makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Adimu saana ndugu yangu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]brooh hakuna msalie mtume,Tena dini imesema kabisa uzinzi ni straight talaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Adimu saana ndugu yangu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]brooh hakuna msalie mtume,Tena dini imesema kabisa uzinzi ni straight talaka
Huyo atakuua bro...WATCH OUT!Tatizo kubwa lilianza pale nilipogundua anachepuka na ex wake. Baada ya kuligundua hilo sikutaka kuchukua hatua za shari sana papo kwa papo, bali nilichukua hatua ambazo mpaka leo anashindwa kuelewa afanyeje, sasa imefikia hatua muda wote ni analia tu, saikolojia hayupo sawa na kama anataka kuchanganyikiwa hivi.
Baada ya kugundua kwamba anachepuka nilichukua maamuzi yafuatayo
1. Siku hiyo hiyo niliyogundua sikutaka kumuuliza kama ni kweli au siyo kweli kwa sababu nilishajihakikishia kwa asilimia 100.
2. Sikula Chakula chake, nilifika naingia jikoni na kuandaa Chakula mwenyewe (hii imeendelea hadi leo)
3. Najitahidi sana niwahi kurudi nyumbani tofauti na siku za nyuma.
4. Tukilala kitandani mimi nageukia mzungu wa nne.
5. Tangia siku hiyo sijawahi kumuomba unyumba(japo anaweka mazingira ya jambo hili kila siku)
6. Akiniuliza namjibu kidogo halafu naendelea na utaratibu wangu.
7. Kila kitu najifanyia hadi nguo chafu zote za kwangu nakusanya na kufua mwenyewe nikipata nafasi(Ninapokuta amezifua narudia kufua)
8. Simtukani wala kumuongelesha vibaya bali nafanya mambo yangu ndani ya nyumba kivyangu.
9. Baada ya kuona hivyo, akasema anataka akaonane na Mama yake(ilikuwa Ijumaa usiku, nikampatia nauli muda huo huo na kumwambia asubuhi na mapema aende, ghafla akasema ameahirisha hadi sasa yupo)
10. Nimeacha kuchangia naye kitu chochote ndani ya nyumba isipokuwa sehemu ya kulala tu(kitandani na penyewe mzungu wa nne au nalala sebuleni wakati mwingine).
Sasa leo ni siku ya 6 tangia nimeanza kuishi hivyo na mke, mke wangu amenyongonyea ghafla, amekonda, amekuwa mtu wa mawazo na wasiwasi muda wote.
Katika kipindi hiki chote alijua sababu ya mimi kuishi hivyo ni yeye kuchepuka, hii ni baada ya jana jioni kuniita Chumbani na kusema anajutia sana kufanya vile na hatarudia, jambo baya zaidi akasema ameshafikiria mara mbili kunywa Sumu, anaona hana thamani tena kwangu, Dah [emoji24][emoji24] nilimwonea huruma sana na nikaamua kumsamehe tuendelee na maisha lakini naona hali haijabadilika kwake yaani ni mtu wa mawazo na wasiwasi muda wote, kiufupi anapitia wakati mgumu sana.
Wito kwa wanaume na wanawake hasa wanaoishi pamoja kama mke na mume kwa namna yoyote ile, kupigana siyo adhabu tosha ya kusuruhisha migogoro, mimi huyu mwanamke nimempa adhabu hiyo lakini naona imemnyoosha kweli kweli japo naona kabisa imemuharibu kisaikolojia kabisa.
Mateso ya hivi kumpa mwenza wako ndani ya ndoa ni hatari sana anaweza kujiua au akaua.Tatizo kubwa lilianza pale nilipogundua anachepuka na ex wake. Baada ya kuligundua hilo sikutaka kuchukua hatua za shari sana papo kwa papo, bali nilichukua hatua ambazo mpaka leo anashindwa kuelewa afanyeje, sasa imefikia hatua muda wote ni analia tu, saikolojia hayupo sawa na kama anataka kuchanganyikiwa hivi.
Baada ya kugundua kwamba anachepuka nilichukua maamuzi yafuatayo
1. Siku hiyo hiyo niliyogundua sikutaka kumuuliza kama ni kweli au siyo kweli kwa sababu nilishajihakikishia kwa asilimia 100.
