Kwani kua na mtoto ndo kukufanye uendelee kumuaminiila mkuu itoshe tu kusema kwa issues kama hizo inategemea na stages me sikuwa na mtoto bado hivyo kama wewe tayari una mtoto au watoto nae basi sishauri sana umuache maana madhara yataenda kwa watoto.
Hii itafanya kazi kama na wewe si mchepukaji. Ukichepuka tegemea kuchepukiwa na wewe na uwe tayari kusamehe kama ambavyo yeye huwa anakusamehe.Yote ya nini?? Kama amediriki kuchepuka basi ni dhahiri hathamini penzi lako wala utu wako...
Wanaume bwana🤔Kwani kua na mtoto ndo kukufanye uendelee kumuamini
Uzinzi bana mm sikubaliani nao aende mwanangu nitalea mwenyewe
Yeah yalinikuta kitambo kidogo.Yalikukuta mkuu?
hahahaaaSubiri kuchapiwa Tena utarudia hapa
kama hawakutombana na ex wake sawa.Tatizo kubwa lilianza pale nilipogundua anachepuka na ex wake. Baada ya kuligundua hilo sikutaka kuchukua hatua za shari sana papo kwa papo...
Mwanaume hata kama unachepuka ni mwiko kusamehe mwanamke mchepukaji.Hii itafanya kazi kama na wewe si mchepukaji. Ukichepuka tegemea kuchepukiwa na wewe na uwe tayari kusamehe kama ambavyo yeye huwa anakusamehe.
Hiyo ni kwako. Wengine wanasamehe na maisha yanasonga.Mwanaume hata kama unachepuka ni mwiko kusamehe mwanamke mchepukaji.
Kweli wapo maboya wachache sema..[emoji3][emoji3]Hiyo ni kwako. Wengine wanasamehe na maisha yanasonga.
hofu gani unayomtengenezea wewe.acha uzamwamwa basi.Hofu niliyomtengenezea kwa adhabu hii ni kubwa muno na pengine anajutia sana hajawahi kupewa mateso ya saiklojia ya namna hii.
Jioni hii amepelekwa hospitali hali yake imekuwa mbaya sana na pressure imekutwa iko juu sana.
Unahisi anajutia kuchepuka na ex, hapana. anachojutia ni kufumaniwa kwasababu anajlaumu kwa uzembe. hapo atatafuta njia ya kutofumaniwa. Anayejuta uwa anaacha kabla ya kufumaniwa.Uko sahihi ndiyo maana nilihamua nimuhadhibu hivyo kwanza.
km kachepuka bas haelew show zako , piga chini ,wanawake ni pasua kichwa hlf hawajutagi kbsUnaweza ukaona ni rahisi, lakini hii adhabu ni kali sana, pengine kuliko hata hizi ulizozipendekeza hapa
Sawa.Hiyo ni kwako. Wengine wanasamehe na maisha yanasonga.
Shetani hajawahi kushindwa kirahisi hivyo,huyo anachosikitika ni kuwa umejua,sasa una uhakika gani kuwa ameachana na huyo jamaa,kitakachofuata hapo wanaweza kubadilisha venue tu ili iwe salama zaidi,na kama una samehe hakikisha inatoka kutoka ndani ya moyo wako ila juwa bila ya kuwa karibu na Mungu anything can happen...Tatizo kubwa lilianza pale nilipogundua anachepuka na ex wake. Baada ya kuligundua hilo sikutaka kuchukua hatua za shari sana papo kwa papo, bali nilichukua hatua ambazo mpaka leo anashindwa kuelewa afanyeje, sasa imefikia hatua muda wote ni analia tu, saikolojia hayupo sawa na kama anataka kuchanganyikiwa hivi.
Baada ya kugundua kwamba anachepuka nilichukua maamuzi yafuatayo
1. Siku hiyo hiyo niliyogundua sikutaka kumuuliza kama ni kweli au siyo kweli kwa sababu nilishajihakikishia kwa asilimia 100.
2. Sikula Chakula chake, nilifika naingia jikoni na kuandaa Chakula mwenyewe (hii imeendelea hadi leo)
3. Najitahidi sana niwahi kurudi nyumbani tofauti na siku za nyuma.
4. Tukilala kitandani mimi nageukia mzungu wa nne.
5. Tangia siku hiyo sijawahi kumuomba unyumba(japo anaweka mazingira ya jambo hili kila siku)
6. Akiniuliza namjibu kidogo halafu naendelea na utaratibu wangu.
7. Kila kitu najifanyia hadi nguo chafu zote za kwangu nakusanya na kufua mwenyewe nikipata nafasi(Ninapokuta amezifua narudia kufua)
8. Simtukani wala kumuongelesha vibaya bali nafanya mambo yangu ndani ya nyumba kivyangu.
9. Baada ya kuona hivyo, akasema anataka akaonane na Mama yake(ilikuwa Ijumaa usiku, nikampatia nauli muda huo huo na kumwambia asubuhi na mapema aende, ghafla akasema ameahirisha hadi sasa yupo)
10. Nimeacha kuchangia naye kitu chochote ndani ya nyumba isipokuwa sehemu ya kulala tu(kitandani na penyewe mzungu wa nne au nalala sebuleni wakati mwingine).
Sasa leo ni siku ya 6 tangia nimeanza kuishi hivyo na mke, mke wangu amenyongonyea ghafla, amekonda, amekuwa mtu wa mawazo na wasiwasi muda wote.
Katika kipindi hiki chote alijua sababu ya mimi kuishi hivyo ni yeye kuchepuka, hii ni baada ya jana jioni kuniita Chumbani na kusema anajutia sana kufanya vile na hatarudia, jambo baya zaidi akasema ameshafikiria mara mbili kunywa Sumu, anaona hana thamani tena kwangu, Dah [emoji24][emoji24] nilimwonea huruma sana na nikaamua kumsamehe tuendelee na maisha lakini naona hali haijabadilika kwake yaani ni mtu wa mawazo na wasiwasi muda wote, kiufupi anapitia wakati mgumu sana.
Wito kwa wanaume na wanawake hasa wanaoishi pamoja kama mke na mume kwa namna yoyote ile, kupigana siyo adhabu tosha ya kusuruhisha migogoro, mimi huyu mwanamke nimempa adhabu hiyo lakini naona imemnyoosha kweli kweli japo naona kabisa imemuharibu kisaikolojia kabisa.
Amen!Hallelujah
Khakhakhaaaa!!! Hio mbinu Lazima akae kwa kutulia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]