Mke wangu anapitia wakati mgumu sana hadi nimemuonea huruma

Wanaume huwa hatuchepuki
 
Inakuwaje sawa kwa mwanaume kuchepuka na mchepuko wenye bwana wake ila akichepuka mke ni kosa la jina??i
Vitu vingine haviruhusiwi kuhojiwa viache kama vilivyo havina majibu sahihi

Ila mwanamke anaechepuka ni hatari kwa familia haruhusiwi kusamehewa
 
Hapo kuziludia nguo kufua wewe mwenyewe,imenibidi ncheke kwanza...[emoji1787][emoji1787]
 
Ataachana na X ili abaki na ww Y wake ila Z yupo na anakula bila kunawa mikono(hatumii miboli)
 
Umempa Red pill, kazi kwake ainywe au ateme.
 
unagongewa mke unataka tukupe ushauri wa kudumisha NDOA GANI HAPO??? HAKUNA NDOA kuna mwanaume bwege anaishi na demu mjanjaa... Me nilijua tu uelekeo wako ni kujidai wew ni gentlemen kumbe hamna kitu humo ugongewee tu
Kwanza inaonekana ww bado una mihemuko ya ujana sana, kwa upande wa ushauri waachie wenye experience ya ndoa nazani itakuwa inatosha.

Sasa hapa umemshauri nn mtu aisee
 
Hahahah hawa ndio wale majentomen wadada munaowapendaga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ naona umetoa pongez kwa moyo mkunjufu
Mr. Extrovert it's not that but he handled his matters in a CALM way otherwise angemuABUSE physically mkewe pengine hata kumuua lakini ANGER MANAGEMENT yake IPO juu,
Once again congratulations Tears of the Sun
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…