Mke wangu ananiwekea masharti kwenye tendo la ndoa, nimechoka kuvumilia

Mke wangu ananiwekea masharti kwenye tendo la ndoa, nimechoka kuvumilia

Habari za Pasaka aisee?
Mwenzenu nipo sitting bado natoa macho tu hapa sielewi nikalale au niendelee kuzuga kishikaji shemeji yenu kanipiga adhabu ya nguvu ambayo anajua vizuri lazima nitaathirika moja kwa moja.

Inshu iko hivi, nina mke na mtoto moja, nimekua kwenye mahusiano na mke wangu kwa kipindi cha miaka miwili kabla ya uchumba wetu uliodumu kwa miaka minne, kwa kipindi chote cha uchumba wetu hakukua na hii shida.

Mke wangu siku hizi tukiwa tunasex hataki nimkojelee kabisa anataka nichomoe mashine na nimwage nje, na bao napewa kamoja aisee hakuna zaidi, mara moja moja huwa naotea bao mbili mpk ajisikie mwenyewe lakini.

Iwapo nitathubutu kumkojolea , anachukia sana siku nzima atakununia na kinachofuata ni kunyimwa sex ata kwa wiki nzima na wife nilishamweleza kistaarabu kabisa kwamba aninyime vyote lakini sex hapana maana hapo ndiyo kuna furaha yangu lakini habadiliki.

Sometime natamani ata nijipigie beki tatu ili nipunguze uchungu lakini nikimcheki huyu dogo anaonekana bado sana hata vichuchu vinaonyesha hajui kitu isitoshe kana aibu sana na kananiheshimu vya kutosha aiseeeeeeee nimechoka ata kuendelea kutyp lakini inaniuma sanaaaa

Jamani ebu tuambizane nyie pia kwenye ndoa zenu kuna hizi taratibu za kuzuiliwa kukojeleana?
Tulipoambiwa tuongeze mke unadhani hiyo kitu ilikosewa? IPO sahihi kabisa. Mke akizingua unaongeza mwingine au anasepa maana bila tendo hamna ndoa labda kama kuna sababu za msingi. Mke anayemnyima mume tendo hulaaniwa duniani na mbinguni.
 
Kaa nae vizuri muhoji.nn tatizo.shida yenu vijana mnafikiri mapenzi ni kudandia tu pale juu kma baskel na kukojoa ona sasa hataki hata kukojolewa.eti jino kwa jino.utaishia kujing'ata mwenyewe...
 
Kaa nae vizuri muhoji.nn tatizo.shida yenu vijana mnafikiri mapenzi ni kudandia tu pale juu kma baskel na kukojoa ona sasa hataki hata kukojolewa.eti jino kwa jino.utaishia kujing'ata mwenyewe...
Nani anayetakiwa kuitisha kikao kabla ya mgomo?

Idadi ya wanawake wanaohitaji huduma hiyo bila masharti hawapo mitaani?

Mwanaume akiamua kuwa na nyumba ndogo, nani atakayekuwa kasababisha?
Nani atakayeanza kulalamika?

Mbona hakuna kesi ya wanaume kuwanyima wake zao?
Kwa nini hii tabia ya wanawake kuwanyima waume zao tendo la ndoa inavyoongezeka na nyumba ndogo zinaongezeka, na hatimaye ukimwi unaongezeka? Na matokeo yake mayatima na watoto wa mitaani wanaongezeka?

Hitimisho:

Mwanamke mpumbavu huharibu nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.

Wanawake kuweni na hekima. Muwalinde waume zenu, kumnyima mwanamume ni sawa na kumwambia ongeza mke mwingine.
 
Imeandikwa "Mume na aishi na mkewe Kwa Akili "
Wanaume wanatakiwa kujifunza jinsi ya kuishi na Mke Kwa Akili !
Sasa jitafakalini!
 
Nani anayetakiwa kuitisha kikao kabla ya mgomo?

Idadi ya wanawake wanaohitaji huduma hiyo bila masharti hawapo mitaani?

Mwanaume akiamua kuwa na nyumba ndogo, nani atakayekuwa kasababisha?
Nani atakayeanza kulalamika?

Mbona hakuna kesi ya wanaume kuwanyima wake zao?
Kwa nini hii tabia ya wanawake kuwanyima waume zao tendo la ndoa inavyoongezeka na nyumba ndogo zinaongezeka, na hatimaye ukimwi unaongezeka? Na matokeo yake mayatima na watoto wa mitaani wanaongezeka?

