Diplomatic Imunnity
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,179
- 320
Hahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujue huwa nashindwa kuelewa kitu kimoja. Kwa mfano we hupendi mpenzi wako avute sigara maana harufu ya mdomo wake mkiwa faragha inakukera, kisha akaamua kuacha kwa heshima yako, kunakuwa na tofauti gani na swala la kwamba yeye anakereka kuona unawasiliana na mwanaume mwengine kwa dhahiri ama kwa siri na amekuomba uache hilo swala for more than once isipokuw tu umekuwa mkaidi hutaki kuacha?Mkeo anaweza asiwe anafanya kitu kibaya sema wewe tu wivu wako ndio unaokusukuma kumuhisi vibaya...
bora kama umetambua hiloNitakuwa nimepewa limbwata?
Hiki ndio kijisababu chao wanatumiaga mkuu, yani imeniuma kama ni mimi vile. Utaskia wasiwasi wako tu amna kitu na ukikomaa ataanza kukwambia humuamini. I been there i know the hell how it feels ila ushauri to kama watoto wako na umri mzuri kick that woman to the curbs.Kama angekuwa hafanyi chochote ya nini kung'ang'ania mawasiliano ambayo yameleta sintofahamu mara kadhaa kwenye ndoa
Amtunzie heshima kwa kugongwa njeAcha kumchunguza Mkeo. Tena sahau simu yake. Kabla ya kumuacha jiulize je kwa Miaka hiyo 10 hujawah chepuka?
Kama hujawah muache.
Pili, hawezi kuwasiliana na Ex wake kama kweli umemtendea haki, unampenda na kumjali.
Huyo ni mali yako na usidanganywe humu ndani ukamuacha. Mke si wa kitandani tu. Mke ni hao watoto, na uzeeni.
Usitegemee atatokea Mke mwingine mzuri kama huyo. Mwite mkeo mweleze akutunzie heshima. Atakuelewa
Tabia ya kipuuzi sana, vipi aliiacha ama uliamua kumuacha tu?Pole sana mkuu
Nilkuwa nagombana sana na ex wangu kwa tabia kama hiyo ya mke wako.
Cha msingi mpe muda ajitafakari ikiwezekana muache aende akarudiane nae labda bado wanapendana.
Hahahhahaha we jamaa kumbe ni comedian hivi hahahahahahaa[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Duuh.. mkuu umefikiria mbali sana ila huenda kuna kaukweli hapoLabda wanawasiliana kumjulisha hali ya watoto hapo nyumbani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kapime DNA aisee
ha ha ha ha ha ha ana risiti au ndio bado katotoYuko kwenye mitihani ya kidato cha nne
unaweza kumuona live ukajifia bure...unakuta mitoto yote inafana naeKama una uwezo iba namba ya uyo Ex wake....mtafute mchimbe bonge la biti muulize kama ashawahi kutolewa malinda...mjambishe aswaaaa then mfuate mkeo naye mjambishe mwambie huoni hasara kuua mtu...mwambie utampoteza kwenye uso wa dunia uyo ex wake kma bomu lilopiga hiroshima kuwa hutaacha ata vumbi la kuzika
Mwanangu pole sana yani hawa viumbe sijui wakoje yalinikuta na mimi kama yako but nilimpa likizo isiyo na malipo hadi alipo jitambua akaja kuomba msamahaNamkaza vizuri tubmkubwa
Sio maisha lakiniNdo ivo mkuu! Ukitaka kuishi kwa amani kwenye ndoa, ione simu ya mpenzi/ mwenzi wako kama JENEZA. Ishike pale tu inapobidi. Other wise, touch it at your own peril!
Ndugu, kuachana siyo uadui, wanawasiliana mambo ya kawaida tu. Hata mimi nawasiliana na Ex zangu nyingi zimeolewa ila hatujawah kuzungumzia mapenzi zaidi ya mambo ya kimaisha. Tuliachana kwa amani na kuna leo na kesho hatuwezi kuwa maadui, kujuliana hali ni kawaida tu. Jambo la msingi ni kujiheshmu, otherwise kuwasiliana na Ex syo tatizo. Kua basi, umwache mkeo wa ndoa ya miaka 10 kisa wanasalimiana na Ex ni utoto.
Wengi wanakushauri uachane nae
Na katika thread nyingi za mapenz wengi huwa wanashauri uachane na ulie nae
Ila kiukweli jifikirie wewe kama wewe na jione wewe na maisha yako
Kaanza kuwasiliana nae miaka yote uko nae
Atakama anatoka nae huna uwakika sana
Dunia ya sasa imeharibika sana
Ukisema upige chini jiulize utapata alie mtulivu zaidi yake????, dunia ya saiv imepiga kona enzi hizi sio kama za zaman, ukiachana nae leo utatamani kurudiana nae baada ya miez 6. Maana utaona kila ki2 kiko upside down kwako
Kama unataka kuachana nae ni bora ukapata mtu unaeamini sanasana kuwa mnaendana
Ushaambiwa kitu hicho mwenzio hakipendi una utoto kiasi gani kutokuelewa kwamba swala unaliliona dogo linamkosesha raha na uhuru mume wako. How the https://jamii.app/JFUserGuide can't you understand you spouse feelings yet just ignore it!!!Ndugu, kuachana siyo uadui, wanawasiliana mambo ya kawaida tu. Hata mimi nawasiliana na Ex zangu nyingi zimeolewa ila hatujawah kuzungumzia mapenzi zaidi ya mambo ya kimaisha. Tuliachana kwa amani na kuna leo na kesho hatuwezi kuwa maadui, kujuliana hali ni kawaida tu. Jambo la msingi ni kujiheshmu, otherwise kuwasiliana na Ex syo tatizo. Kua basi, umwache mkeo wa ndoa ya miaka 10 kisa wanasalimiana na Ex ni utoto.
basi haukuwakaza vizuriNdugu, kuachana siyo uadui, wanawasiliana mambo ya kawaida tu. Hata mimi nawasiliana na Ex zangu nyingi zimeolewa ila hatujawah kuzungumzia mapenzi zaidi ya mambo ya kimaisha. Tuliachana kwa amani na kuna leo na kesho hatuwezi kuwa maadui, kujuliana hali ni kawaida tu. Jambo la msingi ni kujiheshmu, otherwise kuwasiliana na Ex syo tatizo. Kua basi, umwache mkeo wa ndoa ya miaka 10 kisa wanasalimiana na Ex ni utoto.