Mke wangu ananiwekea masharti kwenye tendo la ndoa, nimechoka kuvumilia

Mke wangu ananiwekea masharti kwenye tendo la ndoa, nimechoka kuvumilia

Jaribu hii ya mwisho mkuu. ishindikana hata mkitengana itakuwa halali. usitafute temporary solutions mwishowe uje kuonekana mkosefu wewe.
Asante chief ngoja niwe na subira tena nijaribu hiyo. Then nitakupa feedback. isije onekana nilikua natafuta sababu ya ku cheat lkn hawa wanawake hawa. Bure kabisa
 
Mkuu muwekee vikwazo tu atanyoka, dawa ya moto ni moto

Tafuta dogodogo huko nje uwe unajiridhisha ukirudi unalala tu wala huulizii mgegedo Fanya hivyo hata ndani ya mwezi atanyoka tu, we tabia gani ya kuwa na mbunye ndani halafu ulale njaa???

Haya ni mambo ya kishetani mkuu haiwezekani we mke wangu halafu utamu unakuja eti nichomoe wewe mwanafunzi??? Mimi mkuu hii ishu siwezi kuvumilia.
Wewe unamuangamiza baadala ya kumshauri...
 
Ingependeza km ungetoa na sababu za mke wako kuwa ivo. Na km hakuna sababu hata moja basi wewe ni mme bwege na pengine hufai hata kuitwa mwanaume!! I'm ver sor.
 
Dunia hii hakuna kiumbe cha jinsia ya kiume kilichoumbwa kiwe na jike moja.

"maisha ni kupanga na kuamua"
 
Dawa ya mwanamke wa kiafrika ni kupiga kama unampiga mbwa mwizi, ukienda nae kuzungu, sawa na kumtreat umbwa koko kizungu au ungefunga ndoa Ya mkataba ungemtime mkataba ukiisha unamchichia mbali.
 
Kabla ya talaka nataka na nichabange huko nje mpk yeye mwenyewe aombe talaka
Mkuu mimi sikushauri uchabange huko nje mpaka aombe talaka, No angalia namna nzuri ya kuhandle hiyo situation, mfano anadai hataki umkojoleee kwa ndani jaribu kutumia kondomu hata kama ww hupendi akikataa na hapo, sasa unaweza jua pengine ana visa vyake. Kingine kabla hujaenda huko nje jaribu kujichunguza wewe mwenyewe kama hauna mapungufu yoyote yale kwenye hayo mambo mfano usafi, je unamuandaa vizuri kabla ya kumuingilia. Ndugu yangu huko nje kuna mengi na unaweza ukapoteza mengi kuliko hata hizo shahawa zako ambazo hutaki zipotelee nje ya nyumba kuu (k). Ni hayo tu Mkuu.
 
Sawa ila nchi za wenzetu sidhani kama mke anamyima mumewe haki yake, au kumuwekea masharti.

Kitu kimoja wanacho wanawake, akianzisha kitu ukakipokea basi anajenga tabia.

We kweli hujui Hawa wazungu. Unadhani Kwanini biashara ya unamalaya inalipa Hawa wazungu Hasa Wa Ulaya mashariki wanauza sana. Nusu saa Euro 100-200 .wanawake wenzetu Wa kizungu ni watemi. Hawaguswi ovyo. Na usijaribu. Sheria wanazijua. So kupisha shari madanguroni tu
 
Kabisa.
Nafikiri pia kama kumuonyesha dalili za kuwa anachepuka ni ngumu baai anatakiwa atumie uanaume, ampe rafu rafu hivyo hivyo!! Siku kakasirika, akamate na kuweka mashine na kukojoa ndani. Hamna namna, hapo jibu ni rough sex au bondage!!
Hamna namna.Naunga mkono hoja
 
Mi nahisi ulimlazimisha kumuoa hakuwa tayar! na hivi sasa hataki kukuzalia na siku akishika ujauzito jua sio wako

O else kuna vitu umeficha pengine una tabia chafu na umekataa kupima ngoma, so anakubania ili mkapime

Funguka
 
We mwanaume wa Dar unatutia aibu wana ndoa wenzio, kiukweli naungana nao ambao wamesema unamwendekeza na ukiendelea kumsikiliza atakacho basi kesho na kesho kutwa utakuja kuleta thread nyingine ya kwamba anakuletea bwana hadi mlangoni na wewe unaona.

La pili usikubali kukupa mifano ya majirani waliokuzungukeni, nna maana ya kwamba anaweza kukwambia kitu kwamba mme wangu fanya hili mbona baba fulani anafanya wewe ndo mume kuwa na msimamo kama mume usiwe boya,,, ni bora uitwe dikteta kuliko kuitwa boya.

Halafu futa kauli ya kusema mmeowana, kiukweli hamjaowana bali umemuowa.
 
Mimi mwenyewe sasa ndicho kinafuata icho nataka nitafute ambaye anakubali kukojolewa yeye aendelee na papuchi yake ambayo haitaki kuchafuliwa. Na kuanzia sasa atakua ananiona hapa kwake saa nne usiku. Pimbi sana hawa
Kumbe saa nne! Nilijua utasema atakuona Asubuhi. Kweli wewe bado mvulana.
 
Mi alinishaniletea hz tabia.nikamchunia kumgusa km mwezi hivi siulizii uroda.akaamza kunipeleleza hadi akakuta meseji kwenye ya dem mwingine akiniambia KARIBU CHAKULA MUME WANGU!toka siku hiyo napewa uroda wa hela yoteee
Hii nitaitumia soon!!
 
Daaah na mm hii kitu nakumbana nayo sana ,,, mpaka nmeamua kumwacha niendeleze ubachelor . bahati nzuri tulikuwa hatujaona rasmi ,,,
Masharti kila siku ,,, yaaann usiombe ukutane na mwanamke was hvyo ,,, unakuta umemoendaaa ila kukupa unyumba ni masharti eeeeehhh
Anakua hajakupenda uyo...
 
Nikikuambia unamuendekeza mkeo nitakuwa nimekukosea!???
Nikisemaga wanaume tumebaki wachache watu wanadhani naji-proud, ila ukweli wamebaki wanaume wa kulia lia tu
 
Back
Top Bottom