Achana nae aende kwa huyo x wake maana hajitambui. Una mkaza vizuri lakini!?
Joseverest unalala sana siku hizi, tatizo nini mkuu!?
Ndugu, kuachana siyo uadui, wanawasiliana mambo ya kawaida tu. Hata mimi nawasiliana na Ex zangu nyingi zimeolewa ila hatujawah kuzungumzia mapenzi zaidi ya mambo ya kimaisha. Tuliachana kwa amani na kuna leo na kesho hatuwezi kuwa maadui, kujuliana hali ni kawaida tu. Jambo la msingi ni kujiheshmu, otherwise kuwasiliana na Ex syo tatizo. Kua basi, umwache mkeo wa ndoa ya miaka 10 kisa wanasalimiana na Ex ni utoto.
Kwa maelezo yako basi hao wanandoa hawaendani. Kwani ndoa ni lazima? kama imefeli, imefeli tu.Kuna vitu vingi sna baadh ya wanaume mkioa mnaviacha,Mpka mtu anawasilian na ex wake ndani hakuko salama,kunavitu umemss alafu kwako unachukulia poa,Kwa mwenzio haviko poa labda humkuni akakunika,labda humkojoz anavyotaka,unampa zawadi,unatoka nae mitoko y maana,Huna gubu?wengine kitu kidog ataongea miez 6 anaon bora awasilian na ex wake acheke,Kuacha mke sio tiba jiulize sehem gan umepwaya
Usijifiche kwenye jani la mti kwa kuficha sura ingali mwili wote unaonekana ndugu,hizi simu za wanawake wetu ni za kupekua hata kutwa mara tatuMwenye tatizo ni wewe. Nani kakwambia uchunguze chunguze simu ya mkeo? Usingekuwa na kihere here cha kuigusa gusa wala usingefika hapa. Mwache arudi mme mwenzako akafaidi wewe urudi kupiga puli!
Kama wanataftana huwez kusolve hvyoSasa miaka 10 ya pamoja umuache kisa ex? Chukua line vunja vunja msajilie nyingine problem solved.
Simu nayo mmefunga nayo ndoa au ni nyie wawili tu??? Acheni kuingiza simu katkat wakat ndoa ni ya wawiliTumefunga ndoa sasa yeye na mimi ni mwili mmoja,chake changu,changu chake nitaachaje kuchunguza?
Huyo sio mke wako kimahaba, ni kama mpangaji nyumbani kwako, ukweli ni kwamba mzazi mwenzio unayemuita mkeo ana mahaba ya kweli na boyfriend wa siku zote! Achana nae au kaa nae just mlee watoto. "Hakuna revenge kwa mtu anayetembea na mkeo zaidi ya kumuacha aende nae".Habari zenu Ndugu zangu,jamaa na marafiki zangu.
Hoja iko hivi, nina mke ambaye nimedumu naye kwa mwaka karibu wa 10 na Mungu kanijalia watoto kadhaa.
Ki ukweli tunaishi vizuri mno.ni mnyenyekevu,msafi na ni mzuri mno.
Ila miaka miwili tu baada ya kumuoa nilibaini namba moja ambayo alikuwa haja isave ila ilikuwa ndiyo namba ambayo ilikuwa imepigwa mara nyingi sana.
Nilimbana mpaka akaja akakiri kuwa huyo ndiye aliyekuwa Ex boy friend wake.
Kidume nikampiga marufuku lakini ameendelea kuwasiliana naye mpaka mwezi uliopita Licha ya kufikisha mpaka kwa wazee mara kadhaa kwa sababu hiyo.
Sasa najua kuna wataalamu wa mambo ya mahusiano humu ambao mnaweza kunisaidia nifanyaje kwa sababu ki ukweli naelekea kuachana naye kwa sasa
Hapendi kunyonywa papuchi[emoji52][emoji52][emoji52]Hapendi kunyonywa papuchi
True,sio muaminifu at all,au yawezekana ni wale waliokuwa wanataka kuolewa ili ajenge jina kuwa na yeye kaolewa,kwahiyo kaolewa na mtu asiempenda as a result sasa hivi anamkumbuka ex wake,ni matatizo,yako mengi sana haya majanga kwenye hii dunia..Hivi kweeli unashindwa mkataza au??!! Jitafakari upya mkuu, kuna shida mahali na kuna uwezekano mkubwa mkeo sio mwaminifu