Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,165
Jamani jamani.
Kwahiyo miaka mitatu yote umekubali kuteswa tu?Pamoja na mateso bado ukamjengea?Pamoja na mateso bado unawahi nyumbani?Pamoja na mateso bado unamwomba unyumba mpaka unaambulia kipigo?Pamoja na mateso bado umeendelea kukaa nae na kukubali kukaanyumbani na watoto wakati yeye akienda kufanya 'who knows what' ?
Embu amka baba. Wewe ni mwanaume, act like one.Kama kweli umechoka hizo tabia zake mweke chini umweleze kwamba hiyo ndoa yenu haitofika popote iwapo hatojirekebisha. (Ningeweza ningekwambia siku nyingine akileta ujeuri umchape vibao kama mtoto) but anyway cha muhimu ni kumjulisha kwamba huwezi na wala hutaki kuendelea kuishi nae katika hali mnayoishi sasa hivi. Ila sasa kwa kumweleza haya uwe tayari kwa lolote (including kuachana) maana anaweza akakuambia kwamba alikua anafanya hayo yote ili uondoke uache kumganda akae na mtu wake anaempenda.
Sasa hivi jifikirie wewe na wanao, sidhani kama kitendo cha mama yao kukupiga (kama nao wanaona) ni mfano mzuri kwao. Fanya mpango uwalee katika mazingira mazuri.
akifata ushauri wako atafanikiwa.big up gal