Mke wangu ananiwekea masharti kwenye tendo la ndoa, nimechoka kuvumilia

Hataki umkojolee ndani kwa maana ya kwamba mpo kwenye uzazi wa mpango?

Ni ngumu sana watu kukushauri kwa sababu ukweli unaujua mwenyewe...

Cc: mahondaw
 
Dawa hapo ni saikolojia. Mweleze ukweli kwamba umechoka kupata unyumba kwa masharti.

Miongoni mwa sababu za kuoa ilikuwa ni pamoja na kupata huduma ya unyumba bila masharti na kuepukana na magonjwa kama ukimwi.

Mwambie kama hawezi tena kumpa basi hauko tayari kugombana naye kwasababu ya sex.

Mwambie kuanzia Leo hatakuona ukimkumbusha wala kumuomba sex.

Baada ya hapo, piga kimya, timiza mahitaji yote kama baba kisha usiku usimkumbushe, mwache tu.

Baada ya wiki moja, atakuanza mwenyewe!!!!
 
Hawa ke wanachangamoto sana
But tafuta nafasi toka naye out anzisha topic tofauti kabisa the have fan rudi nyumbani na usimguse kabisa siku hiyo
Fanya hivyo mara mbili tatu kwa kumtoa out mpe good time kwa kumpa hobi zake the usimguse kabisa
Ukifanya mara nne tano na hajaomba mchezo ujuwe tatizo ni kubwa sana
But through kumfanya tafiki unaweza msaidia zidi kuliko kutoka nje ya ndoa
Jifunze kuongea kirafiki sana na kijishusha
Hawa wana maumbile ya ajabu kuna kipindi wanakuwa kama wamepandwa mapepo kumbe homons za period zimechanganyikana na vikoba
 
Hana sababu yoyote ya msingi, maelezo yake ni kwamba hapendi kulala na utelezi. Eti sometime hizo manii huwa zinamchafilia chupi akiwa kalala
kumbe ndo sababu? kwanini asijisafishe mkimaliza?
 
Anachokufanyia mkwewe siyo kabisa mpk mukafunga ndoa it means atatimiza haja zako zote na siyo adhabu anazo kupa, kwanza wewe mvumilivu maan wngine wake zao wakizingua wanatafuta pembeni ila cha kukushauri kaa chini na mkeo muulize nini chanzo cha kukufanyia hivyo maana lazima kuna kitu si hivi hivi,
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Mmh kweli ndoa zipo tofaut sna

Mm mke wangu yeye ndo kla sku anataka mambo siku nikiwa off home napiga game siku mzima

Yaan kuhusu kumkojolea nje hatak kabisa hio kitu kwan yale madude yakiingia ktk k yana raha yake
Huyo mkeo safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…