Mke wangu anapitia wakati mgumu sana hadi nimemuonea huruma

Mke wangu anapitia wakati mgumu sana hadi nimemuonea huruma

ila mkuu itoshe tu kusema kwa issues kama hizo inategemea na stages me sikuwa na mtoto bado hivyo kama wewe tayari una mtoto au watoto nae basi sishauri sana umuache maana madhara yataenda kwa watoto.
Kwani kua na mtoto ndo kukufanye uendelee kumuamini
Uzinzi bana mm sikubaliani nao aende mwanangu nitalea mwenyewe
 
Tatizo kubwa lilianza pale nilipogundua anachepuka na ex wake. Baada ya kuligundua hilo sikutaka kuchukua hatua za shari sana papo kwa papo...
kama hawakutombana na ex wake sawa.

ila kama kagawa **** nje . aaaah ****.maake

acha ujinga wewe, na hapo ex wake kamwagia ndani , karudi home na utelezi.

Bila shaka hao watoto kapime DNA.

ulipomsamehe fikiria alivua chupi kbsaaa na kukata viuno sana siajabu hata kunyonya mb.oo ya jamaa.
Kila nkifikiria hayo.moyo wauma

Je? wewe ndugu yangu hukuyafikiria haya

MWANAMKE MZINZI HUWA HAACHI KAMWE ,ANAPUMZIKA TU
 
Hii itafanya kazi kama na wewe si mchepukaji. Ukichepuka tegemea kuchepukiwa na wewe na uwe tayari kusamehe kama ambavyo yeye huwa anakusamehe.
Mwanaume hata kama unachepuka ni mwiko kusamehe mwanamke mchepukaji.
 
Hofu niliyomtengenezea kwa adhabu hii ni kubwa muno na pengine anajutia sana hajawahi kupewa mateso ya saiklojia ya namna hii.

Jioni hii amepelekwa hospitali hali yake imekuwa mbaya sana na pressure imekutwa iko juu sana.
hofu gani unayomtengenezea wewe.acha uzamwamwa basi.

wewe nahisi huna hata miaka 10 kwa ndoa , huwajui wanawake wewe.

Subiri show yake.

mtu anat.ombwa [emoji23][emoji23] huko na ex , wewe unanuna siku 6, eti nimemtesa

Acha ufara wewe,umeniuudhi sana we jamaa
 
Uko sahihi ndiyo maana nilihamua nimuhadhibu hivyo kwanza.
Unahisi anajutia kuchepuka na ex, hapana. anachojutia ni kufumaniwa kwasababu anajlaumu kwa uzembe. hapo atatafuta njia ya kutofumaniwa. Anayejuta uwa anaacha kabla ya kufumaniwa.
 
Unaweza ukaona ni rahisi, lakini hii adhabu ni kali sana, pengine kuliko hata hizi ulizozipendekeza hapa
km kachepuka bas haelew show zako , piga chini ,wanawake ni pasua kichwa hlf hawajutagi kbs
 
Tatizo kubwa lilianza pale nilipogundua anachepuka na ex wake. Baada ya kuligundua hilo sikutaka kuchukua hatua za shari sana papo kwa papo, bali nilichukua hatua ambazo mpaka leo anashindwa kuelewa afanyeje, sasa imefikia hatua muda wote ni analia tu, saikolojia hayupo sawa na kama anataka kuchanganyikiwa hivi.

Baada ya kugundua kwamba anachepuka nilichukua maamuzi yafuatayo

1. Siku hiyo hiyo niliyogundua sikutaka kumuuliza kama ni kweli au siyo kweli kwa sababu nilishajihakikishia kwa asilimia 100.

2. Sikula Chakula chake, nilifika naingia jikoni na kuandaa Chakula mwenyewe (hii imeendelea hadi leo)

3. Najitahidi sana niwahi kurudi nyumbani tofauti na siku za nyuma.

4. Tukilala kitandani mimi nageukia mzungu wa nne.

5. Tangia siku hiyo sijawahi kumuomba unyumba(japo anaweka mazingira ya jambo hili kila siku)

6. Akiniuliza namjibu kidogo halafu naendelea na utaratibu wangu.

7. Kila kitu najifanyia hadi nguo chafu zote za kwangu nakusanya na kufua mwenyewe nikipata nafasi(Ninapokuta amezifua narudia kufua)

8. Simtukani wala kumuongelesha vibaya bali nafanya mambo yangu ndani ya nyumba kivyangu.

9. Baada ya kuona hivyo, akasema anataka akaonane na Mama yake(ilikuwa Ijumaa usiku, nikampatia nauli muda huo huo na kumwambia asubuhi na mapema aende, ghafla akasema ameahirisha hadi sasa yupo)

10. Nimeacha kuchangia naye kitu chochote ndani ya nyumba isipokuwa sehemu ya kulala tu(kitandani na penyewe mzungu wa nne au nalala sebuleni wakati mwingine).

Sasa leo ni siku ya 6 tangia nimeanza kuishi hivyo na mke, mke wangu amenyongonyea ghafla, amekonda, amekuwa mtu wa mawazo na wasiwasi muda wote.

Katika kipindi hiki chote alijua sababu ya mimi kuishi hivyo ni yeye kuchepuka, hii ni baada ya jana jioni kuniita Chumbani na kusema anajutia sana kufanya vile na hatarudia, jambo baya zaidi akasema ameshafikiria mara mbili kunywa Sumu, anaona hana thamani tena kwangu, Dah [emoji24][emoji24] nilimwonea huruma sana na nikaamua kumsamehe tuendelee na maisha lakini naona hali haijabadilika kwake yaani ni mtu wa mawazo na wasiwasi muda wote, kiufupi anapitia wakati mgumu sana.

Wito kwa wanaume na wanawake hasa wanaoishi pamoja kama mke na mume kwa namna yoyote ile, kupigana siyo adhabu tosha ya kusuruhisha migogoro, mimi huyu mwanamke nimempa adhabu hiyo lakini naona imemnyoosha kweli kweli japo naona kabisa imemuharibu kisaikolojia kabisa.
Shetani hajawahi kushindwa kirahisi hivyo,huyo anachosikitika ni kuwa umejua,sasa una uhakika gani kuwa ameachana na huyo jamaa,kitakachofuata hapo wanaweza kubadilisha venue tu ili iwe salama zaidi,na kama una samehe hakikisha inatoka kutoka ndani ya moyo wako ila juwa bila ya kuwa karibu na Mungu anything can happen...
 
Ni nzuri hiyo, huenda hata mimi nikioa nitaifanya kabla ya kumuacha.

Mwanamke alie kwenye ndoa na anachepuka huyo ni muuaji.
 
Nadhani itapendeza kama mtamrudia Mungu sasa kwa mioyo Yenu yote. Muanze upya nae usiseme unae huna mkuu wewe na familia yako. Kwa nn nyoka amdanganye mkeo. Tubu Kwa ajir ya kile kile kimesababisha mkeo aende nje wote niwe pamoja. Uamuzi wako wa kusamehe ni mzuri tu na Mungu hupenda amani. Shetan kachukia sana. Bas Tubu mkuu ili uwe na amani na mwenzio awe na aman na ww
 
Back
Top Bottom