Mke wangu ananiwekea masharti kwenye tendo la ndoa, nimechoka kuvumilia

Mke wangu ananiwekea masharti kwenye tendo la ndoa, nimechoka kuvumilia

Naanzaje anzaje kumwagia njee? Kwaujasiri huo ulionao yafaa ungekuwa baba paroko tu!!
 
Kama hamkujadili kwa pamoja juu ya jambo hili au hana sababu za msingi kwa hicho alicho amua, unapasw ujitafakari kw nini hujaamua jambo mpaka muda huu zaid umekimbilia kuomba ushauri.

Kwangu mimi hii ni "changamoto ya kijinga na yanipasa niwe mjinga kuivumilia, ikiwa imezuka tu na ndani yake hakuna majadiliano wala 7bu za msingi.
 
Haha....hujawahi sikia mme kabaka mke wake?.
Mume alianzaje? Walikuwa wapi? Mke alikuwa na umri gani? Wameoana hawajaoana? Baada ya kubakwa mke alishtaki wapi? Kesi iliamriwaje?
Kama mume alibainika kuwa ni mbakaji, alifungwa miaka mingapi?
 
Duuuuh sifa za mke zimesha shuka, huna mke hapo
 
Hakuna chochote, hakuna cha future wala mama yake future anatumia uzazi wa mpango ata nikimkojolea siyo rahisi kushika mimba
Uzazi wa mpango umekata stimu yake ya kupandishia nyege

Anachepuka hisia zake kwako hazipo

Ni mwanamke masharti ndo hao mnaoawaoa kwa mbwembwe nyingi mara ana kazi mara ana chura badala uoe mke akupendae sasa isome namba hadi kwny kugegeda

Conclusion ni kumtosa au tafuta mtu uwe unajipigia abakie na likyuma lake lisilotaka kupokea utelezi ila mkeo hakupendi mpk basi

Pole sana
 
Hata Mimi ishatokea bas siku moja nikaanza kubembeleza tangu asbh vizawad vya hapa na pale bas akajisahsu usiku ulivyofika nikampatia kijazawadi fulan bas akazidi kujisaha na akaanza kunipenda kama mwanzo bas sikupata shida nikapiga mzigo kwa gori tatu na yeye kilelen Mara mbili alifulah sana na baada ya kumaliza nikamuambia kesho nasafiri akaanza kunibembeleza oh usisafir kesho ,kesho ilivyofika nikaamsha
 
Wachana nae , wanaotaka kukojolewa wapo kibao wanatafuta wa kuwakojolea
 
Wangu akiwa na tabia hizo wala siji hapa kulalamika.
Natafuta limchepuko la haja nalipangia room then nakuwa najipigia tu,
nikirudi home sina time nae hata mwaka mzima hadi yeye anianze na hapo bado nitamsumbua kuwa nimechoka mara stress za kazi n.k

Mbona mambo mengine simple tu....si tumefunzwa kuwa dawa ya kiburi ni jeuri!?
 
Sex is something very sweet to both women and men. Naweza kuthubutu kusema "It might be even sweeter to women. As they have more than one pleasure point while men have only one"

Sasa basi ukiona mmojawapo wenu hataki sex, basi ni wazi hapati ile raha. Maana yake kama anapata basi sex ni kitu hawezi resist! Kabisa! We inakuwaje hapahapa usome uzi wa mwenzio analiliwa na mwanamke wake akampe mambo huku wewe unanyimwa???

My Brother tafuta namna utamkaza my wife wako hadi aseme kwa lugha mbalimbali acha kufanya mchezo. Kuna wana wakikushikia huna mke.

- Kuhusu kumwaga ndani, maybe anaona unamchafua tu. Ama anaogopa kupata mimba tena - which is surprising as mnatakiwa kuwa na plan za uzazi by now.

Mimi siamini kama mkeo anaenjoy sex halafu akatae. Another approach ni labda ana tatizo la kiafya ama psychological trauma hasa baada ya uzazi. Mchunguze vizuri.

Pia unaweza consider the wild option ya yeye kupata raha kwengine?

