Mke wangu anapenda kuwasiliana na Ex wake

Screenshot_20230704-103512_Instagram.jpg
 
Habari zenu ndugu zangu, jamaa na marafiki zangu,

Hoja iko hivi, nina mke ambaye nimedumu naye kwa mwaka karibu wa 10 na Mungu kanijalia watoto kadhaa.

Ki ukweli tunaishi vizuri mno ni mnyenyekevu, msafi na ni mzuri mno.
Ila miaka miwili tu baada ya kumuoa nilibaini namba moja ambayo alikuwa haja isave ila ilikuwa ndiyo namba ambayo ilikuwa imepigwa mara nyingi sana.

Nilimbana mpaka akaja akakiri kuwa huyo ndiye aliyekuwa Ex boy friend wake.
Kidume nikampiga marufuku lakini ameendelea kuwasiliana naye mpaka mwezi uliopita licha ya kufikisha mpaka kwa wazee mara kadhaa kwa sababu hiyo.

Sasa najua kuna wataalamu wa mambo ya mahusiano humu ambao mnaweza kunisaidia nifanyaje kwa sababu ki ukweli naelekea kuachana naye kwa sasa.
Mrudishe nyumbani kwao, africa hatupeleki kesi mahakamani, tunarudisha mtu kwao hata kama anapesa..
 
Kama una uwezo iba namba ya uyo Ex wake....mtafute mchimbe bonge la biti muulize kama ashawahi kutolewa malinda...mjambishe aswaaaa then mfuate mkeo naye mjambishe mwambie huoni hasara kuua mtu...mwambie utampoteza kwenye uso wa dunia uyo ex wake kma bomu lilopiga hiroshima kuwa hutaacha ata vumbi la kuzika
Mwanamke akiamua jambo hio kumtishia sio ishu hasa awe anakujua vzr ndo utaisoma zile za kirumi
 
Mtoa mada. Point ninayoiona hapa ni mke wako angeacha kuwasiliana na x wake maana wewe hupendi.ila hizi negativity za kuconnect et kwamba kuwasiliana na x wako ni mambo ya mapenzi nakataa.mimi shahidi nimeolewa na ninampenda sana mume wangu kuliko kitu chochote hapa duniani ila kuwasiliana x wangu sioni shida. Nawasiliana naye vizuri tu na tunaheshimiana sana.kuachana haimaanishi kwamba ndio kuwa maadui noo eti hadi ndo mnuniane sijui nini woiiìii.nimeolewa na ameoa pia but kusalimiana na kuongea mambo ya kimaisha tunafanya hivyo na hakuna mambo ya mapenzi.so tusikariri eti kwamba kuwasiliana na x ni mapenzi au sijui unampenda zaidi ya uliyenae sasa maana sio kweli. Muhimu ni Heshima iwepo.yaani kama ni tabia ya mtu kucheat atacheat tu hata kwa hao wengine ambao sio x.so unaweza mzuia kwa x kumbe yuko kwingine.
Mmmmmmmmh
 
Habari zenu ndugu zangu, jamaa na marafiki zangu,

Hoja iko hivi, nina mke ambaye nimedumu naye kwa mwaka karibu wa 10 na Mungu kanijalia watoto kadhaa.

Ki ukweli tunaishi vizuri mno ni mnyenyekevu, msafi na ni mzuri mno.
Ila miaka miwili tu baada ya kumuoa nilibaini namba moja ambayo alikuwa haja isave ila ilikuwa ndiyo namba ambayo ilikuwa imepigwa mara nyingi sana.

Nilimbana mpaka akaja akakiri kuwa huyo ndiye aliyekuwa Ex boy friend wake.
Kidume nikampiga marufuku lakini ameendelea kuwasiliana naye mpaka mwezi uliopita licha ya kufikisha mpaka kwa wazee mara kadhaa kwa sababu hiyo.

Sasa najua kuna wataalamu wa mambo ya mahusiano humu ambao mnaweza kunisaidia nifanyaje kwa sababu ki ukweli naelekea kuachana naye kwa sasa.
Chukua hao watoto kadhaa kapime DNA...anzia hapo
 
ex wangu kampa mwanae jina langu. ni kawaida tu wakuu.
mtoa uzi leta mrejesho tujue mlifikia wapi
 
Habari zenu ndugu zangu, jamaa na marafiki zangu,

Hoja iko hivi, nina mke ambaye nimedumu naye kwa mwaka karibu wa 10 na Mungu kanijalia watoto kadhaa.

Ki ukweli tunaishi vizuri mno ni mnyenyekevu, msafi na ni mzuri mno.
Ila miaka miwili tu baada ya kumuoa nilibaini namba moja ambayo alikuwa haja isave ila ilikuwa ndiyo namba ambayo ilikuwa imepigwa mara nyingi sana.

Nilimbana mpaka akaja akakiri kuwa huyo ndiye aliyekuwa Ex boy friend wake.
Kidume nikampiga marufuku lakini ameendelea kuwasiliana naye mpaka mwezi uliopita licha ya kufikisha mpaka kwa wazee mara kadhaa kwa sababu hiyo.

Sasa najua kuna wataalamu wa mambo ya mahusiano humu ambao mnaweza kunisaidia nifanyaje kwa sababu ki ukweli naelekea kuachana naye kwa sasa.
...Kwanza, Chunguza Hata hao Watoto Wenu ! Ni wako ??...kiachofuata ni Kibuti ! Wakakae na wake...!!
 
Back
Top Bottom