hazimhusu mpenzi wake labda tu achomekee katikati ya story.
Usimwamini sana mwanamke, ifute hiyo kauli yako ya "mwanamke anaejielewa".
Sio wanawake wote wanatoka nje ya ndoa zao!
Pia kuji expose mwili wake na kujua hilo si kila mwanamke anaweza kuvaa nguo fupi au ya wazi
Na kutokana na asili ya mwanamke hata avae nguo fupi na mhuni kweli kweli ila bado hatajiamini na hiyo nguo kila muda ataishika na kuipandisha
Kama ni mpasuo ataforce kujifunika unajua kwanini?
Mwanamke siku zote hujengwa na mwanaume
Beba jukumu lako ndani ya ndoa mbona hatotoka boss wangu