Unajua ukitaka kujua sex lazima uwe na wanawake watu wazima kama marafiki zako , huna mahusiano naye lakini ni rafiki tu , hasa kwenye kilajii hawa huwa wanatupa maujanja Sana maana anakufungukia haswa
Wewe unemshauri vizuri

Ukiiongea na wanawake huwa wanakwazika Sana tena Sana kutembea na mtu ambaye hajali hisia zake yaani kuhakikisha kama mwenzako amefika kileleni kweli kweli kabla ya wewe kumaliza maana sio wanaume wote wenye uwezo wa kurudiaa , tumia vizuri nguvu zako
Kuna lugha wanatumia ; “ hana lolote zaidi ya kuniachia shombooo” hapo kwake unakua uchafu na lazima ataona kinyaaa na mwanamke ambaye hakufikishwa especially ambaye alishawahi kujua kukojoa ni nini ukimuacha hewani anakua na hasira Sana na kama sio wako siku ingine ukimuita hatakuja au kama ni Mkeo ndio hivyo anaona shahawa uchafu

Lakini kama kweli anafika sio tu atataka ukojoleee ndaniii bali hata Ikienda nje atachukua mdomoo wake na kusafisha uuume wako na kuzimeza asiache hata tone nje ../ we are all mammals when it comes to sexual behavior unaona wanyama wote wanazilamba Lamba

Ni rahisi Sana kuvumiliwa na mwanamke ambaye Hajui raha ya kukojoa pengine kabla hujamuoa hakuwahi kutana na mafundi Ila ujuwe siku akikosea akakutan na hiyo fundi hesabu huna mke

Mwanamke ambaye kabla ashakutana na maufundi Anaweza kukuvumiliaa lakini ndio kama hivyo anakuwekea masharti , it’s like anafanya tu kama wajibu kukutidhisha Ila akili zake hawezi kuziweka hapo na lazima atakuwa anarudi kwa ex wake kuitafuta Roma

Na in life ukikutaa hiyo ex wake naye kaoa gogo basi unakuta ma ex wengi tu siku hizi wanaendelea kimya kimya majumbani kwao wanarudi kulala tu
 
Hawa ke wanachangamoto sana
But tafuta nafasi toka naye out anzisha topic tofauti kabisa the have fan rudi nyumbani na usimguse kabisa siku hiyo
Fanya hivyo mara mbili tatu kwa kumtoa out mpe good time kwa kumpa hobi zake the usimguse kabisa
Ukifanya mara nne tano na hajaomba mchezo ujuwe tatizo ni kubwa sana
But through kumfanya tafiki unaweza msaidia zidi kuliko kutoka nje ya ndoa
Jifunze kuongea kirafiki sana na kijishusha
Hawa wana maumbile ya ajabu kuna kipindi wanakuwa kama wamepandwa mapepo kumbe homons za period zimechanganyikana na vikoba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Hana sababu yoyote ya msingi, maelezo yake ni kwamba hapendi kulala na utelezi. Eti sometime hizo manii huwa zinamchafilia chupi akiwa kalala
Sababu haina mashiko,ukimaliza kumgegeda si anakwenda kunawa au kuoga kabisa?
 
Ww umeolewa haujaolewa, haya mambo ya kuendekeza 50/50 kwenye ndoa ni tatzo.


Mwanaume lazma uwe na maamuz na msimamo thabiti.
 
Samahani kwanza nikuulize mleta mada. Huyo B3 wako ana umri gani? Naona unapata shida buure. Huku kwetu twasema hivi. Ukisema hayo ni maua, basi nune nawa. Ukisema ni vidakwa, watoto walia chumvi. Ukisema ni mabichi, wanzio watia masala.. Ukisubiri liive utakula lilooza yakhe... Muanze brashi B3 faster. Utasahau hiyo ratiba ya sex kwa mkeo kwa kupuni.
 
Wangu akiwa na tabia hizo wala siji hapa kulalamika.
Natafuta limchepuko la haja nalipangia room then nakuwa najipigia tu,
nikirudi home sina time nae hata mwaka mzima hadi yeye anianze na hapo bado nitamsumbua kuwa nimechoka mara stress za kazi n.k

Mbona mambo mengine simple tu....si tumefunzwa kuwa dawa ya kiburi ni jeuri!?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom