Mke wangu anapitia wakati mgumu sana hadi nimemuonea huruma

Ukitaka kumtesa ondoka hapo kapange sehemu tofauti na endelea kutimiza majukumu yako kama baba kwa watoto wako.vinginevyo utamtomba halafu ndo itakuwa imeisha hivyo

Unamtesa au unamwachia mwenzio [emoji1787][emoji1787]
 
Tatizo kubwa lilianza pale nilipogundua anachepuka na ex wake. Baada ya kuligundua hilo sikutaka kuchukua hatua za shari sana papo kwa papo, bali nilichukua hatua ambazo mpaka leo anashindwa kuelewa afanyeje, sasa imefikia hatua muda wote ni analia tu, saikolojia hayupo sawa na kama anataka kuchanganyikiwa hivi.

Baada ya kugundua kwamba anachepuka nilichukua maamuzi yafuatayo

1. Siku hiyo hiyo niliyogundua sikutaka kumuuliza kama ni kweli au siyo kweli kwa sababu nilishajihakikishia kwa asilimia 100.

2. Sikula Chakula chake, nilifika naingia jikoni na kuandaa Chakula mwenyewe (hii imeendelea hadi leo)

3. Najitahidi sana niwahi kurudi nyumbani tofauti na siku za nyuma.

4. Tukilala kitandani mimi nageukia mzungu wa nne.

5. Tangia siku hiyo sijawahi kumuomba unyumba(japo anaweka mazingira ya jambo hili kila siku)

6. Akiniuliza namjibu kidogo halafu naendelea na utaratibu wangu.

7. Kila kitu najifanyia hadi nguo chafu zote za kwangu nakusanya na kufua mwenyewe nikipata nafasi(Ninapokuta amezifua narudia kufua)

8. Simtukani wala kumuongelesha vibaya bali nafanya mambo yangu ndani ya nyumba kivyangu.

9. Baada ya kuona hivyo, akasema anataka akaonane na Mama yake(ilikuwa Ijumaa usiku, nikampatia nauli muda huo huo na kumwambia asubuhi na mapema aende, ghafla akasema ameahirisha hadi sasa yupo)

10. Nimeacha kuchangia naye kitu chochote ndani ya nyumba isipokuwa sehemu ya kulala tu(kitandani na penyewe mzungu wa nne au nalala sebuleni wakati mwingine).

Sasa leo ni siku ya 6 tangia nimeanza kuishi hivyo na mke, mke wangu amenyongonyea ghafla, amekonda, amekuwa mtu wa mawazo na wasiwasi muda wote.

Katika kipindi hiki chote alijua sababu ya mimi kuishi hivyo ni yeye kuchepuka, hii ni baada ya jana jioni kuniita Chumbani na kusema anajutia sana kufanya vile na hatarudia, jambo baya zaidi akasema ameshafikiria mara mbili kunywa Sumu, anaona hana thamani tena kwangu, Dah [emoji24][emoji24] nilimwonea huruma sana na nikaamua kumsamehe tuendelee na maisha lakini naona hali haijabadilika kwake yaani ni mtu wa mawazo na wasiwasi muda wote, kiufupi anapitia wakati mgumu sana.

Wito kwa wanaume na wanawake hasa wanaoishi pamoja kama mke na mume kwa namna yoyote ile, kupigana siyo adhabu tosha ya kusuruhisha migogoro, mimi huyu mwanamke nimempa adhabu hiyo lakini naona imemnyoosha kweli kweli japo naona kabisa imemuharibu kisaikolojia kabisa.

Kosa kubwa sana kusamehe a cheating wife
 
Mkuu hiyo sio dawa La huyo mwanamke ulipangiwa na mungu...ila hawa satawang`ina waliojaa huku kusini...yan kama unatimiza majukumu hata ukilala nje ya nyumba sawa ye anajali bado yupo nyumban..
Hata Yesu aliyesema tusamehe kila kitu la kuchepuka alisema halina msamaha ni talaka tu. Mwanamke hapewi talaka isipokuwa kwa uasherati tu. Hata Yesu aliwasamehe waliomsulubu ila la mwanamke kuchepuka alisema talaka ruksa.
 
Tatizo kubwa lilianza pale nilipogundua anachepuka na ex wake. Baada ya kuligundua hilo sikutaka kuchukua hatua za shari sana papo kwa papo, bali nilichukua hatua ambazo mpaka leo anashindwa kuelewa afanyeje, sasa imefikia hatua muda wote ni analia tu, saikolojia hayupo sawa na kama anataka kuchanganyikiwa hivi.

