Mke wangu ananiwekea masharti kwenye tendo la ndoa, nimechoka kuvumilia

Hakuna mateso makubwa kama kukojolea nje!
Nje kuna raha yake.

Bao la Nje haliishi haraka.

Unaweza ukaona umeshamaliza, kumbe zinazidi kumiminika.

Halafu ukitaka kuunganisha hapo ndio mpango mzima.

Yaani, unatupia nje kisha unaweka tena.

Hapo mwenzio lazima akusimamishe katikati ya Tendo akuambie,

"Wewe mbinafsi sana"
 
Mi alinishaniletea hizi tabia nikamchunia kumgusa kama mwezi hivi siulizii uroda akaamza kunipeleleza hadi akakuta meseji kwenye ya demu mwingine akiniambia KARIBU CHAKULA MUME WANGU!toka siku hiyo napewa uroda wa hela yoteee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji13]
 
Dawa ni kutafuta mrupo ukija ndani mnapeana mgongo hapo lazima ajiulize
 


Cc; Vladimirovich Putin
 
hapana, unajua mimi huwa sipendi misuguano
Misuguano kwenye ndoa haikwepeki. Anakupima huyo, na ukimwendekeza ataleta na lingine.
Tambua huyo ni mke wako, hawezi kukupangia masharti kwenye tendo la ndoa, kama hataki arudi kwa wazazi wake, maana hajawa tayari na hajajua maana ya kuolewa.

Kwenye Biblia imeandikwa "msinyimane..." sasa kwa nini akunyime, haoni kuwa hata anamkosea Mungu?.

Wanawake wenye tabia hii na wenye tabia zinazofanana na hii badilikeni!
Sio tabia nzuri hata kidogo.

Ninyi ndo mnasababisha waume zenu kuwa na nyumba ndogo au kuanza kufanya mapenzi na house girls na matokeo yake ninyi hao hao mnaanza kulalamika. Lakini pia mnajua madhara yatakayotokea mmoja wa wanandoa akianza kutoka nje.....

Wanawake wamezidi hii tabia, hata wangu alianza tabia ya kuniwekea masharti nikamwonesha nia yangu ya kuoa mke wa pili, siku chache zilizopita ameomba msamaha na amesema hatarudia tena kuniwekea masharti kwenye tendo la ndoa.

Sa hivi nimemweka kwenye matazamio (probation), akirudia tu tabia hiyo, nachukua hatua ya kuoa mke wa pili.
 
hilo unalolifikiria kwa msaidizi wa kazi siyo jambo la kujaribu hata kidogo, pia ongea na mkeo kwa upendo ukiwa kama mume.
 
Mkumbushe kukojoa nje ni dhambi,
Halafu raha ya tendo la ndoa ni kumkojolea mwanamke ndani, hii ya kukojoa nje au kutumia kondom zinaondoa maana ya tendo la ndoa jamani.
 
we nawe ni mzembe mzembe hatuwezi kukwambia chakufanya maaana mkeo anakuona kama zoba .. next ime atakufanyia lingine utakimbilia humu tena
 
Huu upumbavu wa mke kujifanya anamfanyia favour mumewe ndio ulisababisha tukafikisha page 40 kwenye uzi flani jana. Wanawake ni wabishi balaa kwenye mambo ya msingi wanaleta utoto!
 
Reactions: BAK
Wewe unashida ya kuchepuka tu,huna lolote
Hii ndio punchline yenu,,, i wish ungekuwa gudume gwa mbegu kisha ukutane na hayo madhila. Huyu jamaa yupo serious ila mkd analeta utoto. Complaining bila kusikilizwa ina mwisho na mwisho huwa simzuri
 

Dawa moja usimshobokeeeee kama mwezi Hivi
Yaani fanya Hivi usimtake hadi yeye atake, na akikupaa Mwaga utakavyoooo

Ila pia zidisha maufundi siku akikupaaa pengine unamkera unakojoa haraka Sana hivyo anaona kinyaaa kuendelea kwakua yeye hajakojoaa so make sure she has enough foreplay
 
Humkuni vizuri huyo...mwanamke ukimpa inavotakiwa mwenyewe analazmisha ukojolee ndan!
 
Si uoe mke wa pili shekhe,tumeruhusiwa 4
 
hayo ni ya kwako embu tu shee mambo yatakayo tuondoa hapa kwenda mahali pengine
mfano;
 


WOTE WAKO HIVYO
 

M Spy, inawezekana ana mahusiano Nje
 
Mimi mwenyewe sasa ndicho kinafuata icho nataka nitafute ambaye anakubali kukojolewa yeye aendelee na papuchi yake ambayo haitaki kuchafuliwa. Na kuanzia sasa atakua ananiona hapa kwake saa nne usiku. Pimbi sana hawa

Hili halisaidii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…