Hitimisho:

Mwanamke mpumbavu huharibu nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.

Wanawake kuweni na hekima. Muwalinde waume zenu, kumnyima mwanamume ni sawa na kumwambia ongeza mke mwingine.
Haha,matatizo ktk ndoa n mengi mkuu sio kunyimwa uroda tu.na kueleza matatizo nje sio solution.naona umechabo na bible,kumbuka tumeambiwa pia tuishi nao kwa akili,sasa ww mtu anakunyima uroda wala hujisumbui kujua tatizo nn?.hyo ndio akili?.unawaza michepuko tu.huko n kuongeza matatizo tu.wanawake n walewale tu.wengine wanagawa uroda kma njugu,wengine wagumu kutoa hadi ndani ya nyumba.yupi bora hapo?.jifunze kujua chanzo cha tatizo na upate majibu.inawezekana pia tatizo n mwanaume ila wake wengi n wazito kusema ukweli.jiweke ktk utayari wa kuambiwa ukweli.hyo ndio akili ya kweli.
 
Hana sababu yoyote ya msingi, maelezo yake ni kwamba hapendi kulala na utelezi. Eti sometime hizo manii huwa zinamchafilia chupi akiwa kalala
Hiyo siyo sababu ya msingi mkuu kina maji baada ya kumkojolea anatakiwa anawe maji awe safi. Halafu mwanamke anayejielewa huwa halali na chupi kitandani akiwa na mume wake. Dont ever buy such rubbish mkuu
 
Haha,matatizo ktk ndoa n mengi mkuu sio kunyimwa uroda tu.na kueleza matatizo nje sio solution.naona umechabo na bible,kumbuka tumeambiwa pia tuishi nao kwa akili,sasa ww mtu anakunyima uroda wala hujisumbui kujua tatizo nn?.hyo ndio akili?.unawaza michepuko tu.huko n kuongeza matatizo tu.wanawake n walewale tu.wengine wanagawa uroda kma njugu,wengine wagumu kutoa hadi ndani ya nyumba.yupi bora hapo?.jifunze kujua chanzo cha tatizo na upate majibu.inawezekana pia tatizo n mwanaume ila wake wengi n wazito kusema ukweli.jiweke ktk utayari wa kuambiwa ukweli.hyo ndio akili ya kweli.
Umeiona hiyo sababu yake lkn hapo juu?
 
Asante sana Mentor lkn kwa kiasi kikubwa sana nimeshakata tamaa na huyu mwanamke. Mpk nakuja kuanika mambo yangu hapa ujue nafanya kama ku share tu lkn sikuamini km nitapata ushauri wa kunibadilisha. Kwa kiasi kikubwa nafikili nimsusie tu hiyo papuchi yake mm nikale nje
Huo ndio uamuzi wa kiume
 
Umeiona hiyo sababu yake lkn hapo juu?
sawa,99% ya wanandoa hawasemagi ukweli juu ya mweza wake.anaweza asifurahie papuchi yako lakini yy akachomeka sababu nyingine tofauti.msiende kinyume na maandiko mtaumia.ishini nao kwa akili.dem kma unampa vitu vizuri kwa kutumia hesabu,acha ww.anawezaje kupenda hyo kitu.
 
Dawa ya Mke kama Huyo usishindane nae,,,LALA mapema,,, AMKA SAA NANE ZA USIKU,,,mnyatie,,,,hata akikunyima wewe MSUMBUWE,,,,hadi KUNAKUCHA HAKIKISHA HALALI MTU,,,sidhani kama KSHO akikumbuka JANA HAJALALA, kwasababu ya USUMBUFU WAKO,,,,atakunyima TENA...
 
Kwani hakuna maandiko yasemayo "msinyimane..."
Kwani hujaona maandiko yasemayo"mwanamke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe......"
 
Dawa ya Mke kama Huyo usishindane nae,,,LALA mapema,,, AMKA SAA NANE ZA USIKU,,,mnyatie,,,,hata akikunyima wewe MSUMBUWE,,,,hadi KUNAKUCHA HAKIKISHA HALALI MTU,,,sidhani kama KSHO akikumbuka JANA HAJALALA, kwasababu ya USUMBUFU WAKO,,,,atakunyima TENA...
Mkuu hahahhhhaaaaa bonge moja la mbinu
 
Back
Top Bottom