Baada ya kugundua kwamba anachepuka nilichukua maamuzi yafuatayo

1. Siku hiyo hiyo niliyogundua sikutaka kumuuliza kama ni kweli au siyo kweli kwa sababu nilishajihakikishia kwa asilimia 100.

2. Sikula Chakula chake, nilifika naingia jikoni na kuandaa Chakula mwenyewe (hii imeendelea hadi leo)

3. Najitahidi sana niwahi kurudi nyumbani tofauti na siku za nyuma.

4. Tukilala kitandani mimi nageukia mzungu wa nne.

5. Tangia siku hiyo sijawahi kumuomba unyumba(japo anaweka mazingira ya jambo hili kila siku)

6. Akiniuliza namjibu kidogo halafu naendelea na utaratibu wangu.

7. Kila kitu najifanyia hadi nguo chafu zote za kwangu nakusanya na kufua mwenyewe nikipata nafasi(Ninapokuta amezifua narudia kufua)

8. Simtukani wala kumuongelesha vibaya bali nafanya mambo yangu ndani ya nyumba kivyangu.

9. Baada ya kuona hivyo, akasema anataka akaonane na Mama yake(ilikuwa Ijumaa usiku, nikampatia nauli muda huo huo na kumwambia asubuhi na mapema aende, ghafla akasema ameahirisha hadi sasa yupo)

10. Nimeacha kuchangia naye kitu chochote ndani ya nyumba isipokuwa sehemu ya kulala tu(kitandani na penyewe mzungu wa nne au nalala sebuleni wakati mwingine).

Sasa leo ni siku ya 6 tangia nimeanza kuishi hivyo na mke, mke wangu amenyongonyea ghafla, amekonda, amekuwa mtu wa mawazo na wasiwasi muda wote.

Katika kipindi hiki chote alijua sababu ya mimi kuishi hivyo ni yeye kuchepuka, hii ni baada ya jana jioni kuniita Chumbani na kusema anajutia sana kufanya vile na hatarudia, jambo baya zaidi akasema ameshafikiria mara mbili kunywa Sumu, anaona hana thamani tena kwangu, Dah [emoji24][emoji24] nilimwonea huruma sana na nikaamua kumsamehe tuendelee na maisha lakini naona hali haijabadilika kwake yaani ni mtu wa mawazo na wasiwasi muda wote, kiufupi anapitia wakati mgumu sana.

Wito kwa wanaume na wanawake hasa wanaoishi pamoja kama mke na mume kwa namna yoyote ile, kupigana siyo adhabu tosha ya kusuruhisha migogoro, mimi huyu mwanamke nimempa adhabu hiyo lakini naona imemnyoosha kweli kweli japo naona kabisa imemuharibu kisaikolojia kabisa.
That why i love jf
 
Kununa hajujawahi kua suluhisho la kudumu kwenye migogoro Kama hiyo.

Ulichokifanya Ni kana kwamba uyo mwanamke ni unaiba tu (Mchepuko au hawala yako).
Hujaonesha Yale makucha na mAmlaka ya kiume kuonesha umekasirishwa na alichokifanya.

Na kwasababu umemsamehe kirahisi Sana, nna imani atachepuka Tena maana keshakusoma una moyo mwepesi Sana wa kusamehe haraka.

Ulitakiwa uoneshe advertise Moja matata Sana kama unamwacha Moja kwa moja.
(Hata Kama huna.mpango wa kumuacha)

Pia uyo ex wake nae umchimbe mkwara mzito Sana kwamba umejua na akiendelea dawa yake inachemka. Ajutie kabisa Ujinga aliufanya. Yaan ikiwezekana uyo kijana ndio amkimbie mkeo.

Unapojificha eti unanuna na hufunguki kwa pande zote mbili kilichokukasirisha. Eti unajifulia nguo n.k
Huo unakua Ni ufala.

Wote wanakuona Ni mwanaume mwenye wivu sana na kisirani tu. Na ulivosamehe kirahis wameshakuchora Ni mwanaume kisirani na laini asiye na msimamo kabisa.

