Mke wangu anapenda kuwasiliana na Ex wake

Mke wangu anapenda kuwasiliana na Ex wake

Pole sana. Changamoto tu za maisha, usijali. Midhali, ex wake habandui papuchi, vumilia tu mlee watoto wenu. Miaka kumi ni mingi sana, hawezi kuacha tena..,..na inaelekea kuna kitu huyo ex anamfanyia mkeo ambacho wewe hufanyi....fanyia utafiti. Soma vitabu, uongeze maarifa. Wanaume wengi (sitanii!) hawawajui wanawake vizuri na hawana uwezo wa kufikisha kileleni. Jifunze ufundi, na ubadilike. Usitombx kwa mazoea tu!
 
Alishaenda hadi kwa wazazi...
Ndugu wazazi siku hizi wanachoangalia maslahi unaweza kuongea na wakwe zako badae wanakuzunguka ndoa za sasa sio salama hata kidogo,yanayokukuta wewe mim yashanikuta fanya maamuzi magumu au kubali uletewe kimwi nyumbani,bora ulivyogundua kuliko ungepata maradhi mngeanza kusukumiana wewe wewe,
 
Akili au tope
Ndo ivo mkuu! Ukitaka kuishi kwa amani kwenye ndoa, ione simu ya mpenzi/ mwenzi wako kama JENEZA. Ishike pale tu inapobidi. Other wise, touch it at your own peril!
Ngoja ukuwe ndo utayajuwa kwa sasa endelea kula chakula cha foleni.Hili ndo tatizo la kuomba msaada mbele za watoto wadogo
 
".....nina mke ambaye nimedumu naye kwa mwaka karibu wa 10 na Mungu kanijalia watoto kadhaa".

Ni vigumu sana katika tamaduni zetu za kibantu kuwa rafiki na ex bila kutiana (kukumbushia). Mmejaliwa watoto kadhaa, pima DNA ili roho yako itulie.
 
Kibongo bongo Imekua issue. Hivi ni kweli wabongo hatuwezi jiongoza? Eti management nzuri ni ile inayoongozwa na watu Kutoka nchi fulani!!! Kweli?
 
Habari zenu Ndugu zangu,jamaa na marafiki zangu.

Hoja iko hivi, nina mke ambaye nimedumu naye kwa mwaka karibu wa 10 na Mungu kanijalia watoto kadhaa.
Ki ukweli tunaishi vizuri mno.ni mnyenyekevu,msafi na ni mzuri mno.
Ila miaka miwili tu baada ya kumuoa nilibaini namba moja ambayo alikuwa haja isave ila ilikuwa ndiyo namba ambayo ilikuwa imepigwa mara nyingi sana.
Nilimbana mpaka akaja akakiri kuwa huyo ndiye aliyekuwa Ex boy friend wake.
Kidume nikampiga marufuku lakini ameendelea kuwasiliana naye mpaka mwezi uliopita Licha ya kufikisha mpaka kwa wazee mara kadhaa kwa sababu hiyo.
Sasa najua kuna wataalamu wa mambo ya mahusiano humu ambao mnaweza kunisaidia nifanyaje kwa sababu ki ukweli naelekea kuachana naye kwa sasa
Dawa mtest na dole gumba 07%-#%%%ukiona kimya ujue ndio anacho fuata mwage udelele.mpaka ali ya hewa ibadirke
 
Mteme tu, wakati mwingine wanaume tunakuwa wapumbavu. Mi kuna demu mmoja hakuamini mpaka leo kwamba nilimtema sababu nilikuta anawasiliana na ex wake.
Shida ya nini wakati viwili vinachagulika.
 
Habari zenu Ndugu zangu,jamaa na marafiki zangu.

Hoja iko hivi, nina mke ambaye nimedumu naye kwa mwaka karibu wa 10 na Mungu kanijalia watoto kadhaa.
Ki ukweli tunaishi vizuri mno.ni mnyenyekevu,msafi na ni mzuri mno.
Ila miaka miwili tu baada ya kumuoa nilibaini namba moja ambayo alikuwa haja isave ila ilikuwa ndiyo namba ambayo ilikuwa imepigwa mara nyingi sana.
Nilimbana mpaka akaja akakiri kuwa huyo ndiye aliyekuwa Ex boy friend wake.
Kidume nikampiga marufuku lakini ameendelea kuwasiliana naye mpaka mwezi uliopita Licha ya kufikisha mpaka kwa wazee mara kadhaa kwa sababu hiyo.
Sasa najua kuna wataalamu wa mambo ya mahusiano humu ambao mnaweza kunisaidia nifanyaje kwa sababu ki ukweli naelekea kuachana naye kwa sasa

kaka mengi yamesemwa ,mm naongezea kusema ivii,unaogopa nini juu ya watoto ,watoto mungu ndio mlezi wao,moyo ulio penda haukosi visababu vya kumtetea mtu hata afanye kosa adharani,uchunguzi ulio ufanya unatosha kumuacha mama watoto wako alie adaiwa na mtu alie muacha na kusto thamini ndoa ulio amua wewe kumuoa,bora angeli tembea inje ya ndoa mara moja basi ningethubutu kusema mkanye huenda kateleza ila kitendo cha kuwasiliana na x wake tuu hata kama kafariki hio ni dharau kubwaa,neno muache ni gumu kimaamuzi kwa aalie penda,ila kwa neno la rahisi ulioa mke wa mtu muachie mwenyewe mkuu alie wako wa kweli hawezi adaika,mwachie na hato juta kwa sababu huyo ndo anae mtaka kwako baht mbaya tuu
 
Duh wewe ni rofa namba moja afadhar hata wale marofa wa mkapa wana kaunafuu kidogo

Mimi demu wangu tu akipigiwa cm then nikajua kuwa hiyo cm ni ya mwana ume huwa namzaba makof na ndo inakuwa mwisho wa kujuana
[emoji3] [emoji3]
 
Kama una uwezo iba namba ya uyo Ex wake....mtafute mchimbe bonge la biti muulize kama ashawahi kutolewa malinda...mjambishe aswaaaa then mfuate mkeo naye mjambishe mwambie huoni hasara kuua mtu...mwambie utampoteza kwenye uso wa dunia uyo ex wake kma bomu lilopiga hiroshima kuwa hutaacha ata vumbi la kuzika
Unaweza kweli ukapiga mkwara Wa aina hiyo kwa jamaa halafu baada ya wiki akakutana na watu wasiojulikana wakamtoa roho,unaenda jela hivi hivi na hata hujahusika.
 
Back
Top Bottom