Mke wangu anapenda kuwasiliana na Ex wake

Yaani we we jamaa unamoyo kweli anakiri bado uko naye ningemwambia sasa hivi fungasha nenda kampe kwa Uhuru zaidi
 
Kaka ulipatwa na nn
 
Mrejesho upoje na hao watoto nakwambia sio wako mkuuu


Umeliwa kichwa na miguu 😅😅
 
Acha wivu usio na tija hebu nikupe mfano mimi nilikuwa na mpenzi wa shule sekondari akiitwa Mariamu huyu binti alinipenda sana kiasi marehemu mama yake mzazi aliamua kumuhamisha shule kwenda sekondari ya jamhuri Dodoma.Siku ambayo alikuja kuniaga jioni sikuwepo aliacha picha nyumbani huku akilia kwa uchungu mnoooo.Mie nilivyofika nikaambiwa alfajiri nikaenda kwao bila kuogopa nikamkuta Mariamu anajiandaa aende Dodoma nikamuita alikuja kwangu akanikumbatia huku akilia kuwa atanimis ndipo mama yake akasema Dezoizo mwanangu anakupenda sana naomba kamwe usije ukamuacha.Kifupi mimi na Mariamu tuliachana na kwa sasa ni kama best friend na sikuwahi kumtafuna na ameolewa now na mume wake alikuwa ananieekea wivu sana sema akawa anaambiwa na Mariamu kuwa hatuna mapenzi ila nimebaki kama mtu muhimu katika maisha yake.Punguza wivu ila moment zinamfanya mkeo amkumbuke na wala hakuna mahusiano tena kama ilivyo mimi na Mariamu.
 
Dada ni sawa ulichosema ila naona kwenye mahusiano.
Jua nini mwenzio hakipendi sawa.
Kama mwenzio hapendi uwasiliane na ex wako basi futa namba zao na uwaambie kuwa mwenzangu hapendi kuwasiliana na nyie maex wangu so msinitafute.
Futa namba zo maisha ya endless.
Kwani wewe maex wako sio ulikuwa unazini nal kabla ya kukutana na mmeo au la?????????
 
Lazima atakuwa anawasiliana nao bila mumewe kujua , hio lazima.
 
Mmeo anajua kuwa unaongea na ex zako??.
 
Umeona ee
 
Moja ya mambo ambayo yatakuharibia mahusiano yako ya sasa au ndoa yako ni wewe kuendelea kuwasiliana na X wako kwa kigezo kuwa hamkuachana kwa kugombana. Bila kujali sababu ya kuachana na X wako mwanamke unatakiwa kuacha kabisa kuwasiliana na X wako, hata akifiwa acha kiherehere cha kumpost kumuambia pole au kwenda. Narudi huyo mtu ni X achana naye, najua mtaanza kusema kwanini nimetaja wanawake tu, nikwakua nyie mnaweza kumsamehe mwanaume anayeendelea kuchat na X wake.

Lakini sisi hatuwezi (wengi wetu ikiwemo mimi) hii ni kwasababu wanaume tunajuana, tunajua mambo ambayo tunayafanya tukikutana na ma X wetu hivyo wake zetu au wapenzi wetu wakiendelea kuwasiliana na ma X wao basi tunajua wanafanya yaleyale. Sasa wewe endelea kuwasiliana naye eti sijui mambo ya kikazi, sijui hatukugombana, sijui tunabiashara tunafanya pamoja, sijui hiki na kile.

Narudia hamtakiwa kuwa maadui ila hamtakiwi kuwa marafiki, kuna nini umekisahau huko, kwamba kama maisha yako hayawezi kwenda bila kuwasiliana na X wako basi hata hayo mahusiano ni ngumu kwenda. Kuna mazingira mengine yanalazimisha kuwasiliana naye labda kazi kwamba ni lazima muonane kazini ila kama unaweza kumuepoka mkimbie atakuharibia tu.

Najua ushaanza kusema “Mbona yeye anawasiliana na X wake?” Iko hivi kama anawasiliana na X wake uamuzi ni wako kumuacha au kumsamehe, najua umemsamehe na pengine hata hujali sana. Lakini kumbuka yeye akikuona unawasiliana na X wako naye ataamua kukuacha au kukusamehe, sasa hapo ndiyo kunakua na kamtihani, huwezi kumlazimisha akusamehe kwakua wewe ulimsamehe? Hapana maisha hayako hivyo kusamehe ni moyo na wanaume wengi hatuna hiyo mioyo.
 
Akili zangu zinanipeleka huko kwa zaidi ya 80% na ndiyo maana nafikiria kumpiga chini.ila nikiwaza watoto ndo nachanganyikiwa kabisa
Acha kuwaza sana inawezekma ata hao watoto sio wakwako.
 
Hapa ni wazi kuwa humridhishi kitandani
 
Yanii huyo Jamaa anamlaaaa hadi leoo..Kubali au kataaa..!! Na kamaa sio tigo sijuii.. Wee mwanamke ushaolewa Ex wa nin..!?? Babaa fukuzaa liendee kwa ex wakee
📌📌📌 me ni Mwanamke na nassuport hii fukuzia mbali
 
🤣🤣mbona heroshima na nagasaki
 
Blaza ..Unagongewa..Na inavyoonekana mke huwezi kumtenganisha na jamaa
 
Oi tunaomba mrejesho , imekuwaje bro
 
Mwenye tatizo ni wewe. Nani kakwambia uchunguze chunguze simu ya mkeo? Usingekuwa na kihere here cha kuigusa gusa wala usingefika hapa. Mwache arudi mme mwenzako akafaidi wewe urudi kupiga puli!
Serikali nyingi duniani zinachunguza simu za wapinzani wao na watumishi wao kujua uaminifu wao, asije kuletewa UKIMWI nyumbani bure, msitetee prostitution ukahaba hapa.
 
Achana nae aende kwa huyo x wake maana hajitambui. Una mkaza vizuri lakini!?

Joseverest unalala sana siku hizi, tatizo nini mkuu!?
Hata ukimkaza vizuri mzinzi au prostitute hawezi kuridhika hata umpe nini, au huenda huyo jamaa alikuwa anamlawiti naye kazoea na mume hawezi kumwambia, lazma wanarudiana.
 
Hakuna kitu kinachounguza mapenzi ya wanaume hasa mume kama mwanamke kuwasiliana na ex-wake, wanawake na wanaume makini wanaliewa Hili vizuri sana, sio kwa tafsiri Yako hii, tafsiri yake ya ndani ni kwamba mmoja hajamove on na maisha yake na hiyo ni hatari kwa ndoa.

Kwa wanaume hii inaweka doa kubwa sana katika ndoa, mwanamke usilogwe ukafanya mawasiliano na ex mume akajua. Anaweza akakwambia amekuelewa baada ya kumpa maelezo lakini huwa Kuna kuwa na turn off ya hali ya juu sana katika ndoa baada ya hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…