BE A MAN and be a HUSBAND[emoji120]
Simamia ndoa yako, ilinde familia yako
Mkuuu umemaliza kazi
 
Mke kupeleka kipapa kwa jirani ni automatic red card, unless kuwe na vigezo kama umbali, yaani labda nipo uingereza kwa miaka mingi, au niwe jela yeye yupo uraiani, otherwise akipeleka kipapa nje ni red card tu.

Sasa uliamua kumpa torture(which is okay), haikutakiwa kuisha kirahisi namna hiyo, ulitakiwa kumuonyesha kuwa what she did was a deadly mistake that could lead into divorce or separation. Ilitakiwa kwanza achezee yellow card kwa mda mrefu sana, aende kwao kwa mda, usilale nae kitanda kimoja kwa mda mrefu sana, kifupi kusiwe na mawasiliano mazuri ndani, yaani ulitakiwa kukinukisha 200%.

Kwa hicho alichopata kwa siku sita, atarudia tu, tena na ex wake...watachapana tena!

Hatujui tu, mke kuchepuka kunaiharibu nyumba kwa asilimia kubwa sana, ni wanawake wachache wakachepuka na kuendesha majukumu yao kama kawaida, wengi wachepukaji wanahamisha K mpaka hisia kwa michepuko yao, tofauti na sisi wanaume.
 
2. Sikula Chakula chake, nilifika naingia jikoni na kuandaa Chakula mwenyewe (hii imeendelea hadi leo)

3. Najitahidi sana niwahi kurudi nyumbani tofauti na siku za nyuma.

4. Tukilala kitandani mimi nageukia mzungu wa nne.

5. Tangia siku hiyo sijawahi kumuomba unyumba(japo anaweka mazingira ya jambo hili kila siku)

6. Akiniuliza namjibu kidogo halafu naendelea na utaratibu wangu.

7. Kila kitu najifanyia hadi nguo chafu zote za kwangu nakusanya na kufua mwenyewe nikipata nafasi(Ninapokuta amezifua narudia kufua)

8. Simtukani wala kumuongelesha vibaya bali nafanya mambo yangu ndani ya nyumba kivyangu.

9. Baada ya kuona hivyo, akasema anataka akaonane na Mama yake(ilikuwa Ijumaa usiku, nikampatia nauli muda huo huo na kumwambia asubuhi na mapema aende, ghafla akasema ameahirisha hadi sasa yupo)

10. Nimeacha kuchangia naye kitu chochote ndani ya nyumba isipokuwa sehemu ya kulala tu(kitandani na penyewe mzungu wa nne au nalala sebuleni wakati mwingine).
Adhabu uliyompa ni kubwa mno na huenda ikamfanya asirudie hili kosa.
Umefanya vizuri kumsamehe, sasa badili yale yote uliyoorodhesha hapa.
 
Kwaio mkuu ulitaka ukimkamata achangamke? She is too smart for that, anajua wewe una vihuruma ndio maana anaigiza hivyo, and yes hajakosea, umesamehe kama alivyotarajia.

Kujitilisha huruma ni moja ya silaha KUBWA sana ya wanawake.Apo sio muda wewe ndo kibao kitakugeukia, utaanza kuona guilty kwa hali uliyomfanya apitie.

Mke Mzinzi sio mtu bro.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
Hakika ni hatar
 
Sasa hivi utaendelea kuchapiwa lakini kwa umakini zaidi, kwa kuwa hujaiondoa bado sababu iliyomfanya achepuke mara ya kwanza...
 
Tatizo kubwa lilianza pale nilipogundua anachepuka na ex wake. Baada ya kuligundua hilo sikutaka kuchukua hatua za shari sana papo kwa papo, bali nilichukua hatua ambazo mpaka leo anashindwa kuelewa afanyeje, sasa imefikia hatua muda wote ni analia tu, saikolojia hayupo sawa na kama anataka kuchanganyikiwa hivi.

Baada ya kugundua kwamba anachepuka nilichukua maamuzi yafuatayo

1. Siku hiyo hiyo niliyogundua sikutaka kumuuliza kama ni kweli au siyo kweli kwa sababu nilishajihakikishia kwa asilimia 100.