2. Sikula Chakula chake, nilifika naingia jikoni na kuandaa Chakula mwenyewe (hii imeendelea hadi leo)
3. Najitahidi sana niwahi kurudi nyumbani tofauti na siku za nyuma.
4. Tukilala kitandani mimi nageukia mzungu wa nne.
5. Tangia siku hiyo sijawahi kumuomba unyumba(japo anaweka mazingira ya jambo hili kila siku)
6. Akiniuliza namjibu kidogo halafu naendelea na utaratibu wangu.
7. Kila kitu najifanyia hadi nguo chafu zote za kwangu nakusanya na kufua mwenyewe nikipata nafasi(Ninapokuta amezifua narudia kufua)
8. Simtukani wala kumuongelesha vibaya bali nafanya mambo yangu ndani ya nyumba kivyangu.
9. Baada ya kuona hivyo, akasema anataka akaonane na Mama yake(ilikuwa Ijumaa usiku, nikampatia nauli muda huo huo na kumwambia asubuhi na mapema aende, ghafla akasema ameahirisha hadi sasa yupo)
10. Nimeacha kuchangia naye kitu chochote ndani ya nyumba isipokuwa sehemu ya kulala tu(kitandani na penyewe mzungu wa nne au nalala sebuleni wakati mwingine).
Sasa leo ni siku ya 6 tangia nimeanza kuishi hivyo na mke, mke wangu amenyongonyea ghafla, amekonda, amekuwa mtu wa mawazo na wasiwasi muda wote.
Katika kipindi hiki chote alijua sababu ya mimi kuishi hivyo ni yeye kuchepuka, hii ni baada ya jana jioni kuniita Chumbani na kusema anajutia sana kufanya vile na hatarudia, jambo baya zaidi akasema ameshafikiria mara mbili kunywa Sumu, anaona hana thamani tena kwangu, Dah [emoji24][emoji24] nilimwonea huruma sana na nikaamua kumsamehe tuendelee na maisha lakini naona hali haijabadilika kwake yaani ni mtu wa mawazo na wasiwasi muda wote, kiufupi anapitia wakati mgumu sana.
Wito kwa wanaume na wanawake hasa wanaoishi pamoja kama mke na mume kwa namna yoyote ile, kupigana siyo adhabu tosha ya kusuruhisha migogoro, mimi huyu mwanamke nimempa adhabu hiyo lakini naona imemnyoosha kweli kweli japo naona kabisa imemuharibu kisaikolojia kabisa.
A man and a husband hagombani na mwanaume mwenzake.Kununa hajujawahi kua suluhisho la kudumu kwenye migogoro Kama hiyo.
Ulichokifanya Ni kana kwamba uyo mwanamke ni unaiba tu (Mchepuko au hawala yako).
Hujaonesha Yale makucha na mAmlaka ya kiume kuonesha umekasirishwa na alichokifanya.
Na kwasababu umemsamehe kirahisi Sana, nna imani atachepuka Tena maana keshakusoma una moyo mwepesi Sana wa kusamehe haraka.
Ulitakiwa uoneshe advertise Moja matata Sana kama unamwacha Moja kwa moja.
(Hata Kama huna.mpango wa kumuacha)
Pia uyo ex wake nae umchimbe mkwara mzito Sana kwamba umejua na akiendelea dawa yake inachemka. Ajutie kabisa Ujinga aliufanya. Yaan ikiwezekana uyo kijana ndio amkimbie mkeo.
Unapojificha eti unanuna na hufunguki kwa pande zote mbili kilichokukasirisha. Eti unajifulia nguo n.k
Huo unakua Ni ufala.
Wote wanakuona Ni mwanaume mwenye wivu sana na kisirani tu. Na ulivosamehe kirahis wameshakuchora Ni mwanaume kisirani na laini asiye na msimamo kabisa.
BE A MAN and be a HUSBAND[emoji120]
Simamia ndoa yako, ilinde familia yako
Hahahah hawa ndio wale majentomen wadada munaowapendaga 😂😂😂 naona umetoa pongez kwa moyo mkunjufuYou're one of a kind,
Words can't express the way am proud of you,
You are truly a man!!
Jamaa kaamua ajipe adhabu yeye mwenyewe😂😂😂Kweli we ni tears of the sun...sasa hiyo ni adhabu kweli?
unagongewa mke unataka tukupe ushauri wa kudumisha NDOA GANI HAPO??? HAKUNA NDOA kuna mwanaume bwege anaishi na demu mjanjaa... Me nilijua tu uelekeo wako ni kujidai wew ni gentlemen kumbe hamna kitu humo ugongewee tuNimepata muda wa kupitia komenti, baadhi ya watu wanakomenti kwa hasira muno na matusi juu, kitu ambacho wengi wetu tunasahau ni kwamba
Wake tunaowaoa wanakuwa siyo Bikra, kwa maana hiyo wanakuwa wameshalalwa na watu wengine kama sisi wanaume tunavyokuwa tumeshalala na wanawake wengine.
