We nawe. . .lizzy kama mwanamke kila siku amekua akijitahidi kukuonyesha kua humfikishi na wewe unakua huchukui hatua yoyote ile unataka afanye nini zaidi ya kuongea kwa kutumia mwiko....? huyu jamaa haja expose mambo yake vizuri hapa ukute mama haridhiki na kazi na amekua akimwambia ila jamaa amekua aki ignore hapo utajikuta watu wanamaliza kazi tu,,,... na wewe unakua unaonekana ni house girl tu japo ni mwanaume,,,,,!
hahahahawakapime wote... wakikuta wako fiti aje ajaribu kumpa kazi ya kiume then aobserve signals za circuit kama bado zina noise hapo sasa itakua mambo ni mengine....
We nawe. . .
Hapigwi wakati huo tu.Anapigwa kila mara.Sasa huko kutokuridhishwa ndio sababu tosha ya kumpiga mumewe? Whatever happened to couples talking and discussing things in a civilised manner?
hahahaha
atajuaje,maana kwa hawa hataakitoka kulala na mtu ukitest ni mpya huitaji kuadd girisi wala mafuta mazito
mpm kwanza na umuulize maswali ya muhimu kabla hamjaanza kudate umenisoma..!? usije ukajikuta unamrudia abusive wako..! nimechoka sasa:yawn:
Wana JF...
Naandika huku nafsi yangu ikiwa na majonzi makubwa.
Mke wangu wa ndoa tuna miaka 8 toka tufunge ndoa, tumejaliwa kupata watoto 2 mapacha wa kiume na kike.
Lakini taingia mwaka juzi kabadilika kaanza vituko nyumbani, sio kawaida yake ananipiga na vitu bila sababu.
Kaenda mbali zaidi ananiambia lazima nikitoka kazini niwahi kufika nyumbani nikae na watoto yeye yupo bize..
Kanilizimisha nimjengee nyumba kwao Same nimemjengea nyumba kubwa tu lakini hana shukurani..
Tendo la ndoa napewa mara moja kwa mwezi nikihoji napigwa na mwiko..
Kila baada ya wiki anasema anasafiri anakwenda kwenye semina nibaki na watoto.
Ndugu zangu nisaidieni nifanyeje??
we jamaa **** kweli yaani'unampelekea ngumi ya pua'mara kibao'mara unakata mtama'mwisho unachukua juu kwa juu mpaka kitandani'unampelekea moto pale kudadadeki unamgeuza kaa samaki&&wee vipi?
We nawe. . .
Hapigwi wakati huo tu.Anapigwa kila mara.Sasa huko kutokuridhishwa ndio sababu tosha ya kumpiga mumewe? Whatever happened to couples talking and discussing things in a civilised manner?
basi atumie kinga halafu ampe n'genyo la kufa mtu uone kama hata mwambia "....eeeh baba watoto ulikua wapi siku zoteee eeeeeh jamaani mmmh.....!!!?" na heshima itaanza siku hiyo hiyo...!
hahahahahahaha
Haya bana,mpaka anatoka nje ujue kuna jambo mkuu,ok kama anatatizo la kuto kumsababisha mweza aone utamu wa kuolewa basi yambidi atumia VIAGRA nadhani hiyo ni kiboko ya mwanamke asiyemwamini mme ktk angahizo
Siku nyingine akirudi amekunywa kidogo, mchokoze halafu akudunde.......
Akienda kulala, we washa jiko la mkaa, kaliweke chumbani, wewe lala sebuleni. ukumbuke kufunga madirisha ya chumbani.
Ukifanikiwa usiache kuja kunishukuru.
Weka picha tuone makovu jinsi alivyokupiga.
Mkuu hizo semina zinanitisha, jaribu kuchunguza ni kweli anakwenda semina? Chunguiza na marafiki alionao huko kazini maana siku hizi bana hawa wenzetu unaweza kukuta kuna kitu flani tu humfanyii basi akisimuliwa na wenziwe mmewe kamfanyia hiki jana basi ni kosa atakuja kwako km mbogo eti mbona humwiti HONEY mbele za watu eti humpendi atanuna hata wiki! ukimwita HONEY mbele za watu basi atafuraaaaaaahi. jaribu kuwa mbunifu maisha yasiwe uniform saaana! na mfume dume saaana! jaribu kuto ignore vitu vidogo vidogo toka kwake.
Formula yangu nnayotumia huwa namwita chumbani namwambia leo tunauana humu ndani tuongee, tuchapane viboko tutukanane weeeeee ila tukitoka nje tuwe tumefikia mwafaka! basi atasema yote yanayomkera na mie ntasema tutapandishiana humoo weeeeeeee, tutalaumiana fokeana mwisho wa siku tunafikia common ground tunatoka na mkakati mmoja. Huwa namwambia niambie chochote unachoona nimekifanya kinakuudhi au kinakukera, atasema hapooo weee sitaki hiki, sitaki umsalimie yule dada wa jirani! sitaki u chat na baba joji usiku kwa nini akuite BAR wakati anajua una mke nyumbani hahahahaha akina mama achana nao wana vitu vidogo dogo lkn kwao vina impact kubwa sana!!!!
duh! mwan wakajanga hadi umemjengea nyumba kwao....u got a benign heart for sure