2. Sikula Chakula chake, nilifika naingia jikoni na kuandaa Chakula mwenyewe (hii imeendelea hadi leo)

3. Najitahidi sana niwahi kurudi nyumbani tofauti na siku za nyuma.

4. Tukilala kitandani mimi nageukia mzungu wa nne.

5. Tangia siku hiyo sijawahi kumuomba unyumba(japo anaweka mazingira ya jambo hili kila siku)

6. Akiniuliza namjibu kidogo halafu naendelea na utaratibu wangu.

7. Kila kitu najifanyia hadi nguo chafu zote za kwangu nakusanya na kufua mwenyewe nikipata nafasi(Ninapokuta amezifua narudia kufua)

8. Simtukani wala kumuongelesha vibaya bali nafanya mambo yangu ndani ya nyumba kivyangu.

9. Baada ya kuona hivyo, akasema anataka akaonane na Mama yake(ilikuwa Ijumaa usiku, nikampatia nauli muda huo huo na kumwambia asubuhi na mapema aende, ghafla akasema ameahirisha hadi sasa yupo)

10. Nimeacha kuchangia naye kitu chochote ndani ya nyumba isipokuwa sehemu ya kulala tu(kitandani na penyewe mzungu wa nne au nalala sebuleni wakati mwingine).

Sasa leo ni siku ya 6 tangia nimeanza kuishi hivyo na mke, mke wangu amenyongonyea ghafla, amekonda, amekuwa mtu wa mawazo na wasiwasi muda wote.

Katika kipindi hiki chote alijua sababu ya mimi kuishi hivyo ni yeye kuchepuka, hii ni baada ya jana jioni kuniita Chumbani na kusema anajutia sana kufanya vile na hatarudia, jambo baya zaidi akasema ameshafikiria mara mbili kunywa Sumu, anaona hana thamani tena kwangu, Dah [emoji24][emoji24] nilimwonea huruma sana na nikaamua kumsamehe tuendelee na maisha lakini naona hali haijabadilika kwake yaani ni mtu wa mawazo na wasiwasi muda wote, kiufupi anapitia wakati mgumu sana.

Wito kwa wanaume na wanawake hasa wanaoishi pamoja kama mke na mume kwa namna yoyote ile, kupigana siyo adhabu tosha ya kusuruhisha migogoro, mimi huyu mwanamke nimempa adhabu hiyo lakini naona imemnyoosha kweli kweli japo naona kabisa imemuharibu kisaikolojia kabisa.
Biblia yenyewe imeruhusu kuachana kwa kosa kama hilo.. wewe unang'ania siku likikuta usije kuua mtoto wa watu

Maana hapa naona alie umia ni wewe.. sio yeye kwanza ulimpunguzia kazi

Kitendo cha kupata sonona sio kukuhurumia wewe.. ni kuona aibu atakayoipata mkiiachana wakati huu ambao umemfumania, kilichopo anasubiri maji yatulie akutafutie sababu yani [emoji23]
 
Yani unamsamehem Mwanamke Mzinzi-bure kabisa wewe.
Hata Mungu tu amekataza,wewe unaona sawa.
 
Eti Mke wangu nilijue amechepuka na Nina uhakika halafu nilale nae tena katika kitanda changu.,labda aniroge siku hiyo hiyo.
 
Nimependa hiyo point number 7 ya kufua nguo mara ya pili 😂😂😂

Chatu asamehewi, endelea na utaratibu wako.
 
Tena akiwaamemrudisha kwa wazazi wake, kule kwao atachambwa balaa na wazazi wake na ndugu zake kwa kuiletea aibu familia Yao ukweni.

Wanawake Ni Watu wanaoheshimu na kuogopa Sana walikotokea, itamuuma Sana

Siku ukija kumrudisha atakua keshanyooka vya kutosha, kutokurudia UPUMBAVU ule.
Hakika unajuwa san mkuu nitakutafuta unisadie migogoro yangu ya ndoa uko vzr sna
 
Nimependa jinsi ulivyoliendea Hilo swala yaani kiutuuzima,sina tatizo na wewe kumsamehe,Ila nadhani kuonyesha kwamba umekereka ingebidi ungeamua aende Kwanza kwao akakae kama mwezi hivi apate kujitafakari vizur na kuona ubaya wa kitendo chake au kama wewe ni muislamu waeza kumtenga Kwa kipindi cha miezi minne atie akili Kwanza, hapo inamaana hulali nae kitanda kimoja na hukutani nae kimwili lkn mambo mengine ya huduma yanaendelea kama kawaida, hapo ataujiuliza hapa sijaachwa hivi je nikiachwa itakuwaje.

Ila fanya Jambo ambalo litaonyesha umekereka sana
Kesha haribu kwani kesha msamehe na mbususu kashapewa
 
Back
Top Bottom