Ni kweli kosa la kuchepuka halifai kupewa msamaha hata maneno matakatifu yametamka wazi, lakini ukimwacha ukamuoa mke mwingine, huyo mwingine utamkuta Bikra?, Vile vile upo uwezekano wa kumuoa mwingine mwenye tabia chafu zaidi na mambo yakaharibika zaidi.
Wanaume wenzangu nawaelewa mnaposema nimekosea kumsamehe, hii ni kwa sababu mara nyingi tunavutaga picha na kufikiria ni jinsi gani alikuwa anashiriki tendo hilo na huyo mtu.
Baadhi naona walitaka nifanye tukio baya zaidi kama kupiga, kuua au kumfukuza papo kwa papo kitu ambacho kingeleta madhara zaidi kwa familia zote mbili(hapa waliopo kwenye ndoa wataelewa)
Kuna watu wanasema amejifanya ameigiza, sizani kama ni kweli yaani aigize pressure na moyo kushtuka?, Hapa ninapoandika hali yake bado ni mbaya muno.
Kwa kumalizia kuna watu wamelaumu kumsamehe, kama nisingeweza kufanya hivyo haraka uhenda angekunywa Sumu kweli na kufariki, kwahiyo kuepusha yote hii imebidi nifanye hivyo maana hamna haja ya kuua wakati uwezekano wa kumrudisha kwao na kila mtu akaendelea na maisha yake upo pia.
Vile vile pamoja na adhabu hii na msamaha niliyompa, bado kuna hatua kadhaa zitafuata baada ya yeye kuwa ameruhusiwa kutoka hospitalini, so niko well organized kupambana na hii changamoto.
Ushauri ninaouchukua kutoka kwenu ni ule ambao una lengo la kuleta suluhisho la kudumu, na siyo ule wa kuchochoea mgogoro zaidi, nimefarijika kuna baadhi wanatoa ushauri wa maana zaidi.
Hahaaa kuna Wanawake wanaigiza wanakata roho sembuse persure, wewe knaonekana unaishi bushi sanaNimepata muda wa kupitia komenti, baadhi ya watu wanakomenti kwa hasira muno na matusi juu, kitu ambacho wengi wetu tunasahau ni kwamba
Wake tunaowaoa wanakuwa siyo Bikra, kwa maana hiyo wanakuwa wameshalalwa na watu wengine kama sisi wanaume tunavyokuwa tumeshalala na wanawake wengine.
Ni kweli kosa la kuchepuka halifai kupewa msamaha hata maneno matakatifu yametamka wazi, lakini ukimwacha ukamuoa mke mwingine, huyo mwingine utamkuta Bikra?, Vile vile upo uwezekano wa kumuoa mwingine mwenye tabia chafu zaidi na mambo yakaharibika zaidi.
Wanaume wenzangu nawaelewa mnaposema nimekosea kumsamehe, hii ni kwa sababu mara nyingi tunavutaga picha na kufikiria ni jinsi gani alikuwa anashiriki tendo hilo na huyo mtu.
Baadhi naona walitaka nifanye tukio baya zaidi kama kupiga, kuua au kumfukuza papo kwa papo kitu ambacho kingeleta madhara zaidi kwa familia zote mbili(hapa waliopo kwenye ndoa wataelewa)
Kuna watu wanasema amejifanya ameigiza, sizani kama ni kweli yaani aigize pressure na moyo kushtuka?, Hapa ninapoandika hali yake bado ni mbaya muno.
Kwa kumalizia kuna watu wamelaumu kumsamehe, kama nisingeweza kufanya hivyo haraka uhenda angekunywa Sumu kweli na kufariki, kwahiyo kuepusha yote hii imebidi nifanye hivyo maana hamna haja ya kuua wakati uwezekano wa kumrudisha kwao na kila mtu akaendelea na maisha yake upo pia.
Vile vile pamoja na adhabu hii na msamaha niliyompa, bado kuna hatua kadhaa zitafuata baada ya yeye kuwa ameruhusiwa kutoka hospitalini, so niko well organized kupambana na hii changamoto.
