Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,092
- 9,063
Ukiona hvyo ujue bado wanapendana, aidha waliachana kutokana na shinikizo la wazazi, ndg, marafiki au tofauti za dini. Lakini kama waliachana kwa kumaanisha sio rahisi nmahusiano kuendelea.Huwa inakuwa ngumu sana kuacha mawasiliano na hao jamaa zao hata uwape nini,huwa najiuliza kwa nini waliachana sasa na kwangu alifuata nini kwa watu wenye wivu kama mimi natupa kule kwani lazima!
Ukiona hvyo ujue bado wanapendana, aidha waliachana kutokana na shinikizo la wazazi, ndg, marafiki au tofauti za dini. Lakini kama waliachana kwa kumaanisha sio rahisi nmahusiano kuendelea.
Kama mimi binafsi ex wangu ni adui yangu namba moja nahakikisha nimemblock kila mahali kiasi ambacho hataweza kunipata
Uko sahihi na kila mtu ana njia yake ya kumove on, binafsi yangu hvyo ndo nafanya, namfuta kila mahali ili niwe huru na hata nikiingia kwny uhusiano mpya nisipate shida na kumkwaza mwenzangu mpya. Umeachana na ex alafubuna namba yakebya cm, ya kazi gani?, unamfolow fb, insta ili iweje? For me is no. My ex is expired, dead and goneBas wew nawe pia una kazi ya ziada !mie sijawah mblock ex jaman !nkisema nimemuacha nikweli naacha !nakosa kbs hisia hata za kuchat naye au kupigiana naye simu ! automatic nakuwa off naye miaka nenda rudi ! mie hata huwa sisumbuki jaman ! hat niwe mtaa mmoja na ww utasurrender mwenyew ! sijui huwa wanarud kwa ex zao wanakuwa wamesahau nn !kumrudia ex ni FEDHEHA YA HALI YA JUU !
Uko sahihi na kila mtu ana njia yake ya kumove on, binafsi yangu hvyo ndo nafanya, namfuta kila mahali ili niwe huru na hata nikiingia kwny uhusiano mpya nisipate shida na kumkwaza mwenzangu mpya. Umeachana na ex alafubuna namba yakebya cm, ya kazi gani?, unamfolow fb, insta ili iweje? For me is no. My ex is expired, dead and gone
Mnyang'anye simu yakeHabari zenu ndugu zangu, jamaa na marafiki zangu,
Hoja iko hivi, nina mke ambaye nimedumu naye kwa mwaka karibu wa 10 na Mungu kanijalia watoto kadhaa.
Ki ukweli tunaishi vizuri mno ni mnyenyekevu, msafi na ni mzuri mno.
Ila miaka miwili tu baada ya kumuoa nilibaini namba moja ambayo alikuwa haja isave ila ilikuwa ndiyo namba ambayo ilikuwa imepigwa mara nyingi sana.
Nilimbana mpaka akaja akakiri kuwa huyo ndiye aliyekuwa Ex boy friend wake.
Kidume nikampiga marufuku lakini ameendelea kuwasiliana naye mpaka mwezi uliopita licha ya kufikisha mpaka kwa wazee mara kadhaa kwa sababu hiyo.
Sasa najua kuna wataalamu wa mambo ya mahusiano humu ambao mnaweza kunisaidia nifanyaje kwa sababu ki ukweli naelekea kuachana naye kwa sasa.
Yaan unachosema kina ukweli. Ina depend waliachana vipi.. kuna wengine hawakupenda, so lile penz mara nyingi huwa halifi. Ila kuna wale wameacha vibaya,matusi juu. Hiyo huwa unafunga kila aina ya mawasiliano ili ex asikupateUkiona hvyo ujue bado wanapendana, aidha waliachana kutokana na shinikizo la wazazi, ndg, marafiki au tofauti za dini. Lakini kama waliachana kwa kumaanisha sio rahisi nmahusiano kuendelea.
Kama mimi binafsi ex wangu ni adui yangu namba moja nahakikisha nimemblock kila mahali kiasi ambacho hataweza kunipata
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwahiyo akimueleza jinsi anavyoumia ataacha?So sad jamani, kaa nae chini mueleze jinsi unavyoumia sababu ya Huyo ex wake
80% tu[emoji15] [emoji15] 20% wamekata kodi zao?Akili zangu zinanipeleka huko kwa zaidi ya 80% na ndiyo maana nafikiria kumpiga chini.ila nikiwaza watoto ndo nachanganyikiwa kabisa
Ni simu ya mkewe sio mchepukoMwenye tatizo ni wewe. Nani kakwambia uchunguze chunguze simu ya mkeo? Usingekuwa na kihere here cha kuigusa gusa wala usingefika hapa. Mwache arudi mme mwenzako akafaidi wewe urudi kupiga puli!
Kweli kabisa, mara nyingi walioachana bila kupenda hawaachanagi hata ipite muda muda ganiYaan unachosema kina ukweli. Ina depend waliachana vipi.. kuna wengine hawakupenda, so lile penz mara nyingi huwa halifi. Ila kuna wale wameacha vibaya,matusi juu. Hiyo huwa unafunga kila aina ya mawasiliano ili ex asikupate
Akipita hapa ex wangu akasoma komenti hii hatakuelewaUkiona Kaliwa... Samahani manyoya......... Ila ni kawaida tu, ke wote wanawasiliana na ma-ex wao provided hawakuachana vibaya. LA muhimu Ongeza kuprovide Vile vilivyofanya akubali umuoe ili ucompete vizuri.