Mke wangu ananiwekea masharti kwenye tendo la ndoa, nimechoka kuvumilia

Jaman sasa mwanamke kama mumewe shahawa zina nuka si angemchana!!

Ni vema kumsikiliza na mwanamke ila jamaa kama namuamini hivi
Baadhi ya wanawake wamezoea kukaa kimya
Anaweza kuwa na jambo akakaa kimya mpaka anakufa
 
Badili mtizamo zungumza na mkeo mpange mpango sahihi kuhusu uzao wenu pangeni Kwa pamoja pengine hauko tayari kumsikiliza mkeo ndomaana anaamua kukuzuia but usiwaze hakupendi noo kabisa

then jichunguze unaweza kuwa kuna mambo umechange cyo km zamani so vnamtia shaka future Yake na ww ndo sababu hataki ujauzto mapema hadi awe na imani na ww yangu ni hayo ....KM C.F
 
Ni mawazo yako pia. Kwani nikitaka kuchepuka mpk niombe ruhusa Jf? We nawe nyang'au tu kama nyang'au wengine
Sawa
Si nasikia kuna nyuzi za kuomba huruma
Haya watakuja.
 
Kama hataki umjojolee, si uvae ndom? Huenda anapitia kipindi kigumu katika hayo maswala. Mpe muda. Hata gari likiwa bovu huwa linapumzishwa gereji. Sio tu unaliburuza! Mwishowe utaliua.
Tangu mwaka jana mpk leo!! Nimpe mda tena? Chaaaaa
 
Kwenye haki unaogopa misuguano???tena haki yako,.aisee acha mkeo akupele puta atakavyo yeye
Huna ndoa bila shaka......kwa ukurasa wa kwanza tu, nimesoma comments zako, kama unayo ndoa....., mnaishi kama maroboti/masanamu.

Kwa mimi, nitatofautiana na mtizamo wako kwakuwa hakuna nisichokifahamu anachozungumzia mleta mada, alamsiki
 
Hakuna chochote, hakuna cha future wala mama yake future anatumia uzazi wa mpango ata nikimkojolea siyo rahisi kushika mimba
 
Nikikuambia unamuendekeza mkeo nitakuwa nimekukosea!???
Kabisa.
Nafikiri pia kama kumuonyesha dalili za kuwa anachepuka ni ngumu baai anatakiwa atumie uanaume, ampe rafu rafu hivyo hivyo!! Siku kakasirika, akamate na kuweka mashine na kukojoa ndani. Hamna namna, hapo jibu ni rough sex au bondage!!
 
Mkuu yote nilotaka kuyauliza umeyauliza niseme umechangia mada yake kwa akili kubwa sana japokua umetumia njia ya maswali.

Akikujibu nitag
 
Pole sana mtoa hii mada umeandikia wengi sana wanaopitia hali kama hizi ila wanaogopa na kukosa pa kusemea. Ndoa nyingi zinapitia magumu sana tena usiombe mwanamke ndio awe muanzilishi Wa sokomoko Italia aisee.
Michepuko sio suruhisho kwani ina hatari zake na kuongeza umaskini hasa kwenye matumizi.
Pia kuna magonjwa kama HIV na mengineyo.

Kupiga pia sio suruhisho kwani waweza UA au jeruhi.

Punyeto nayo sio sana inadharirisha utu Wa mtu.

Kukimbilia kwa washauri pia sio kwani nao wanao yao na hawajahi kumwambia au kukuambia mwishowe utazikuta mabalazani kwenye Kuku wengi.

Dawa ni kufa tu na kuanza kufanya yako na kuachana naye. Tena mtenge kabisa uwe kama maiti.
 
Temana. Ae acha kumuendekeza chief mbona wanawake wengi unalalamika nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…