Ushauri ninaouchukua kutoka kwenu ni ule ambao una lengo la kuleta suluhisho la kudumu, na siyo ule wa kuchochoea mgogoro zaidi, nimefarijika kuna baadhi wanatoa ushauri wa maana zaidi.
Nlisha mwambia mwanamke unaye ishi naye akisha fikia hatua ya kupigwa pumbu ilihali unaishi naye huyo hafai tena ... ni Street red cad hakuna mjadalaTulishaambiwa..
Mwanaume hutakiwi kupenda kupitiliza,
Usimuonee huruma mwanamke,
Uwe na uwezo wa kumuacha mwanamke akizingua hatakam unampenda,
Uwe na maamuzi magumu kwa ujumla tu,
Nb:
Hyo mechi mwanamke ndo kashinda japo kwasasa atajitia huruma mana kashajua unao uwezo wa kumhurumia ila akikutan tena na huyo ex wake kam n mjanja atamla vzur tu japo sio kwa hiz siku za karibun ila atakuja tu kumla
Siku 6 tu ndiyo ukaona nyingi, kumbuka hata yeye anakutega, na nahisi ndoa Yako bado changaTatizo kubwa lilianza pale nilipogundua anachepuka na ex wake. Baada ya kuligundua hilo sikutaka kuchukua hatua za shari sana papo kwa papo, bali nilichukua hatua ambazo mpaka leo anashindwa kuelewa afanyeje, sasa imefikia hatua muda wote ni analia tu, saikolojia hayupo sawa na kama anataka kuchanganyikiwa hivi.
Ivi nimesha thibitisha mwanamke wangu mshkaji Ana mnyandua tena bila kuambiwa alafu within 6 days tumesha ya maliza just easy like that ... sikia hakhna mtu anataka kukugombanisha na familia yako maana akifanya kweli hapo hakuna ushauri tena .... nikumpa red cad ...aka kae kwao hata mwezi akili ikimkaa sawa aje ajieleze upyaNimepata muda wa kupitia komenti, baadhi ya watu wanakomenti kwa hasira muno na matusi juu, kitu ambacho wengi wetu tunasahau ni kwamba
Wake tunaowaoa wanakuwa siyo Bikra, kwa maana hiyo wanakuwa wameshalalwa na watu wengine kama sisi wanaume tunavyokuwa tumeshalala na wanawake wengine.
Ni kweli kosa la kuchepuka halifai kupewa msamaha hata maneno matakatifu yametamka wazi, lakini ukimwacha ukamuoa mke mwingine, huyo mwingine utamkuta Bikra?, Vile vile upo uwezekano wa kumuoa mwingine mwenye tabia chafu zaidi na mambo yakaharibika zaidi.
Wanaume wenzangu nawaelewa mnaposema nimekosea kumsamehe, hii ni kwa sababu mara nyingi tunavutaga picha na kufikiria ni jinsi gani alikuwa anashiriki tendo hilo na huyo mtu.
Baadhi naona walitaka nifanye tukio baya zaidi kama kupiga, kuua au kumfukuza papo kwa papo kitu ambacho kingeleta madhara zaidi kwa familia zote mbili(hapa waliopo kwenye ndoa wataelewa)
Kuna watu wanasema amejifanya ameigiza, sizani kama ni kweli yaani aigize pressure na moyo kushtuka?, Hapa ninapoandika hali yake bado ni mbaya muno.
Kwa kumalizia kuna watu wamelaumu kumsamehe, kama nisingeweza kufanya hivyo haraka uhenda angekunywa Sumu kweli na kufariki, kwahiyo kuepusha yote hii imebidi nifanye hivyo maana hamna haja ya kuua wakati uwezekano wa kumrudisha kwao na kila mtu akaendelea na maisha yake upo pia.
Vile vile pamoja na adhabu hii na msamaha niliyompa, bado kuna hatua kadhaa zitafuata baada ya yeye kuwa ameruhusiwa kutoka hospitalini, so niko well organized kupambana na hii changamoto.
Ushauri ninaouchukua kutoka kwenu ni ule ambao una lengo la kuleta suluhisho la kudumu, na siyo ule wa kuchochoea mgogoro zaidi, nimefarijika kuna baadhi wanatoa ushauri wa maana zaidi.
We nifala utachapiwa tenaUnajua kuna watu hapa wananiona kama nilichofanya badoo, ila adhabu hii niliyompa imepelekea jioni hii imebidi apelekwe hospitali, pressure iko juu sana na akitoka salama Mama yake anamchukua kwanza, kwhy unaweza kuona hili Jambo nilivyomakini nalo muno.