Mke wangu ananiwekea masharti kwenye tendo la ndoa, nimechoka kuvumilia

Huwa unamfikisha kileleni?, inawezekana hafurahii jinsi unavyomfanya, jitahidi kumfanya inavyotakiwa ili afike kileleni hayo mashatri yote anayokupa yatakuwa historia.
 
Kwa asiyejuwa kwamba wanawake wengi tatizo kao ni mapepo wachafu basi waangalie hili,

Kuna mtu analalamika mke wake anamzinguwa kwa sababu hana pesa...

Sasa nenda nyumbani kwa tajili unaweza kuona Range zinapishana mlangoni Mr and Mrs lakini hawalali chumba kimoja, hawa wana kila kitu na watoto wanasomesha Feza schools.

Kama mnamuamini Mungu na kumkaribisha atawale maisha yenu hiyo ndio salama ya ndoa ya yenu kwa hizi ndoa za mwendo kasi.

Chakushangaza unaweza kukuta mke wako role model na mentor wake ni Joyce Kiria, mwafwa.
 
Huwa unamfikisha kileleni?, inawezekana hafurahii jinsi unavyomfanya, jitahidi kumfanya inavyotakiwa ili afike kileleni hayo mashatri yote anayokupa yatakuwa historia.
Hii ni nadharia tu, hakuna tabu yoyote kumfikisha mwanamke kileleni wala haaitaji extra knowledge, unless labda umeowa kahaba limeshasuguliwa na miukuni ya kila aina.

Mwanamke wa kawaida ukimuandaa ni lazima afike kileleni wala huitaji hata vumbi la Congo, kuna wanawake kiasili ni machizi boro, sasa kama umeoa mke wa aina hiyo pole huyo alitakiwa aajiliwe kwenye sex show na kina Mandingo.
 
Nikikuambia unamuendekeza mkeo nitakuwa nimekukosea!???
yani huyu jamaa ananikumbusha enzi zangu nimeoa, full kimoja full mapicha picha...kuna siku alizingua nilishusha ipondo, ase heshima ilirudi wima..maana nilikua naonekana kauli zangu hazina mashiko..ila baada ya siku hiyo,,maisha yalibadilika..huyu jamaa atakua hana marafiki
 
Hahahaaha,...natumai ulimpiga mara moja tuu 🙂
 
Huwa unamfikisha kileleni?, inawezekana hafurahii jinsi unavyomfanya, jitahidi kumfanya inavyotakiwa ili afike kileleni hayo mashatri yote anayokupa yatakuwa historia.
Kileleni ndiyo wapi huko?
kama ni sex huwa namchapa round mbili tu anakua kachoka km mbwa mwizi while mm bado nataka
 
mimi aliniletea hizo hizo....nikaachana naye ...nikawa najigongea nje...mpaka sasa tumezoea kila mtu kivyake ...sasa ni miezi sita imeshapita
 
Hawa wanawake bwana,akisha jihakikishia ndoa ndio dharau zinaanza,mara Leo mgongo,Leo tumbo,Leo mguuu,tumbo limekamata wai ! Basi sababu tupu ili unyimwe uroda. Ole wako umeze kadawa kabla Ka mmasai au kakizungu ndio utaimba ule wimbo wa..........cha njenga nchi maana mshipa unakuwa kidumu .... Na ndio SAA sita mnaingia kulala. Shidaaaaa
Hasa ukiwa mwaminifu lazima uwe mlevi, au akili kuwa zero
 
Mkuu naona kuwa pornstar ushaiva maana kumwaga nje mi siwezagi. Bao likiwa linakuja yaana sinaga ujanja wa kuchomoa eti nimwage nje,
 
Hahahaaha,...natumai ulimpiga mara moja tuu 🙂
mara moja na ya mwisho..ilikua balaa..akikaa akitaka kununa lazma akumbuke kipondo kile...in sshort hata next time akizingua atakimbilia huko huko awezi kujaa kwenye 18 maana anajua silembi..na kama akiondoka yote heri,,,sibembelezi mtu ntalea wananu mwenyewe *****
 
Duuh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimekuelewa. Wanawake wengi huanza kuonyesha tabia hizi baada ya kujiridhisha kwamba kamanda umekamatwa Na huna kwa kugeukia. Nahisi hili lipo kwenye huo uhusiano. Penda wastani. Mara nyingi wanapenda kumkomoa mtu kwa kumnyima Huduma hasa hiyo ambayo wao huhisi wamekujeruhi sana kumbe huwa wanayasambaratisha mapenzi coz siwezi kuvumilia huo upuuzi. Comrade, sometime akisema hivo toa kabisa, onyesha kwamba hupendi, usimchekee mtt wa tatu hutapata kwa kuua mbegu. Ridiculous!!!!
 
Aiseee hiyo ni serious problem aiseee Fanya Juu chini usolve mapema
 
Usikute kashapendwa na jini mahaba
cc. Mshana Junior
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…